REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

R.I.P MADIBA: PICHA NNE ZA SANAMU YA HESHIMA YA MANDELA NCHINI AFRIKA YA KUSINI

5:53:00 AM Add Comment




HATIMAYE JAGUAR AMUANIKA PACHA WAKE

5:51:00 AM Add Comment

Wengi Tunaamini kuwa Huenda long time sana, jamaa huyu alikuwa ana ndoto ya kuwa na pacha wake karibu na hata Kumpata kwa ajili ya usaidizi wa Mishe Kibwena

Mkali wa KIPEPEO, Jaguar Kutoka Nchini Kenya, hatimaye amamuonesha hadharani pacha Wake ambayo ni Gari kali aina ya JAGUAR XJ SERIES.

Tukio hilo lilifanyika katika Moja ya tamasha la Mtandao wa simu nchini Kenya, katika Kiwanja cha kasarani, ambapo jaguar alionekana akiingia na gari lake hilo lenye Jina kama lake, na ambalo amekuwa akiliita Pacha wake Mara kadhaa,


Kwa mujibu wa Wataalamu wa Magari nchini humo, inasemekana kuwa Gari hilo ambalo lilimgharimu zaidi ya Shillinigi Milioni 10 za Kenya, na ni toleo jipya kabisa la Mwaka 2013.


Baada ya Tukio Hilo, jaguar aliipost Picha Hiyo ya gari lake katika Ukurasa wake wa facebook, huku Waliohuduhuria tamasha Hilo, wakimsifia jaguar hasa kwa kuingia Vema katika Uwanja huo, huku akishangiliwa na watu Kibao

D’BANJ NA GENEVIEVE NNANJI…..KUNANI?

5:47:00 AM Add Comment

People fall In Love, lakini D’Banj aliwahi kukiri kuwa alikuwa amefall In Love na Genevieve, licha ya Kutengana kwao, bado hatosahau mahaba yake.

Ladies And Gentlemen….

The International Supper Star akiwakilisha Niger, D’Banji, MR KOKO MASTER Himself, alionekana akiwa na aliyekuwa Mpenzi wake, GENEVIEVE NNANJI ambaye Pia ni Star Wa Nollywood Movies
Wawili hao walioneakana wakiwa wenyefuraha na Kukaa beneti kabisa siku za hivi karibuni, katika Club Moja hivi inayofahamika kwa jina la GULDER CLUB ULTIMATE PARTY, iliyoko katika kisiwa cha VICTORIA huko Jijini Lagos

Mchoro mzima Ulianza kuchorwa pale Mtu mzima D’Banj alipoingia katika Eneo hilo akiwa ndani ya ndinga yake kali ya gharama, aina ya BENTLEY akiwa kanyuka Black and White, na Kisha baada ya dakika kadhaa, GENEVIEVE naye alitia Timu akiwa na Ndinga yake aina G-WAGON.


Kwa Mujibu wa Pics ambazo tumezinyaka Pia, zinawaonesha wawili hao waliowahi kupeana maraha na mahaba makali ya Kubiringika huku na Kule, Katika Kipindi cha Nyuma, ni pale walipokaa katika Sofa Moja, huku wakionekana Kunong’onezana mawili matatu mara kadhaa, na hata Kufurahi pamoja.

JAY SEAN APATA AINGIA KATIKA JUKUMU LINGINE

5:43:00 AM Add Comment

The R&B Singer na Memba wa YOUNG MONEY CASH MONEY BROTHER, Jay Sean, na Mkewe, Finally wamepata Mtoto wa kike na kuongeza familia

Wakionekana wenye Furaha za kumwaga, wawili hao walipost Picha kadhaa kwenye Mitandao ya kijamii kuthibitisha kuwa Familia yao imeongezeka na Kuwa na kababy Girl waliokapatia Jina la AYYA LOVEEN KAUR JHOOT.

Katika Kudhihirisha furaha hiyo, Jay Sean ambaye alifanya Vema na Track ya RIDE miaka 6 iliyopita, alipost kupitia Instagram akisema kuwa, YUUUUP!..I AM A DADY”

Inaaminika kuwa, ongezeko la familia Hiyo, linaweza kuboresha zaidi ndoa ya wawili hao wapendanao, yaani JAY SEAN na Mkewe THARA NATALIE


Congratulations

KUNA KITU HIKI AMBACHO KINAMSUMBUA SANA 50 CENTS……

5:39:00 AM Add Comment

Mkali wa Rap Nchini marekani The black gorilla, Jackson Curtis “50 Cents”, finaly ameweka bayana kinachomnyima raha mpaka hivi sasa.

Kwa mujibu wa maelezo yake, 50 alikiri kuwa moja kati ya Vitu vinavyomsumbua akili, ni Track yake ya IN DA CLUB, ambayo amekuwa akijitahidi kuikwepa na hata kutokutamani kuisikiliza kwa namna moja ama nyingine.

FIF aliongeza kuwa, Ni kweli Track hiyo ilikuwa ni kivutio cha masikio ya Kila mtu na mpaka hivi sasa ikigongwa sehemu yoyote, bado inakubalika,jambo ambalo huwa linamtesa kwa namna moja ama nyingine.

Sababu kubwa za kusumbuliwa na Track hiyo ambayo ilitoka rasmi mnamo mwaka 2003 katika Albam ya GET RICH OR DIE TRYING, ni kwamba tangia amefanya Kwaju hilo, hajawahi kutengeneza tena Wimbo wowote ambao utafikia Level ya In Da Club.


Licha ya Kurudi mara kadhaa katika game, Fifty anakiri kabisa kuwa mara nyingi Wimbo huoUmekuwa ukimpa mawazo sana, na hata kumuumiza akili, hasa akitizama namna ambavyo anaweza kufunika kwaju hilo

MNADA BANNER