REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MKWAJU MPYA : MWAKA MPYA by SALVI MANYIKA

8:54:00 AM Add Comment
TRACK : MWAKA MPYA
ARTIST : SALVI MANYIKA
STUDIO : TOPITO RECORDS
PRODUCER : D-TOUCHEZ

DOWNLOAD LINK : www.hulkshare.com

PICHA : HIVI NDIVYO MPENDWA WETU SAJUKI ALIVYOPUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELLE

8:15:00 AM Add Comment
 Wananchi na Wadau wa Filamu Nchin, Wakifanya Shughuli ya Mazishi ya Marehemu Juma Kilowoko "SAJUKI"




 Mheshimiwa Idd Azan akiteta Jambo

 Wasanii wa Filamu Nchini Tanzania "Bongo Movie", wakiwa Katika Simanzi Nzito

 Msanii wa Filam Nchini, Yusuph Mlela

 Kabuli ambalo Marehemu Sajuki kapumzishwa Leo hii, katika Makabuli ya Kisutu

 Baadhi ya Wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika Makabuli ya Kisutu, Tayari kumpumzisha Marehemu Juma "Sajuki" Kilowoko

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikewte alikuwepo katika Makabuli hayo, kumzika Msanii Sajuki

 Baadhi ya Ndugu wa Marehemu Sajuki

 Mazishi yakichukua Fursa yake


 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika Makaburi hayo Mapema Leo

 Baba Mzazi wa Marehemu Juma "Sajuki" Kilowoko, akija Kumzika Mwanae Mpendwa



 Rais Kikwete akiweka Udongo katika Kaburi la Marehemu Sajuki






 Baba Mzazi wa Marehemu, akiteta Jambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Kikwete

Mbunge wa Kigoma Mjini, Mheshimiwa Zitto Kabwe, alikuwepo

TODAY IN KENYA : 21 WAFARIKI KATIKA AJALI

3:48:00 AM Add Comment
Ajali hii imetokea huko eneo la Moro, Nakuru , Nchini Kenya, baada ya Gari aina ya "Matatu" kuacha Njia na Kulivaa Korongo.

Kama inavyoonekana Kwenye Picha hizi, Ajali hiyo imesababisha watu 21 Kufariki, na kuacha historia mbaya katika Nchi ya Kenya, ikiwa ni kuuanza Mwaka 2013 Vibaya


TODAY IN KENYA : UNEXPECTED SHOCKING

3:12:00 AM Add Comment



A man alleged to have masqueraded as a senior police officer in the Rift Valley will have his day in court.

Joshua Karanjahi Waiganjo, who is claimed to have been posing as the Rift Valley Deputy Provincial Police Officer (PPO) and an Assistant Commissioner of Police, was charged in a Naivasha court with four different counts.

The composed suspect was later taken to Naivasha District Hospital after it emerged he needed medical attention.

Members of the public revealed how he allegedly fleeced them and “sacked” police officers at will.

Some of those interviewed who requested that their names not be revealed said the middle-aged man came to Naivasha in 1997 from Timboroa where he was employed as a matatu conductor.

“He claimed to have been displaced in post-election violence and he worked along the Nairobi-Naivasha road for some years,” said one of the witnesses.

Later he headed to Eldoret where he worked as a bodyguard for an influential transporter in the town before he was fired.

The witness said that they later came to learn that he had joined the police force and would be seen with senior police officers.

Junior officers along the Nairobi-Nakuru-Eldoret highway told of the fear and mental torture he inflicted on them before his arrest.

“Initially we doubted that this man was a police officer due to the manner he presented himself and our worst fears have been confirmed,” said one of the officers.

So feared was the man that Naivasha residents and police officers were unwilling to reveal their names when narrating the trouble he had caused them.

A Naivasha trader, who also declined to be named, claimed he met the accused several times at the Rift Valley Provincial headquarters where he “assisted” many.

MNADA BANNER