REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MADEE: MEDIA ZIKIONDOA MATABAKA..MUZIKI WA BONGO FLEVA UTAFIKA PAZURI. NI USHAURI TU.

8:34:00 AM Add Comment


HATUA Ya BASATA kuondoa Wimbo wa MADEE-TEMA MATE katika Kinyang’anyiro cha KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS (KTMA)- 2014, infact iliwashtua Wengi na hata Kujiuliza Sababu ya Maadili inawezekana Vipi, wakati wimbo umechezwa Haswa na hata kuingia katika BILBOARDS za redio mbali mbali hapa Nchini.

JANA Kupitia Kipindi Cha JAM SESSION cha Metro FM 99.4 MHz, Madee alizungumza Mengi ya Msingi, huku akiwasihi watu wa Media (Vyombo Mbali mbali vya habari) Kuondoa matabaka dhidi ya wasanii Fulani, ili Muziki wa Bongo Flva kufika Mbali.

Tofauti na hayo , Madee alisema kuwa, Muziki wa Bongo Fleva Ni wa Vijana, lakini ukiangalia Viongozi wa Juu wa BASATA ni WATU WAZIMA, yaani Umri umekwenda Kidogo, hivyo hawaufahamu Muziki wa Bongo Fleva, na Mashairi yake hasa Kipindi Hiki.
Msikilize Madee

SIKILIZA NJE YA BOX YA JAM SESSION, MARCH 27,2014. TULIKUTANA NA WANAFUNZI WA ROYAL PRINCE COLLEGE, SENGEREMA

7:52:00 AM Add Comment

LEO KATIKA NJE YA BOX
DOTTO alipata nafasi ya kuzungumza na Wanafunzi wa Chuo cha ROYAL PRINCE kilichoko Wilayani Sengrema katika Mkoa wa Mwanza…

Msikilize Hapa..alichozungumza nao

JET MAN: HALI YAKE SIO NZURI, LAKINI WIMBO WAKE HATIMAYE UMEINGIA KATIKA TUZO ZA KTMA-2014. MSIKILIZE ALICHOKISEMA

7:29:00 AM Add Comment
JET MAN Ni Msanii wa Muziki aina ya DANCE HALL Nchini Tanzania, Mwenye Makazi yake Jijini Mwanza. Kama utakuwa ni Mfuatiliaji Mzuri sana, JET MAN aliweza kufanya Vema Sana na Track yake kali ya POZI LA KICHOKOZI, na Hata MY SWEET ambayo aliiachia Mnamo Mwaka 2012.

Wakati anaachia Track hiyo, JET MAN alipata tatizo la Kiafya hasa katika UTI WA MGONGO , hali ambayo imemuweka katika wakati mgumu wa mateso mpaka mwaka huu, kutokana na kutokutembea wala kusimama.


LAKINI Sijui kama unafahamu kuwa, JET ni moja kati ya WASANII wachache sana ambao waliutangaza Muziki Kimataifa (Enzi hizooo), ambapo kazi zake alikuwa akizifanyia OGOPA DEEJAYZ Nchini Kenya.

Kwa Taarifa ambazo TTM tulizipata, ni pamoja na Ngoma yake ya MY SWEET alomshirikisha NOORJAN, Kuingizwakatika Kipengere ca WIMBO BORA WA RAGGA/DANCE HALL, katika Tuzo za KTMA mwaka 2014.
Msikilize alichokisema

BABY MADAHA: HII IMEKUWA NI KOFI KWA WOTE WALIONIOMBEA MABAYA NA KUNIZUNGUMZIA VIBAYA

7:04:00 AM 1 Comment

JANATulikupa info kuhusu Wimbo wa NICE & SLOW ulioshirikisha  Msanii kutoka Nchini Tanzania BABY MADAHA akiwa na Meneja wake JOE CANDY kutoka Kenya.

