REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MWANZA IS THE BEST: KILIO CHA AMANDOLA NA TIZZO, KINA UKWELI KABISA NDANI YAKE.

10:53:00 AM Add Comment


KAMA ilivyo kawaida yangu, jana Nilipata nafasi ya Kupita katika Mtaa wangu wa BUGARIKA, jijini Mwanza.

Nashukuru mungu huwa nina Chama kubwa ambalo huwa tunajumuika kupiga Story za hapa na pale hasa Muziki na masuala mengine, Huku tukipata “UJI” wa jioni, ambao husukuma Story zetu.
Lakini wakati stoty Zimenoga, Walikuja ghafla Vijana hawa wawili, AMANDOLA na TIZZO MIPANGO, ambao ninawafahamu vizuri maana tunaishi pamoja Mtaa mmoja.

Katika kitu ambacho nilikinukuu kutoka kwa AMANDOLA na TIZZO ni kwamba “HATUJAKATA TAMAA, LAKINI TUTAFANYAJE KAMA HUKO JUU KUMEZIBWA?”

Wawili hawa wanazo nyimbo zaidi ya Mbili na wote kwa pamoja wanafanya kazi vziuri sana, ingawa bado wanahitaji Support ya Dhati.

Niliwaza sana namna ya Kuwasaidia, nikasema hapana, lazima hili nilifikishe TTM, ili tufanye kitu ambacho kinaweza kueleweka kabisa..

Wanachokililia AAMANDOLA na TIZZO, ni Kitendo cha nyimbo zao Kuchukuliwa, lakini Mwisho wa siku hata hazipitiwi na waliozichukua kwa sababu tu, hawana Muonekano wa Kisanii (Mavazi, magari, Viatu vya gharama, Kusuka Rasta au Mengineyo)


Tofauti na hapo, hata watu wanaoahidi kuwasaidia, bado wanawakimbia na hata Kushindwa kupokea Simu zao, pale wanapowapigia na Kuwakumbusha kile Walichopanga.


Lakini Ngoja Nifanye kitu kimoja, Sikiliza Hii Track yao, inaitwa DEEJAY

EMMY'S LAMODA: ALL BEAUTIFUL GIRLS WA MWANZA, TUNAKULETEA "OFFICIAL LADY" CLOTHINGS..CHEKI HAPA

8:37:00 AM Add Comment



CLARA SALON: HATUNA HAJA YA KUJITAPA..HUDUMA YETU INAELEWEKA MWANZA NZIMA.

8:17:00 AM Add Comment

KAMA Wewe Ni Mgeni wa Jiji la Mwanza, haitupatii Shida kukuelewesha mahali ambako CLARA SALON Wanapatikana. Ukifika katika Shule ya Sekondari ya Pamba, Ulizia tu CLARA SALON, na kila mtu atakuelekeza Ilipo. Ni hapo hapo karibu.
Robert Tawile, Ramah D na Ally Ming;arisho Wakiwa Kazini ndani ya Clara Salon, Upande Wa Saloon ya Kiume

Moja kati ya huduma ambazo ninakuhakikishia utazifurahia, ni Pamoja na Huduma za Kiume na hata za kike katika Suala Zima la urembo kuwa sawa.
Ally “Ming’arisho” akiwa katika Kazi yake ya Kung’arisha Kucha na mengineyo

Tofauti na hayo, CLARA SALOON kuna Mavazi ya Jinsia ya kike na ya Kiume kwa watoto na watu wazima
Uduma unayoipata hapo, hakika itakushawishi urudi Mara kwa Mara, na hata kutamani kuendelea kubaki Eneo la Tukio, ukienjoy kila kinachoendelea


CLARA SALON eneo la Nje, kati kati ya jiji la Mwanza

CHAMBO RABA RABA: DEEY CLASSIC ANANIRUDISHA TENA KWA KISHINDO….

7:53:00 AM Add Comment

JIJI la Mwanza bado linazidi kufikia malengo mazuri baada ya Kila Msanii kufanya kile ambacho kinastahili kufanyika.

CHAMBO RABA RABA, moja kati ya wasanii wanaojituma sana kuufikisha muziki wao Nje ya mipaka ya Nchi hii, this time ameamua kuja na Kitu kipya ambacho kitamgusa kila mtu na hatimaye kuelewa kazi nzima kiujumla.

Akipiga story na TTM, CHAMBO amesema Kuwa , Track yake hiyo ambayo Imepikwa kunako Studio za REVOLUTION SOUND chini ya “Mguso” wa DEEY CLASSIC, itafahamika kwa jina la USIKATE TAMAA, huku ikiwa na maudhui ya kusikilizwa na Rika la aina yeyote.

