REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

TATTOO MPYA CHRIS BROWN......MH?

3:11:00 PM Add Comment



Tattoo mpya ya Mkali wa R&B na POP, Chris Brown, imeanza kutiliwa mashaka na Wachunguzi wa Masuala ya Udaku na Wachanganuzi wa Masuala ya Kihisia wenye macho makali katika Mahusiano na kila kitu, baada ya kufananishwa na Sura ya Rihanna, aliyekuwa Mpenzi wake !!!!!

DAH....HEBU WAONE HAWA ENZI ZAO NA WALIVYO SASA

2:28:00 PM Add Comment

DAH...Hebu ona....


                                                            RIHANNA

**************************************************************************************************************



                                                          LIL JOHN

*************************************************************************************************************


                                                           DENZEL WASHINGTON

***********************************************************************************************************

                                                        LUDACRIS

WILLOW SMITH NDANI YA MTINDO MPYA WA NYWELE

1:54:00 PM Add Comment



 Wllow Smith alitoklezea like Hivi na Style yake Mpya ya Nywele alipokuwa katika Tamasha la Filamu la Toronto (TORONTO FILM FESTIVAL), huko Jijin New York U.S of A

RIHANNA AMTUKANA MWANDISHI WA HABARI WA CNN

1:42:00 PM Add Comment




Wakati Ki-Bongo Bongo tunamlilia Mwanahabari Mwenzetu aliyeuawa Kikatili kwa Kuripuliwa na Bomu bila Huruma, Ki-mbele mbele Limezuka Lingine Hili.

Bibie Robbin Fenty goes by The Stage name Rihanna, amemtolea Tusi moja balaa Reporter wa CNN Piers Morgan, baada ya Kutweet sentensi iliyotoa kasoro Mtindo Mpya wa Nywele za Rihanna.

Mwandishi huyo amekumbana na Kauli hiyo Rihana ambayo aliisema kwa Kizungu, yaani "Grow a D@*!k" (kwa wale tunaojua tushaelewa), siku chache baada ya Kutoa Tweet hiyo, ambayo ilionesha dhahiri kutokukubaliana na Kila mtindo wa Nywere aliokuwa akiufannya Rihana ikiwemo ule wa Nywele Nyekundu, na huu wa sasa.

Piers aliandika Hivi....

Mhhhhhhh...Yaani, "NINAFIKIRI RIHANNA ANATAKIWA KUKUZA NYWELE ZAKE TENA. HARAKA"

CIARA AONESHA UTUPU KWENYE VIDEO YA "SORRY"

1:22:00 PM Add Comment







Yule Bi-Shost Mkali wa Kuimba zile za Kuitwa R&B na Hip Hop kwa mbali, Ciara Pablo, amezua Balaa baada ya kuonesha baadhi ya Picha ambazo kazipiga akiwa "Mtupu" katika Baadhi ya Maumbile Yake alipokuwa akishoot Video yake Mpya ya Track ama Singo yake Mpya ya "SORRY"

Kwa Mujibu wa Wakali wa Udaku huko mambele, Mkali huyo wa Kudance, ameachia Picha hizo huku akionesha kitu inayoitwa "SEXY DANCE MOVE" huku akiwa kalowa maji, na kuonesha Mgongo wake katika Kamera huku akificha Zileeee.....enheeeeee...Mimi naziita NIDO

Video hiyo Mpya aliyofanya uchafu huo Mrembo Ciara, itaachiwa Rasmi Siku ya Ijumaa katika Kituo cha Television cha BET

KAZINJA KUPIGA SHOW USA

8:26:00 AM Add Comment







Baada ya siku chache kupita Tangu rais wa wasafi,Diamond Platinumz kufanya show kali ya masaa matatu non-stop akiwa na Dancers wake na kufanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki wa nchini humo na kufanikiwa kuongeza muda wa kufanya tena show,but royund hii imekuwa zamu ya Queen of Zouk nchini Hafsa Kazinja kwenda kupiga show huko U.S of A.

Latest Infoz kutoka kwa President wa kampuni ya J & P Entertainment bwana Peter Ligate,  zinasema Hafsa Kazinja tayari ameshawasili nchini Marekani na anategemewa kufanya shows zisizopungua 5 katika miji ya WASHINGTON DC, OHIO, TEXAS, NEW YORK nk. Show yake ya kwanza itakuwa tarehe 22 September 2012.

Baadhi ya wasanii ambao Ligate chini ya J & P  amewahi kufanya nao shows nchini humo ni pamoja na Ali Kiba, Mr Nice, Khadija Kopa, Linah, Diamond na hivi sasa ni zamu ya  Hafsa Kazinja. Hope hitmaker wa “Presha” hatowaangusha mashabiki wake na atawapa Burudani nzuri kama alivyofanya rais wa wasafi Diamond.

Kweli Hard works pays, hii ni changamoto kwa wasanii wote kama mtajituma then you will be recognised anywhere. Keep it up guys.

HAPPY BIRTHDAY LUDACRIS

8:14:00 AM Add Comment






Na Frank M. Joachim



Kipindi cha Awali sana, alikuwa akifahamika kama DJ CHRISS LOVER LOVER

Christopher Brian Bridges, az no Ludacris, is an American rapper and actor. Rapper huyu siku ya leo ametimiza miaka 35 tangu kuzaliwa September 11, 1977.

MNADA BANNER