REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NMB YATOA MAJINA YA WASHINDI WA DROO YA KWANZA (PIKI PIKI NA BAISKELI) KATIKA SHINDANO LA WEKEZA NA USHINDE

8:49:00 AM Add Comment


32inch waist? Your heart could be at risk

3:14:00 AM Add Comment



The figures in the online YouGov poll relate to 46 per cent of men and 43 per cent of women.

Overall, fewer than half of adults (42 per cent) were aware of the threshold for high blood pressure (a reading of 140/90) which can increase the risk of heart attack and stroke, and almost half of adults (46 per cent) didn’t know what a healthy Body Mass Index is.

Body Mass Index is calculated by dividing your weight in kilograms by your height in metres squared. A healthy BMI is between 18.5 and 25.
The survey also found that more than a third of people (34 per cent) underestimated how much exercise they should be doing a week.
Only 15 per cent knew that adults are advised to do 30 minutes of exercise, five times a week to maintain a healthy heart yet.


The charity says the findings, published to coincide with World Heart Day, mean that millions of people are putting the health of their heart at risk because they are not taking the necessary steps to prevent heart disease.

Heart disease ranks bottom of the list of health concerns for most people even though it is the UK’s single biggest killer claiming 73,000 lives a year.

Just two per cent of Britons are afraid of developing the condition, according to the poll of over 2,000 people for the British Heart Foundation.

This compares with 33 per cent who worry about developing dementia, 29 per cent who are afraid of cancer, nine per cent who dread Motor Neurone Disease and six per cent who fear a stroke.
The only conditions to rank alongside heart disease are Parkinson’s and the Ebola virus.

Furthermore, although most people are aware of the risk factors for developing heart disease, such as high blood pressure, being overweight, a sedentary lifestyle and poor diet, they don’t actually know what this means.

It also raises the question why despite huge awareness campaigns for heart disease, the messages are not getting through.

Dr Mike Knapton, Associate Medical Director at the British Heart Foundation, said: ‘Your heart is the most vital organ in your body, but all too often we take it for granted.

‘Despite being a largely preventable condition, coronary heart disease is still the UK’s single biggest killer, causing unnecessary heartache for thousands of families.

'By taking control of your heart health, you can invest in and enjoy your future health and life.’

Maureen Talbot, a Senior Cardiac Nurse at the charity, added: ‘There are still people out there that think heart disease will never happen to them and are shocked when it does.

‘Showing the benefits of reducing risk factors is quite a slow process and although things have improved, it is not always obvious. There is always more than can be done to get the right message out at the right time.


NEW DEAL: RIHANNA KUIGIZA KATIKA MOVIE YA JAMES BOND

2:54:00 AM Add Comment



MAREKANI
In case ulikuwa unadhani kuwa Rihanna is Totally kuisha katika Music Industry, basi kumbuka kuwa anaweza kugeukia katika Movie industry kama Kawaida..IKO HIVI !!!!

TTM tumepata Taarifa kuwa, kuna uwezekano Mkubwa kabisa Rihanna akahusika katika Movie kali ya JAMES BOND, huku akiigiza sambamba kabisa na DANIEL CRAIG “James Bond” wa sasa

Kwa Mujibu wa Mtandao wa OK, umesema kuwa, Rihanna ambaye hivi sasa kama amekuwa kimya kidogo katika Music Industry, atahusika kama mmoja ya Wahusika mabinti katika Movie Mpya itakayoanza kufanyiwa Kazi hivi karibuni


Tofauti na Kuhusika Katika Movie Hiyo, Rihanna  pia amewahi kuhusika Vizuri sana katika Filamu tofauti hasa BATTLESHIP na THIS IS THE END, huku ikiaminika kuwa Filamu hizo zinaweza kuwa zimemtangaza Vema Rihanna.

Filamu Hiyo inatizamiwa kuachiwa mnamo NOVEMBER 2015, na Rihanna atakuwa kama BOND GIRL

Waliodhurika kwa togwa Songea sasa wafikia watu 340

2:51:00 AM Add Comment





SONGEA, Tanzania
Idadi ya watu waliolazwa hospitalini kwa kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Litapwasi, Kata ya Mpitimbi mkoani Ruvuma imeongezeka kutoka 270 hadi 340.

Tukio hilo lilitokea Jumapili baada ya watu kushiriki sherehe ya Kipaimara ambako walikula, kunywa pombe na togwa na baadaye wale waliokunywa togwa walianza kuumwa matumbo, kuhara na kutapika.

Hadi jana, watu 102 walikuwa bado wamelazwa katika Zahanati ya Lyangweni, Hospitali ya St. Joseph Peramiho na Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma.

Tayari watu watano wanashikiliwa na Polisi kwa upelelezi kuhusiana na tukio hilo, akiwamo Baba Mzazi wa mtoto Dickson aliyepata kipaimara, Enes Nungu (47).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Mihayo Mskhiela aliwataja watu wengine wanaoshikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Songea kwa mahojiano kuwa ni Benedict Nungu (76), Esebius Komba (36), Sadiki Masodi (65) na John Kaulangudidi. Mtu anayedaiwa kukabidhiwa ufunguo chumba cha vinywaji kabla ya kugawiwa kwa wananchi, Ridhiwani Shawa haijulikani alipo.

Mabaki ya chakula, togwa na pombe ya kienyeji vilichukuliwa juzi na kupelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa uchunguzi.
Kamanda Mskhiela alitoa wito kwa wananchi wanaoandaa sherehe kuhakikisha wanafanya hivyo katika mazingira mazuri na yenye usalama ili kuepuka athari kama hizo.

