REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MONICA: NINATARAJIA MTOTO WA TATU NA SHANON

12:23:00 AM Add Comment



Mwanamuziki Monica katika siku ya Mama duniani, ameamua kuwashirikisha mashabiki wake juu ya habari njema kuhusiana na yeye kuwa mjamzito akiwa anategemea mtoto wake wa tatu sasa.

Monica ameweka pia picha yake inayomuonyesha akiwa na kitumbo tayari na baba wa mtoto huyu ni mchezaji wa mpira wa kikapu, Shanon Brown ambaye ameirithi nafasi ya Rocko ambaye kwa sasa ni ex lover na baba watoto wa Monica.

Licha ya Monica kutokusema zaidi kuhusiana na ujauzito wake, tayari imefahamika pia kuwa, mtoto huyu mtarajiwa wa staa huyu atazaliwa mwezi
Septemba mwaka huu.

MNADA BANNER