Tofauti na hayo, Chambo ambaye ameweza kufanya vema na Traxx tofauti kama vile MAUMIVU na RABA RABA, amesema kuwa Track hiyo ya MAUMIVU itaachiwa Rasmi Mnamo Mwezi APRIL , mwaka huu

“Ninatarajia kuachia Track hii mwezi wa Nne, jambo ambalo tumekubaliana na Producer wangu DEEY CLASSIC kutoka Revolution Sound, hivyo wadau wa Muziki na Wapenzi wa Chambo raba Raba, wasubiri kushuhudia namna ambavyo DeeyClassicananirudisha katika ramani ya Muziki, baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kidogo”


Katika kuhitimisha, CHAMBO amesema kuwa Track hii kwa Mara ya Kwanza kabisa itasikika katika kituo bora Cha burudani Mwanza Nzima METRO FM 99.4, na hatimaye kusambazwa Sehemu tofauti hasa kupitia mitandao ya kijamii.

HUDDAH AMEZUA HAYA KWA MARAFIKI NA HATERS WAKE, BAADA YA KUACHANA NA ACCOUNT YAKE YA TWITTER NA INSTAGRAM.

7:41:00 AM Add Comment

Ilikuwa ni kama Mshtuko baada ya kubaini kuwa aliyekuwa Mshiriki wa BIG BROTHER AFRICA Mwaka 2013, akiiwakilisha Nchi ya Kenya, HUDDAH  MONROE, anaachana na Mitandao Miwili ya Kijamii, TWITTER na INSTAGRAM.
Sasa haya Ndiyo maoni ambayo yalifuatia kutoka kwa hao niliowataja hapo juu

Errymonroe: I'm having huddah fever, i miss her sana sana 
Bihanifa: I miss huddah 
Journeydedan: Huddah i miss u... 
Lizndirangu: I lv u Huddah
Imaryam9 :Where is huddah we really miss her
Shirohgee Baddest Bitch.....miss her. 

Boynayo: Now that huddah deactivated her acc y'all can reach her thru her email address Huddahmonroe @ yaHOE .com"

LIL WAYNE: NINATAMANI WASANII WANGU WANIFUNIKE…ILA HAKUNA WA KUMGUSA DRAKE

7:36:00 AM Add Comment

THE YOUNG MONEY CASHMONEY BROTHERS BOSS, Lil Wayne, Weezy, amesema kuwa katika maisha yake na hata Ndoto zake, anatamani sana wasanii anaowasimamia katika lebo hiyo ya YMCMB wafikie hata hatua ya Kumzidi yeye kimuziki.

Akimiminika katika moja ya Interview, Weezy ambaye hivi sasa anakimbiza na Kwaju la WE ALRIGHT amesema kuwa anakubali kama yeye ni mzuri katika kazi nyiongi hasa za kimuziki anazozifanya, lakini Moja ya jitihada ambazo anazifanya, ni kuhakikisha wasanii wake wanafikia Level ambazo ni zaidi yake.

Tofauti na kuwazungumzia Wasanii wake mbali mbali ambao anawakubali, Lil wayne amewazungumzia baadhi ya Malejendari Wenzake kama JAY Z na KANYE WEST na kusema kuwa Ni watu ambao wanahitaji heshima ya dhati kutokana na Kazi walizozifanya. Licha ya Kumuita KANYE WEST ni “GENIOUS”, Weezy alikiri kuwa kipindi ambacho Jigga alitangaza Kustaafu mziki, alikuwa anatizama huku na kule ili kujua ni nani atachukua heshima yake

Pia YOUNG MULLER ameongeza kuwa,Kipindi cha Kwanza wakati anamsikia Nicki Minaji, hasa katika Mstari wake wa Kwanza mpaka wa Nne, aliamini kabisa kuwa Yeye ndiye RAPA wa Kike bora Kuliko Wengine, hasa katika kipindi hicho.


Pia Licha ya kupagawa na kila Muziki wa Msanii wake Drake, Weezy ameongeza kuwa, khakika hakuna atakayemgusa DRAKE katika ubora na Ufasaha wa kila PINI analotoa.

PICHA: KUNA UWEZEKANO SAUTI SOL WANARUDI TENA?

7:31:00 AM Add Comment

BAADA ya TTM kupita kunako mitandao mbali mbali ya Kenya, tumeweza kunyaka baadhi ya Picha za kundi la Kuigwa Afrika mashariki na Kati, SAUTI SOL, wakiwa kunako Studio za ULOPA.



Pia tuliweza kuinyaka “CAPTION” katika picha hizo ikijieleza kuwa wakimalizia Project yao kubwa Itakayofuatia.


MNADA BANNER