REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Msanii wa Kundi La B2K...apata ajali...

6:32:00 AM Add Comment
Hatupendi...Ila Inatokea..
Aliyekuwa Muimbaji wa Kundi la Zamani La B2K akifahamika kwa Nick name ya Raz B, amenusurika Kifo siku ya Jumapili alipokuwa Nchini China , baada ya Kuteleza na Kudondoka bahat mbaya kupitia katika Mlango wa Hoteli aliyokuwa amefikia, huku akipoteza damu Nyingi sana
0709_raz_b_hand_wrist_blood Msanii Raz B akiwa ktk Hali mbaya...                          Raz B katika Bonge La Nyagoooooo
Raz ambaye alikuwa anadondosha Bonge Moja La Perfomance Huko Mjini Shanghai alisema kuwa,aliteleza bahati mbaya alipokuwa kwenye chumba chake na kuangukia Ktk Mlango wa Kioo huku akiutegemea zaidi mkono wake wa Kulia kwa ajili ya kumpatia Balance, lakini hali ilikuwa mbaya tofauti na alivyotegemea... 
"Nilipojaribu kutumia Mkono wangu Huu, bahati mbaya nilikutana na Kioo cha Mlango ambao nilikuwa nimeshauvunja na hatimaye kunisababishia madhara haya..Dah..Nimepoteza damu Nyingi sana yani"

Majeruhi huyo wa Kundi Lililotamba sana katika Miondoko ya R&B kabla ya Kuvunjika, aliongeza kuwa, Damu kwa Wingi sana zilianza kutoka kwa Mfululizo, na bahati nzuri ni kwamba mwenzake ambaye alikuwa naye aliomba Msaada kwa Wahudumu wa Hoteli hiyo, na hatimaye Ambulance Kutinga eneo la Tukio...

Raz Alipelekwa katika Hospitali ya  "Huashan Hospital Fudan Universit, Ambako Madaktari wamemfanyia Operation katika Sehemu alizopata athari kubwa

Msanii huyo aliruhusiwa Jumatatu ya jana, huku Show zake zikisitishwa mpaka hapo atakapopona 
PROJECT BORN A CHAMPION (P.B.C)

PROJECT BORN A CHAMPION (P.B.C)

6:03:00 AM Add Comment
Hakuna Kitu inaumiza kama vile kuwa na Uhakika kuwa "You Was Born A Champion" na unakuja kugundua kuwa, "You Shall Die A Loser".
Yeah...Siku zote akili ni Nywele...na Tusipozitumia, Tutabaki Kuzinyoa na Kuzitupa majalalani Tu.
Project Born A Champion, ni Project ambayo itaanza Muda Si Mrefu kwa Wale watu ambao katika Imani tunaamini kuwa "God Gave Us a Talent though People Want to Kill It". Project hii kwa ninavyoamini, itatumia sana Akili, Maarifa, Ubunifu, Nguvu za Kujitolea, na hatimaye Pesa Kidogo sana, but Dhamira kubwa ikiwa ni Kudhihirisha kuwa Wewe na Mimi, "We were Born Champions"
Utaipata hapa hapa....

0708_Lamborghini_sub_-Lamborghini-com

MNADA BANNER