REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

ETI NINI !!!! : UTAGOMBANA NA DRAKE UKIMWAMBIA ATUMIE KINGA?

12:56:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu Kuna Tuhuma Mpoya hapa Mjini na Ninaomba tuhusike nayo kwa Uzuri ili na sisi japo tupate kufahamu aisee

Inasemekana kwamba Rapper Drake a.ka. Dreezy huwa Hatumii "Kinga" katika Tendo la Ndo pale anapokutana na Mwanamke ambaye anamtamani haswaaa

Taarifa hizo zimemiminwa na Chanzo ambacho Kipo karibu na Sophie Brusauxx, aliyejitambulisha kwa jina moja tu, Princess Hellen

Akiweka wazi zaidi Kuhusu Hilo, Helle alidai kuwa, Sophie aliwahi kulalamioka mara kadhaa kuwa Drake amekuwa akihitaji wafanye Tendo la Ndoa kabla hajampa Ujauzito, na amekuwa akitia Ngumu Kutumia Kinga

hali hiyo ilikuwa ikimkwaza sana Sophie lakini hakuwa na namna zaidi ya kuendelea kufanya kile ambacho Dreezy alikuwa anakihitaji

Tunamnukuu
"Sophie alikuja kutulalamikia mara kadha sisi kama Ndugu zanke na marafiki zake wa karibu kuhusu Drake kukataa kutumia Kinga. Kitu hicho kilikuwa kinamkwaza Sana kiasi kwamba hakuwa na namna ya kufanya. Sophie alidai sana kuwa Hata alipoambiwa Ukweli kuhusu Siku za Hatari, Bado Drake alitaka NYAMA NYAMA, huku akimdanganya kuwa atawajibika kwa lolote litakalojiri"

Hata Hiovyo, inasemekana zaidi hata kipindi cha Nyuma pia kuwa, Drake amekuwa akishindwa kabisa kutumia Kinga, hasa pale ambapo anakuwa amejawa na matamanio juu ya Binti Flani.

MNADA BANNER