Wimbo Huo umeligonga NAMBA 4 katika Chati ya UK TOP 30 kunako Mtandao wa REVERBNATION

Sasa Hebu Sikiliza alichokisema BABY MADAHA, ambaye Pia amezungumzia kuhusu Sababu za Yeye kutokuchaguliwa katika Tuzo za KTMA mwaka 2014, katika Interview na Kipindi cha JAM SESSION cha 99.4 METRO FM-MWANZA

EMMY'S LAMODA : BINTI MREMBO WA MWANZA, HUU NDIO MUONEKANO WAKO KATIKA RED SWAGG

6:21:00 AM Add Comment



KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KIMEANZA RASMI LEO

6:16:00 AM Add Comment


NA GEORGE BINAGI,Mwanza
Kikao cha kwanza cha baraza la Madiwani wa halimashauri ya Jiji la Mwanza, leo kimeanza rasmi huku kikitumia baadhi ya kanuni mpya, baada yam kikao hicho jana kushindwa kufanyika ili kupisha semna kwa wajumbe wa baraza hilo juu ya kanuni hizo mpya zitakazotumika kuliongoza baraza hilo.

Miongoni mwa kanuni mpya ambazo zimeingizwa na TAMISEMI katika vikao vya halimashauri zote hapa nchini ni pamoja na kila diwani kuandaa na kuwasilisha mbele ya baraza taarifa ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya Kata yake kabla ya kikao cha baraza kuanza.

Kanuni nyingine ambazo ni mpya zinahusu dua maalumu ya kuiombea halimashauri na kuimba wimbo wa Taifa kabla ya vikao vya baraza la madiwani wa halimashauri kuanza, sanjari na maswali ya papo kwa hapo kwa mwenyekiti wa baraza la madiwani ambae ni Mstahiki Meya, ama kwa Mtendaji wa baraza ambae ni Mkurugenzi wa Jiji.

Kutokana na kanuni hizo mpya, wajumbe wa baraza la madiwani waliafikiana hiyo jana kusitisha shuguli za kikao cha kwanza cha baraza hilo ili kupata semna kuhusiana na kanuni hizo ili kuwajengea uwezo na uelewa katika kuzitumia.

Kwa mantiki ,Kabla ya kikao cha leo kuanza Redio Metro ilizungumza na baadhi ya madiwani ambao ni wajumbe wa baraza hilo la madiwani wa halimashauri ya jiji la Mwanza ambao wameeleza kwamba baada ya semna ya jana waliafikiana kwa pamoja katika kutumia kanuni hizo mpya.

Baada ya kupata ufafanuzi huyo nje ya Ukumbi wa halimashauri ya Jiji la Mwanza, uliwadia wakati wa kikao hicho cha baraza la Madiwani kuanza, ambapo tulishuhudia kanuni mpya zikianza kutumika rasmi, na hapa Mwenyekiti wa baraza hilo ambae ni Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula aliwaongoza wajumbe katika kuimba wimbo wa Taifa pamoja na dua maalumu ya kuimbea halimashauri kabla ya kikao kuanza rasmi kama kanuni zinavyoelekeza.

Baada ya wimbo wa Taifa na Dua kwa halimashauri, mwenyekiti alitoa mwongozo wa ajenda ya kwanza ya kikao ambayo ni wajumbe wote kuzingatia suala la mavazi ambayo ni ya heshima sanjari na majoho huku akibainisha kuwa mavazi na kofia za aina yoyote havitaruhusiwa katika vikao hivyo.

Ajenda iliyofuata ilikuwa ni madiwani kuwasilisha taarifa za shughuli za maendeleo katika kata zao ikiwa ni utaratibu mpya kabisa kwa kuwa hapo awali utaratibu huo haukuwepo, hali ambayo mwenyekiti amebainisha kwamba imepelekea madiwani kuwasilisha taarifa zenye mapungufu na hivyo mwenyekiti kutoa pendekezo la kuwepo kwa semna elekezi juu ya namna ya kuandaa taarifa hizo ambazo zitakuwa zikitolewa kila baada ya miezi mitatu.


50 CENTS AMLIPUA BINTI ALIYESHIRIKI KWENYE VIDEO YAKE..

3:36:00 AM Add Comment

WENGI tumekuwa tukimfahamu 50 CENTS kama Moja kati ya Rapaz ambao hawaishuiwi na makuu lakini ni Kwa lengo la kutaka kuirudisha Heshima yake katika Music Industry.

