REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NAY WA MITEGO..NASTAHILI KUITWA BABA BORA?

6:08:00 AM Add Comment


Na Baba Juti
WENGI tulikuwa Tunahisi Kuwa, Huenda Nay Wa Mitego, atashindwa Kumlea CURTIS, mtoto ambaye alimchukua Kwa Mama Yake (Ex-Wake) Kwa Mgogoro Mkubwa

“Wafukuza Mapepo” Tumekuwa tukifuatilia maisha Ya Nay Wa Mitego na Watoto wake wawili (Munnie na Curtis) ambao anawalea kwa Ungalizi Mzuri

Ukitizama Picha Hizi, unaweza kuona kabisa ni namna gani CURTIS anakua Kwa kasi kubwa , lakini yupo katika Afya Nzuri kabisa, the Same Kwa Munnie

HONGERA NAY WA MITEGO







KAA TAYARI KUIPOKEA "CIROC APPLE"

5:50:00 AM Add Comment




Na Baba Juti
HARAKATI za Sean Combs-P.Diddy, katika Kutanua Soko la Kinywaji chake cha CIROC, zinazidi kuonekana


Safari Hii, Diddy anakuletea CIROC APPLE ambayo Inaaminika kabisa kuwa Wengi watapata nafasi ya Kui-enjoy, hasa kwa wale akina dada
Kupitia Account yake Ya Istagram, Diddy alipost Picha Hiyo, Huku akiandika “COMING VERY SOON”

Kaa tayari

Instagram: @babajuti

INSTA-SIASA: HILI NI JIPYA KUTOKA KWA MHE. LOWASSA

5:36:00 AM Add Comment




Na Baba Juti
WAKATI Napitia Instagram, Ninakukatana na Kauli Hii Kutoka Kwa Mhe. Edward Ngoyai Lowassa.

Sasa, najiuliza, Hili Ni Dongo?..au inakuwaje

Namnukuu:
“Unaweza kuchelewesha bahati ya mtu ila huwezi kuichukua.”

Instagram@babajuti 

KIM KARADSHIAN.... MIEZI NANE SASA..KITUMBO NDIIIII

5:29:00 AM Add Comment



Na Baba Juti
“Mama La Mama” wa Kanye West, KIM KARDASHIAN WEST, Hivi sasa Kitumbo Ndo Hicho Kinakua.

Mamito Huyu alinaswa na “Paparazi” hivi karibuni, Tumbo Likiwa Limefikisha takribani Miezi Nane sasa


HABARI ZA HIVI PUNDE: NDEGE YA ABIRIA YA SHIRIKA LA URUSI YAPATA AJALI MBAYA

5:15:00 AM Add Comment




CHANZO: BBC (PICHA ZOTE NA DAILY MAIL)
Ndege ya shirika moja la ndege la Urusi, iliyowabeba abiria zaidi ya 200, imeanguka katika eneo la Sinai nchini Misri, afisi ya waziri mkuu wa Misri imethibitisha.

Ndege hiyo aina ya Airbus A-321 ilikuwa imetoka mji wa Sharm el-Sheikh ikielekea mji wa St Petersburg nchini Urusi ilipoanguka.
Vyombo vya habari nchini Misri vinasema ambaki ya ndege hiyo yamepatikana na ambiulensi zaidi ya 20 zimetumwa eneo la ajali.


Rais wa Urusi Vladimir Putin ametuma risala za rambirambi kwa jamaa za waathiriwa na kuagiza uchunguzi ufanywe.


Awali, kulikuwepo na utata kuhusu hatima ya ndege hiyo, baadhi ya ripoti zikisema ilitoweka karibu na visiwa vya Cyprus. Lakini afisi ya Waziri Mkuu wa Misri Sharif Ismail imethibitisha kwamba ndege hiyo ilianguka katikati mwa eneo la Sinai.


Afisi hiyo imeongeza kuwa Bw Islmail ameunda kamati ya dharura ya kushughulikia ajali hiyo.


Wengi wa abiria walio kwenye ndege hiyo ni watalii kutoka Urusi.
Ndege hiyo ni ya shirika la ndege la Kogalymavia. Ripoti za karibuni zinasema ilikuwa imewabeba abiria 217 na wahudumu saba.

Instagram @babajuti

MNADA BANNER