REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

T- PAIN KAPONA KATIKA HILI

1:53:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Hata kama inasemekana kuwa T-Pain Hivi sasa hana Mkwanja, lakini jambo la Kumshukuru Mungu ni kwamba kamalizana na Kitengo cha KODI Nchini Marekani kwa Kumaliza kulipa Deni lake la KODI

Kama utakuwa unakumbuka vizuri, T-Pain aliingia katika Msala wa kutokulipa Kodi katika Kitengo hicho kinachofahamika kwa Jina la IRS, na alikuwa akidaiwa USD 780,268.12 ambapo january ndipo alipofunguliwa Mashtaka

Pia Hitmaker Huyo wa BAR TENDER, alidaiwa kugoma kulipa USD 193,876 Kwa mwaka 2011, 2013 hakulipa 65,611.77, Mwaka 2014 hakulipa USD 165,056.45 na Mwaka 2015 hakulipa USD 355,723.07

Hivyo T- Pain, amelipa USD 800,000 mpaka hivi sasa, hivyo hana Msala


MAKUBWA HAYA !!! ETI MCHEPUKO WA RAPPER T.I ULIPIGWA "STOP" KUINGIA KATIKA TUZO ZA BET, KISA.......

1:41:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu kuna Hii mpya ambayo naomba Tus-share kwa pamoja ili kutafakari kama ni kweli ilikuwa inastahili ama Lah !

Taarifa za Uhakika zimeibuka Kuwa, Tameka ambaye ni Mke wa Rapper T.I pamoja na T.I mwenyewe, walipendekeza na kuamuru kuwa Bernice Burgos azuiwe kuingia katika TUZO ZA BET.

Bernice aliwahi kuingia katika Mgogoro Mzito na Tinny baada ya kudaiwa kuwa ndiye anayechepouka na Rapper T.I jambo ambalo lilizua Tafrani mpaka kufikia kutaka kupeana Talaka

Lakini hivi sasa Inadaiwa kuwa, T.I na Tinny wanaweza wasipeane talaka maana mambo yao ni kama yameshakaa sawa na hakuna kinachoendelea Sasa Hivi

Mchepuko huo wa T.I , awali ulionekana katika Red Carpet ya Tuzo hizo za BET ambazo pia Mtanzania aliibuka nayo moja wapo, lakini Bibie huyo alipigwa Stop kuingia Ndani na Walinzi kwa Madai kuwa wamepewa Maagizo wasimruhusu aingie

T.I na Tinny walikuwa eneo la tukio, yaani kwenye TUZO, nataarifa zilimiminwa Kuwa Tinny haswa ndiye aliyesisitiza Bernice asiingie Humo Ndani.


MNADA BANNER