REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MUNGU OKOA JAHAZI : MEEK MILL KATIKA KESI YA TATU YA AINA ILE ILE

1:23:00 AM Add Comment

Na Rich Sam  
MAJANGA yanazidi kumuandama Rapper ambaye pia ni mmoja kati ya Members wa familia ya MMG, Meek Mill, baada ya kufunguliwa mashtaka ya tatu sasa, dhidi ya kosa lile lile, yaani KURUSHWA RISASI NA KUJERUHI KATIKA TAMASHA LAKE

Muungwana mmoja ambaye anafahamika kwa jina la DYLAN THOMAS, amefungua Mashtaka dhidi ya Rapper huyo mwenye umri wa miaka 30 kwa hivi sasa, akimtuhumu kuhusika katika Kujeruhiwa kwake kwenye tamasha la CONNECTICUT lililofanyika December 2016 baada ya kutokea shambulio na kusikika kwa Milio ya Risasi

Pia katika mashtaka haya Mapya, Thomas hamshtaki Meek Mill peke yake, bali hata kampuni ya OAKDALE MUSICAL THEATER, LIVE NATION, MICHAEL J WILCOX, THE BIG BOY GAME LLC na ROC NATION kwa kuhusika pia katika kujeruhiwa kwake.

Mshtaki huyo anadai kuwa, alijeruhiwa vibaya sana katika eneo la Parking huku akiongeza kuwa tamasha hilo lilikuwa ovyo ovyo pasipo kujali usalama wa watu waliohudhuria, na aliumia sana katika sehemu za nje na za ndani ya mwili wake hasa baada ya kusikia mlio wa risasi

Huyo atakuwa ni mshtaki wa Tatu kwa Meek Mill katika Kosa hilo hilo, huku wa kwanza akiwa JAQUAN GRAVES ambaye alihudhuria tamasha na alipigwa Risasi katika eneo la Parking kwa nje kidogo na wazazi wake Ndio waliofungua mashtaka mwaka 2017

Wa Pili ni TRAVIS WARD ambaye naye pia alipigwa Risasi katika tamasha hilo na wazazi wake ndio waliofungua mashtaka sanjari na kufungua mengine ya mtoto wao kusingiziwa amefariki katika tukio hilo.

TENA?: DRAKE HAJACHOKA MAKAHABA !!! KAMNUNULIA ZAWADI HII BINTI HUYU !!!

12:32:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
Watu Wa Mungu leo ni weekend , na basi tuanzae kuliamshia Dude hapa hapa hasa kuhusiana na masuala mbalimbali, amnbayo yatakufanya u-relax na kuchill

Wengi tunafahamu kuwa Rapper Drake mwaka uliopita, umeisha akiwa na mafanikio ya aina tofauti, kubwa zaidi ikiwa ni katika Muziki wake na kuliteka soko kiujumla, Pili ni kuwa na Biashara ambazo zinamuingizia kipato kizuri yeye pamoja na watu wake wa Karibu, tatu ni kufanikiwa kuhit katika Charts kadha wa kadha kupitia hit songs ambazo kaziachi, na Nne, ni kufanikiwa kuamsha na kukutana na kashfa za makahaba ambao pia alifanikiwa kutinduana nao, kitu ambacho kilimjengea picha tofauti sana kwa mashabiki wake

Sasa ili kudhihirisha kuwa Jasiri haachi Asili, kuna bibie mmoja ambaye pia mambo yake ni kujiuza uza tu kupitia motandao ya kijamii, ambaye inasemekana kuwa amekuwa katika mahusiano ya Ndani na Nje na Rapper Drake kwa miaka kadhaa. Binti huyu anafahamika kwa jina la TIARA a.k.a KEKEY, ameanika zawadi aliyopewa na Drake

KEKEY alipost Picha yake Instagram huku akiwa ameacha baadhi ya maumbile yake wazi, hasa "Chakula ya Mtoto" na kudai kuwa Kanunuliwa Mzigo huo na Drake na kisha kufanyiwa upasuaji wa kuyapandikiza

Dhamira ya Kekey kupost "chakula ya Mtoto" kunako Instagram account yake, haikuwa kuthibitisha kuwa Drake ndiye aliyemnunulia, bali maswali yalivyozidi kumuandama, ndipo alipoamua kuweka wazi kuwa Hit Maker huyo wa HOTLINE BLING ndiye kamnunulia

   Instagram @babajutiblog    

MNADA BANNER