This Time TTM tumenyaka Info ya Kushangaza kidogo kutoka kwa Mkali huyu ambaye Hivi sasa anashughulikia ALBAM yake ya ANIMAL AMBITION ambayo itasheheni Mikwaju kibwena kama Vile PILOT, DON’T WORRY ABOUT IT, HOLD ON, THE FUNERAL na Nyinginezo Nyingi.

50 Cents ameamua Kumuanika Mwanadada mmoja ambaye ameshiriki katika moja ya Video yake ambayo Soon itaingia Kwa hewa kuweza kuliteka Soko la Muziki.

Kupitia Account yake ya Instagram, FIF amedai kuwa kuna Picha ambazo zimekuwa zikisambazwa hasa katika mtandao wa Udaku Nchini marekani unaofahamika kwa jina la MEDIA TAKE OUT, na Mhusika akiwa Ni Video model huyo SALLY FERREIRA, huku akijitapa kuwa ni Girlfriend wake na 50 CENTS.

50 alitoa Ufafanuzi kuwa, Picha hizo ambazo Kiukweli zinawaonesha wawili hao wakiwa katika Poz la Kimahaba, ni Vipande vya Sehemu ambazo zinapatikana katika Moja ya Video Mpya Itakayoshushwa hivi karibuni.


Pia FIF alitoa Onyo kwa watu Mbali mbali hasa mashabiki wake na wadau wa Vyombo vya  Habari mbali mbali kuwa Binti huyo anafanya mchezo mchafu, hivyo watu hawatakiwi Kuamini hicho anachokifanya kwa JKusambaza Picha hizo kunako mitandao mbali mbali ya kijamii.

CHAMELEONE AMELAMBA DEAL LA KUUTANGAZA UTALII WA UGANDA

3:21:00 AM Add Comment

MWENYEZI MUNGU ameonekana kuwa karibu sana na Dance Hall Killer kutoka Nchini Uganda Josee Chameleone, baada ya Kuamua kuongea nae kwa vitendo huku akimkabidhi madili Juu ya madili kila Kukicha.

This Time Mkali huyo wa Tubonge Representing 256 (UGANDA) amedaka Dili kali la kuutangaza Utalii wa  Nchi hiyokunako Sehemu mbali mbali za ulimwengu huu ambao TTM na WEWE tumo humu humu.


Kupitia UKURASA wake wa FACEBOOK, Chameleone alitoa Info hiyo kwa mashabiki wake mbali mbali na kusema kuwa jukumu lake kubwa itakuwa ni kutangaza Vivutio mbali mbali hasa 40 ambavyo Vipo BUSOGA Nchini Uganda.


Akionekana Mwenye Furaha, Jozee alipost Picha ambayo inamuonesha akiwa pamoja na SPIKA wa Bunge la Nchini Uganda, REBECA KADAGA, baada ya kumaliza Kikao chao ambacho kilifanyika katika ofisi za Bunge.

KAMA HUKUINYAKA HII KUHUSU D’BANJ..BASI HAJAWAHI KUKUTANA NA MWANAMKE ATAKAYEMPA MAPENZI YA DHATI…

3:18:00 AM Add Comment

KAMA We Ni Sexy Baby, Unajua Kupenda, unaweza kujitolea kwa kila kitu kuhusu Mahaba ya Dhati, basi, hili Ndo Chance lako.
Iko hivi,

Katika Zunguka yetu huku na kule Kujua Kinachoendelea Nchini Nigeria, Finally TTM tumeinyaka Kuwa, D’Banj amethibitisha kuwa hajawahi kukutana na Mwanamke ambaye atamfanya Ampende kwa Dhati na hata Kufa kwa ajili yake.

Akizungumza kunako Moja Ya Interview iliyofanyika Hivi majuzi kunako Redio moja Nchinu UINGEREZA, D’ Banj ambaye aliwahi kukunjuka na Sexy Babes Nchini Nigeria Like GENEVIEVE NNANJI, JENNIFER OBAYUWANA na NADIA BUHARI, amesema kuwa Ni kweli amekutana na wanawake hao wenye Umaarufu na hata wengineo, lakini hajampata yle wa Dhati na wala hajamuona.

