REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NAS KUFUNGUA DUKA LA KUUZA RABA( SNEAKERS)

2:05:00 AM Add Comment



Tumekuwa tukiskia story Nyingi kuhusu Maceleb Kibao Nchini marekani wakiingia kunako Madili ya KutangazaBidhaa za kampuni Fulani labda ya Nguo, magari na hata Viatu. Lakini kwa Mtu mzima NAS, mabo yamekuwa Tofauti Kidogo.

Kupitia Account yake ya Instagram, Nas ameothibitisha kufungua Duka la Viatu aina ya Rabba, ambavyo vitakuwa ni sehemu kubwa ya Ujasiriamali tofauti na Shughuli za Muziki

Kwa Mujibu wa Picha Moja wapo katika Account Hiyo, Nas ameonekana kuipeleka Next Level Biashara ya Sneakers tofauti na wasanii wengine wote, baada ya kuonekana kujenga Duka ambalo litatumika kuuza Sneakers Hizo, litakalopatikana LAS VEGAS , Marekani.
Ili Kuondoa utatakuhusu Hilo, NAS alipost kabisa maneno kuwa, DUKA LANGU LA SNEAKERS NDANI YA LAS VEGAS, LINAKUJA HIVI KARIBUNI”


Mnao Miaka ya Nyuma, Nas amewahi Kupiga Mzigo na Kampuni kama Vile ya FILA ambayo ilimfanya Kuwa Balozi wa FILA ITALIA FOOTWEAR COLLECTION, jambo ambalo limempatia Uzoefu wa hali ya juu mpaka kufikia Uamuzi anaoufanya Hivi sasa.

PHARRELL WILLIAMS HATORAP KATIKA ALBAMU YAKE MPYA

2:01:00 AM Add Comment



The Best Producer na the Real MC, Pharrell Williams, amesema kuwa kamwe haitosikika Kitu Inayoitwa Rap katika Albamu yake Hii mpya inayokuja soon.

Katika maelezo yake, Pharrell amesema kuwa, hivi sasa amekuwaso Busy akishughulikia Album Hiyo ambayo itafahamika kwa jina IN MY MIND, ambayo pia aliwahi kuifanya mnamo mwaka 2006, ingawa katika Project hiyo hatokuwa akirap kama ambvyo ilikuwa katika Project ya Awali.

Pia Pharrell aliongeza kuwa anapenda sana Kurapp lakini Safari hii, hatosikika akirap katika Kitu hicho anachokiandaa.
Sababu Kubwa ya kutokurap, Pharell amesema kuwa, Wakati anafanya IN MY MIND ya 2006, alikuwa na Umri wa Miaka 30, lakini kwa hivi sasa anaumri wa Miaka 40, na hafanyi Tena Rap

IN MY MIND ya 2006, Mikwaju kadhaa iliweza kuiendesha Dunia, Mfano CAN I HAVE IT alomshirikisha GWEN STEPHANIE, na hivi majuzi, ameshirikishwa na ROBIN THICKE katika Wimbo wa BLURRED LINE ambao unakick balaa kunako Ulimwengu huu.

ULIKUWA UNA HISIA AMA KUTAMANI KUMCHUMBIA KELLY ROWLAND?..HII INAKUHUSU

1:55:00 AM Add Comment



Hii Ni maalum kabisa!

Ladies and Gentlemen, Finally Kelly Rowland aliyefanya Vema kunako Track ya DILLEMA na When Love Take Over, amevalishwa Pete ya Uchumba rasmi na Mpenzi wake wa Muda Mrefu ambaye pia ni MANAGER wake, TIM WHITHERSPOON.

Kelly Rowland ambaye Pia ni Ex Memba wa Ex Crew ya DESTINY’S CHILD, amekuwa akijitahidi sana kuficha Kidole ambacho amevalishwa Pete Hiyo, baada ya kutaka iwe siri, lakini NYUMA YA PAZIA tumeshainyaka na ndo tunakutonya rasmi.

Pasi[po Kutarajia, kwa bahati mbaya Kupitia Instagram yake, Kelly alijisahau na kuonesha kidole hifcho ambacho kina Pete Hiyo ya Uchumba kupitia video Clip aliyoipost.

Pia inasemekana kuwa, wawili hao waliopendana, wakapenda na hata kushibana, inawezekana wakafunga Ndoa kabisa, ili kuudumisha Zaidi mlolongo Mzima wa mahusiano yao tangia wanakutana.

PICHA: CMB PREZZO ALIPOHUDHURIA KATIKA KIPINDI CHA JAM SESSION CHA 99.4 METRO FM MWANZA

1:28:00 AM Add Comment
 CMB PREZZO akizungumza Jambo katika Kipindi Cha jam Session wakati wa Exclusive Interview Kwa Wakazi wa burudani Jijini Mwanza. Kulia ni Mratibu wa mashindano ya MISS NEW MWANZA HOTEL 2013

Interview Ikiendelea kwa Umakini

So Waaao: CMB Prezzo akimrekebishia Microphone Mratibu Wa Shindano la Miss New Mwanza Hotel 2013


 TEAM JAM SESSION: Timu Nzima ya kipindi Cha Jam Session, (Kutoka Kushoto) NATTY E, DJ VICTOR na FRANK JOACHIM "Hasta La Vista" (Kulia) katika Pozi na PREZZO
 
 THE NYAUNYOZ: Presenters wa Jam Session, Natty E (Kushoto) na Frank "Hasta" (Kulia) wakiwa na CMB PREZZO baadaya Interview Kali

 Natty E Prezzo na Tonny Alpnce Kapera wa PAMBAZUKO na FUNGUKA.COM
 DJ Victor wa Jam Session akiwa na Prezzo


MNADA BANNER