REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

DJ KHALEED IS BACK ONLINE

2:23:00 AM Add Comment



New York, MAREKANI
BAADA ya Kukaa Kimya kwa Muda kadhaa tangia aachiae Projects zake, The Big Boss wa “WE THE BEST MUSIC”-DJ Khaleed, hatimaye ameamua Kurejea Kwa Nguvu Zote.

This Time, Ex-Member Huyu wa CASH MONEY RECORDS LABEL,amerudi na Albam Mpya ambayo ameipa Jina la I CHANGED A LOT, ambayo Very Soon ataiachia Sokoni.

Mzigo Huo ambao Utadrop OCTEBER 23 kunako Soko la Wababe wa Mikwaju na Packages za Albam, umewashirikisha Wakali Kibao akiwemo Jay Z, Lil Wayne, Big Sean, Meek Mill, Rick Ross, Jeezy , Chris Brown, August Alsina, Jeremih, French Montana, Ace Hood, Fetty Wap, na Wengineo Kibaaaaao

LIST ambayo itapatikana Kunako Albam Hiyo ya DJ KHALEED, ni kama Ifuatavyo:
1. I Don’t Play About My Paper (feat. Future & Rick Ross)
2. I Ride (feat. Boosie Badazz, Future, Rick Ross & Jeezy)
3. Gold Slugs (feat. Chris Brown, August Alsina & Fetty Wap)
4. I Swear I Never Tell Another Soul (feat. Future, Yo Gotti & Trick Daddy)
5. I Lied (feat. French Montana, Meek Mill, Beanie Sigel & Jadakiss)
6. How Many Times (feat. Chris Brown, Lil Wayne & Big Sean)
7. You Mine (feat. Trey Songz, Jeremih & Future)
8. Every Time We Come Around (feat. French Montana, Jadakiss, Ace Hood & Vado)
9. I Ain’t Worried (feat. Ace Hood & Rick Ross)
10. They Don’t Love You No More (feat. JAY Z, Meek Mill, Rick Ross & French Montana)
11. My League – Mavado
12. Hold You Down (feat. Chris Brown, August Alsina, Future & Jeremih)
13. Most High (feat. John Legend)

Deluxe edition:
14. Hold You Down (Remix) [feat. Usher, Rick Ross, Fabolous & Ace Hood]
15. Gold Slugs (Instrumental) [feat. Chris Brown, August Alsina & Fetty Wap]
16. I Lied (Instrumental) [feat. French Montana, Meek Mill, Beanie Sigel & Jadakiss]

#GoodNewz : JANET JACKSON AMERUDI KWA NGUVU, FAHAMU HILI JIPYA KUHUSU YEYE:

1:49:00 AM Add Comment



MAMITO ambaye alikuwa amepotea katika Game kwa Takriban Miaka 7, Janet Jackson, hatimaye amedhihirisha kuwa, bado ni Moto wa Kuotea Mbali though kuna baadhi ya Watu kama hawamuelewi.

Kwa mujibu wa Info ambazo zimetufikia “Wafukuza Mapepo”, Mkali huyu ambaye pia ni dada wa Marehemu Michael Jackson, Albam yake ya THE UNBREAKABLE, ambayo ameiachia rasmi Hivi majuzi Tu, hatimaye imeshika nafasi ya Kwanza katika Charts za BILLBOARD TOP 200, na kuvuta Hisia zaidi kwa watu mbali mbali kuzidi kuisaka.

JANET ambaye hivi sasa anafanya Poa na Mizigo Miwili, NO SLEEP na BURN IT UP aliomshirikisha Missy Eliott, Ndani ya Wiki ya Kwanza, Albam yake Mpya Hiyo, iliweza kuuza nakala 116,000, kitu ambacho kinaashiria ni ujio Mzuri wa Bibie huyu ambaye watu walikuwa kama Wameshamsahau katika Music Industry

Tofauti na Hayo, Albam ya UNBREAKABLE imekuwa ni ya kwanza akiwa Nje ya Management, yaani akiwa Huru.

Albam ambazo zimewahi kushika namba Moja kutoka kwa mamito huyu ni pamoja na Discipline album (2008). Miss Jackson’s other top spot projects include All For You (2001), The Velvet Rope (1997),  janet. (1993), Janet Jackson’s Rhythm Nation 1814 (1989) na Control (1986).

JUMANNE YA AIRTEL: TUMEKULETEA AIRTEL MONEY TAP TAP

1:26:00 AM Add Comment


Airtel Instagram
Meneja Uhusiano Wa Kampuni Ya Simu Ya Mkononi Ya Airtel Tanzania , Bi.Jane Matinde Akionyesha Kadi Mpya Ya Malipo Inayotumia Huduma Ya Airtel Money Iliyopewa Jina La Airtel Money ‘ Tap Tap’ Katika Hafla Ya Uzinduzi Rasmi Wa Kadi Hiyo Uliofanyika Mbagala Nje Kidogo Ya Jiji La Dar Es Salaam

MNADA BANNER