Maelezo hayo yalitoka kunako Swali ambalo lilihusisha Track yake Mpya ya BOTHER YOU itakayotumika kama Sound track kwenye Filamu ya HALF OF A YELLOW SUN, ambayo imetokana na Riwaya ambayo ina Jina hilo Hilo.


Pia D’banj alihitimisha kuwa, Wimbo huo ni kweli umetokana na Riwaya hiyo ambayo imeandikwa na CHIMAMANDA ADICHIE, na unazungumzia kuhusu kulisaka Penzi la Dhati ambalo hata yeye hajawahi kukutana nalo.

JIMWAT ANAFUKUZIA KUPIGA KOLLABO NA SIZE 8.

3:16:00 AM Add Comment

KUNA Uwezekano mkubwa Soko la Muziki wa Injili Nchin Kenya likapokea jembe linguine ambalo ni kali kunako kuandaa Lyrics za Simulizi za Ukweli.

JIMWAT ambaye hivi sasa hali yake inaendelea Vizuri kiafya, amtoa mtonyo kuwa anatamani na amedhamilia kupiga Kollabo na Mwanadada Aliyeokokoa, SIZE 8, pale atakapokuwa tayari kuingia Studio.

Jimwat ambaye aliteka Soko la Muziki na Track yake ya UNDER 18 na SITOI KITU KIDOGO, amthibitisha Hilo huku akiongeza kuwa anadhamilia kufanya Tracks Kibao na wasanii wengine tofauti Kutoka Nchini Kenya Pia anatarajia kutoa ALBAM Mbili kwa Wakati mmoja, yaani DOUBLE ALBAM.

Tofauti na hayo, JIMWAT amezungumzia tuhuma mbali mbali ambazo zilimkabili, kuwa alikuwa Ni Teja wa kupindukia, na kusema kuwa taarifa hizo hazikuwa na Ukweli wowote Ingawa, yeye alikuwa anatumia Kilevi cha Pombe kali tu, Siyo BHANGI wa UNGA..


Miezi kadhaa iliyopita, Jimwat alikuwa katika hali mbaya Kiafya, ambapo alitakiwa kufanyiwa Oparesheni Si Chini ya tatu baada ya kupata Ajali mbaya ya gari, lakini Hivi sasa anaendelea Vizuri

EMMY'S LAMODA- KWA SUPPA DADAZ WA MWANZA..UFANYE MTOKO WAKO WA KIJANJA KUWA HIVI

6:57:00 AM Add Comment




PICHA: AFRICAN BARRICK GOLD MINING WADHAMINI TIBA YA UPASUAJI BURE KWA KICHWA, MGONGO NA MISHIPA YA FAHAMU KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA.

6:49:00 AM Add Comment












LICHA ya kuwa na Madaktari bingwa wa upasuaji wa kichwa wasiozidi watano tu nchini, wodi za kitengo cha upasuaji wa kichwa na mifupa cha Hospitali ya Rufaa ya Taifa Mhimbili (MOI) jijini Dar es Salaam, zimefurika wagonjwa.

Mratibu wa jopo la madakatari bingwa saba wa MOI walioweka kambi maalum ya matibabu ya mgongo na upasuaji kichwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) jijini Mwanza, Dkt Othman Kiloloma, amesema hali hiyo ni moja ya changamoto kubwa inayokikabili kitengo hicho.

Amedai, kutokana na kusubiri matibabu hayo kwa muda mrefu, baadhi ya wagonjwa wa nje ya Dar es salaam huishiwa fedha za kujikimu na hata nauli, hivyo Madkatari hao kulazimika kuwasaidiwa nauli za kuwarudisha makwao.

Dkt Kiloloma alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya uzinduzi wa Matibabu ya mgongo na upasuaji kichwa unaofanywa na wataalam hao hapa, kwa kushirikiana na madakatari bingwa wa BMC. 

