REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BAADA YA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI: MTOTO WA MAREHEMU WHITNEY HUSTON HADHARANI AKIVUTA BANGI, JE ATAFUATA TABIA YA MAMA YAKE?

1:53:00 PM Add Comment
Pichani na Boby Christina, Mtoto wa Marehemu Whitney Huston ambaye aliathirika na Madawa ya kulevya. Binti huyu ameonekana aki-PUFF & PASS kitu aina ya Bangi na Mpenzi wake Nick hadharani. Swali ni Je, atafuata nyayo za mama yake?...hebu tazama hizi picha kwa umakini...












 (c) BLACK TOUCHEZ-MAT. TMZ 2013

PICHA : RAIS KIKWETE NDANI YA MSUMBIJI KIKAZI

12:46:00 PM Add Comment
GWARIDE LA HESHIMA : Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya nchi jumuiya ya Maendeleo ya Uchumi Kusini Mwa Afrika SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo.Rais Kikwete yupo nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC

TUNATETA KIDOGO: Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji katika ikulu ya jijini Maputo leo.Rais Kikwete yupo nchini Msumbiji kuhudhuria kikao cha viongozi wa jumuiya ya uchumi kusini mwa Afrika SADC

HAPA NDIPO IKULU YA MSUMBIJI MHESHIMIWA: Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana  na mwenyeji wake Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji katika ikulu ya jijini Maputo leo.Rais Kikwete yupo nchini Msumbiji kuhudhuria kikao cha viongozi wa jumuiya ya uchumi kusini mwa Afrika SADC


KARIBU SANA: Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na mwenyeji wake Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji katika ikulu ya jijini Maputo leo.Rais Kikwete yupo nchini Msumbiji kuhudhuria kikao cha viongozi wa jumuiya ya uchumi kusini mwa Afrika SADC

PICHA ZOTE NA FREDY MARO

MISS UTALII TAIFA KUPIGA ZIARA NDEFU

11:07:00 AM Add Comment




RATIBA NI KAMA IFUATAVYO
Miss Utalii Tanzania 2012/13 wiki ijayo wataanza ziara ndefu ya kutembelea Hifadhi za Taifa na vivutio vya utalii katika mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Mtwara, Lindi na Pwani. Vivutio hivyo ni pamoja na Hifadhi za Taifa za Mikumi, Udizungwa, Saadani, Selous, pia maeneo ya kihistoria ya Bagamoyo, Amboni, Kijiji cha makumbusho,Makumbusho ya Taifa, Pugu sekondari,maeneo mengine ni ufukwe wa kigamboni, soko la kimataifa la magogoni, uwanja wa taifa, J.K.Nyerere Air Port, Soko la Kariakoo, mashule ya sekondari na msingi, pia watatembelea manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni ambapo watakutana na viongozi wakuu wa wilaya, mikoa, na wabunge katika majimbo ya mikoa hiyo.

NA MOHAMED DEWJI 

KWA RAHA ZETU: BRUCE WILLS AKIONESHA MAPENZI YA DHAT KWA MKE WAKE

10:55:00 AM Add Comment
 SOGEZA SHAVU KIDOGO MAMITO : Muigizaji wa Filamu toka Hollywood, Bruce Wills akimchum Mahabuba wake, namaanisha Mke wake
 
 RAHA...UTAMU? : Bruce Wills akiwa kamvutia kwake kisawa sawa

HATA HAPA NI SAWA : Mke wa Bruce Wills akimbusu Papito wake kwa Cover ya Muvi yke Mpya

RICK ROSS: "SIWAOGOPI WANAOTAKA KUNIPIGA RISASI"

10:42:00 AM Add Comment


BAADA ya kukoswa koswa Juzi na Risasi ambazo zilipelekea kupata ajali kwa gari lake, jana Mkali wa Hip hop na Boss wa MMG, Rick "Rozay" Ross ama muite "The Big Bouss himself"...ameonekana katika mitaa ya LA (Los Angels) akiwa hana wasi wasi na maisha yake baada ya kutishiwa kuuawa.

Akiwa ni mwenye furaha, huku akivuta "Msigara " wake mkubwa, Rozay amejiachia kiasi cha kutokuhisi kuwa kuna watu ambao wanamuwinda ili wamtie Risasi za kutosha kutokana na sababu ambazo wanazifahamu wao wenyewe (Ross na Wawindaji wake)  



Siku kdhaa zilizop[ita, The Big Baus alipata ajali ya Gari akiwa anakwepa Risasi ambazo zilirushwa na Mtu ambaye alikuwa hafahamiki, ikiwa ni siku moja tu baada ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa. 


Tukio hilo ambalo lilitokea mitaa ya Ft. Lauderdale , Januari ya Tarehe 28, halikuweza kumdhuru mtu yeyote ikiwa ni pamoja na binti aliyekuwa amekaa na Rick Ross katika Gari hilo, ambaye pia inasadikika kuwa ni "kipele" chake

MNADA BANNER