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Peramiho, Dk Vanace Mushi alisema hadi jana, watu waliokuwa wamelazwa katika hospitali hiyo walikuwa 34 na hakukuwa na mgonjwa aliyeruhusiwa kurudi nyumbani.
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma, Majuto Mlawa alisema wagonjwa tisa wa rufaa walipokewa na kupatiwa matibabu huku hali zao zikiwa mbaya.

Akizungumzia tukio hilo, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu alisema: "Jambo hili limenisikitisha sana, nimeumizwa sana nawapa pole wote waliopatwa na tatizo hilo naamini Mwenyezi Mungu atawasaidia na watapona na kurejea katika hali zao za kawaida."

Hata hivyo, Mwambungu alisema hiyo ni ajali kama nyingine, hivyo anaviachia vyombo vya usalama na wataalamu wa afya kupata ukweli. Pia aliwataka wananchi kuwa makini pindi wanapoandaa vyakula na pombe za kienyeji katika sherehe mbalimbali.
Chanzo:Mwananchi

FUNUNU: MEDIA TAKE OUT WAMEDAI KUWA, AMBER ROSE AMEKUWA AKICHAT NA KANYE WEST TANGIA AMEPIGANA CHINI NA WIZ KHALIFA

2:34:00 AM Add Comment




MEDIA TAKE OUT
SWALI ambalo TTM tunazii kujiuliza ni kuhusu Hii Fununu ambayo inazidi kuenea kuwa Amber Rose amekuwa akichat na Kanye West, ina Ukweli wowote ama Lah, Skia Story Yenyewe ilivyo

MEDIA TAKE OUT wamemimina Mtonyo Kuwa, kuna Mdakuzi mmoja amewavujishia Taarifa kuwa, Amber Rose hivi sasa anachat na Kanyev West ambaye ni Mume wa Kim Kardashian, na hapo awali aliwahi kuwa Mpenzi wa Amber Rose kabla hawajapigana Chini.

Pia Inasemekana kuwa, Mdakuzi huyo alivujisha siri kuwa Baada ya Kupigana Chini na Mumewe Wiz Khalifa, Amber Rose alianza kuhaha huku na kule akiisaka namba ya Ex Wake Kanye west, lakini mara baada ya kuipata Tu, alianza kumpigia Simu huku wakichati, hasa kuzungumzia kilichotokea katika Ndoa yake

Pia Fununu zinazidi kumiminika kuwa, Amber alimuomba Msamaha kanye, huku akisihi Urafiki wao wa kawaida uendelee tu, na wamalize matatizo waliyokuwa nayo.

KITENGO CHIMBUA CHIMBUA kimeingia Kazini kuthibitisha Taarifa hizi kuanzia hivi sasa, na Endapo mambo yatakuwa tayari, basi TTM tutakupa Mtonyo For Real

KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO YA YA JASON DE RULO NA JORDIN SPARKS, KIUKWELI TUNACHANGANYWA

2:27:00 AM Add Comment




HOLLYWOODLIFE 
INABIDI tukubali kuwa hakuna Sehemu ya Kuegema kama huku ndiko kuna ukweli wenyewe, ama kule Ndio kuna Ukweli Wenyewe.


Taarifa zimetufikia kutoka HOLLYWOOD LIFE kuwa, Kuvunjika kwa mahusiano ya wawili Jasson De Rulo na Jordin Sparks, ilikuwa imepangwa ili kusukuma mauzo ya Albam Mpya ya Jasson De Rulo
Ingawa Siku ya jana Taarifa zilitoka kuwa, jasson De Rulo aliamua kumpiga Chini Jordin sababu ya kupigwa Karenda katika Suala la Ndoa na hivi sasa hawaongei, mtonyo mwingine ndio huu ambao umeshushwa bna Chanzo kilichoaminiwa na Mtandao huo




  • Ukweli Halisi Uko Wapi?

CHANZO hicho kimedai kuwa, Baadhi ya watu walikuwa wameshaanza kufahamu kuwa wawili hao hawako Vizuri na mpango wa kupigana Chin tayari ulikuwa umeshapangwa, lakini Bwana DE RULO aliaamua kuchelewesha kuvunjika kwa Mahusiano yao rasmi mpaka pale albam yake itakapotoka.
Aidha inasemekana kuwa ya kwamba, Jordin alikuwa anafahamu kuhusu hilo pia, kuwa De Rulo yuko katika Plan ya Kumpiga Chini hasa kimahusiano, lakini alikuwa na matumaini kuwa huenda De Rulo angebadilisha Maamuzi


  •  Maoni Ya Wadau

Asilimia kubwa ya Maoni yameonekana kuhisi kuwa Huenda Kuvunjika kwa Mahusiano ya hawa wawili ni Stry tu, ili kupum up mauzo ya Albam ya De Rulo, huku wengi wakimlaani De Rulo kama kweli ameamua kutanguliza Maslahi kwanza, na kuacha Mahusiano nyuma

LASER HOWARD Kutoka Texas, ye amemsihi Jordin awe na Msimamo wake wa kuwa na Nguvu zaidi, na kutokulia kwa ajili ya Jason , kwani kuna muda atapata Furaha

Kwa upande wake Lemmy Newton kutoka Dallas amedai kuwa, Kama ni Suala la kibiashara, na kudanganya watu kuwa wamepigana chini, basi kuna hati hati ya Mahusiano hayo kuwa na Changamoto hapo baadaye ukizingatia wengi watachukizwa na Uwongo huo uliopangwa

MNADA BANNER