Matibabu hayo yanayotolewa bure kwa ufadhili wa kampuni ya African Barrick Gold katika hospitali ya Bugando, yalianza juzi (Machi 24) na yataendelea hadi Machi 28 mwaka huu ambapo wagonjwa zaidi 33 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji mkubwa wa vichwa na kutibiwa migongo.

“Wodi zetu zimejaa wagonjwa wetu wanasubiri kwa muda mrefu, ukituletea mgonjwa atalala wapi wakati wamejaa hadi kwenye makorido lakini hatuwezi kuwafukuza.” Alieleza Dkt Kiloloma wakati akionyesha picha za wagonjwa waliolazwa MOI, walivyofurika.

Alisema kupeleka wagonjwa wa aina hiyo Dar ni gharama kubwa hivyo ndiyo maana jopo hilo kwa ufadhili wa kampuni hiyo ya uchimbaji madini nchini, limeweka kambi Bugando ili kuwasaidia wagonjwa waliopo kanda ya ziwa ambao ingebidi wapelekwe Mhimbili au nje ya nchi kwa matibabu hayo.

“Kati ya Madaktari saba tuliotoka MOI kuja Mwanza kuungana na wenetu wa Bugando kusaidia wangonjwa wa Kanda hii ya ziwa, mabingwa wa upasuaji wa kichwa tupo watatu. Tanzania nzima ina mabingwa wa Upasuaji kichwa wasiozidi watano, hivyo wawili ndio wamebaki Dar.” Alieleza bingwa huyo na kudai upungufu wa wataalamu hao ni changamoto kubwa inayolikabili taifa.
Alieleza kwamba kukamilika kwa jengo la ghorofa nane linalojengwa MOI kutasaidia kuondoa mlundikano wa wagonjwa ambao sasa wanakosa pa kulala licha ya wengine kuwa nje ya wodi wakisubiri matibabu. 

“Tunapasua wagonjwa 600 kwa mwezi lakini kutokana na kusubiri matibabu kwa muda mrefu kidogo, baadhi au wauguzi wao huishiwa fedha za kujikimu na kulazimika kuwasaidia nauli ya kurudi kwao, wengine (akina mama) hukuta waume zao walisha oa wanawake wengine.” Alidai.

CREDIT: G-SENGO

PICHA: SIO MBIO TU, HATA HUKU YUPO. MCHEKI MWANARIADHA BOLT AKIJIACHIA

2:57:00 AM Add Comment


BABY MADAHA ATUSUA …TRACK YAKE NA JOE CANDY YAPIGA TOP 5 UK CHART REVERBNATION.

2:18:00 AM Add Comment

CANDY n CANDY RECORDS Nchini Kenya huenda ikazaa matunda na hata kupata Sifa kama Lupita Nyong’o ambaye hivi sasa ni talk of the World.

The real Good News ni Kwamba, Track ya NICE & SLOW ambayo Mtanzania BABY MADAHA na JOE CANDY waliifanyia vema, imeweza kushika NAMBA 4 Mpaka hivi sasa Kupitia TOP 30 CHART UK katika Mtandao wa REVERB NATION.

Aidha Track Hiyo ambayo imejaa Utamu wa Kutosha, imehusisha Sauti Fulani hivi za kimahaba zikiwa zinanong’oneza, ambazo ahusika wa sauti hizo ni wa Kujiita QUEEN OF SWAGGZ – BABY MADAHA, huku Vocal La kiume kutoka kwa JOE CANDY, likijibu kwa mbali maneno Fulani hivi.

Tofuti na Audio Hiyo ambayo inazidi kupeta kama hivyo,  Video ya Track hiyo NICE & SLOW imeshakamilika na jana ndo imeingizwa rasmi kunako mtandao wa Youtube.

Video hiyo Clean kabisa ikiwa na vikolombwezo kibao, imesimamiwa na kampuni ya PLATNUM –HYP FILMS kwa ushirikiano mzuri na Candy n Candy Records.


Big Up Kwa Baby Madaha na Candy N Candy Records Nchini kenya

CHECK VIDEO YAKE HAPA..

MNADA BANNER