REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HAKI YA MUNGU MMEKWISHA !!!: KUTANA NA KAHABA AMBAYE HUVUNA MKWANJA MWINGI NA NI KINARA WA KUFANYA UKAHABA KUPITIA GARI ZA USAFIRI AINA YA UBER

3:02:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
KIBONGO BONGO najua Madreva "Boda Boda " ndo huwa wanakutana sana na timbwili la "Makahaba" amba huwafanya hata kusahau kabisa kuwatoza mkwanja.

Hata wale ambao ni Madreva Tax pia hapa Bongo, huwa wanakumbana na mizigo ya aina hii, ambapo wanambeba binti halafu mwisho wa siku , akimfikisha semeu, anamwambia hana hela, labda ampe "Dudu", na kwa wale wenye ukata, basi hujikuta wakisafisha haja yao kwa "kuwatindua"

Sasa Nchini Marekani bwana, kuna huyu bibie ambaye kajichukulia umaarufu na hata nafasi namba moja kwa kuwa "Kahaba" ambaye huwatumia Madreva UBER kupiga safari zake bure, na kisha wanatoa mkwanja bila wao kutarajia.

Wamempachika jina la KAHABA WA UBER, maana jina lake halijafahamika Mpaka Hivi sasa, lakini mkwanja ambao anauvuna huwezi kuamini aisee

Binti huyu hutumia mbinu kadha wa kadha kabla hujatoa Hela lakini ni tayari anakuwa ameshaingia ndani ya Gari la Uber

   NJIA ANAZOTUMIA   
  • Anakuimbisha Kule anakoenda kwa sauti laini, na kila aina ya Mitego
  • Mkishaingia kwenye Gari, Style ya Kukaa tu, mwenye utashusha mikono, inaitwa BFFU (But First For You)
  • Baada ya hapo, huruhusu mapaja yake yakuchangany akili, hasa wakati unaongea naye na hata kuwasha Gari
  • Kisha atakuambia uweke wimbo anaoutaka, na unakuwa ni wimbo ambao umetawaliwa na maneno ya ngono, na kisha huanza kuimba huku akicheza
  • Huanza kucheza Style kadha wa kadha huku akitikisa "Kalio", style ambayo huitwa TWERK
  • Baada ya Hapo, huchukua Selfie ya kila kinachotke huku akikushawishi ujaribu japo kumshika unapopataka wewe Dreva
  • Baada ya hapo, huanza kukuambia Bei, na huanzia chini kabisa ambapo lazima utakuwa unakubali, na ukifikia Bei yake, imekula kwako.
  • Utakachokuwa umekosea, ni pale utakapomruhusu aondoke  na video clips, maana anatishia kuzivujisha..au uwe unamchapa kila siku

VIDEO: INASIKITISHA SANA... HIVI NDIVYO RAFIKI WA KARIBU WA DRAKE ALIVYOUAWA KINYAMA

2:33:00 AM Add Comment

Na Rich Sam & Insta Cop  
#WatuWaMungu tunaamini kabisa litakuwa ni pigo moja kubwa sana kwa Rapper Drake na Familia nzima ya OVO ikiwa ni baada ya kupatwa na Msiba wa mwanafamilia wao anayeitwa Anthony Soares – aka “FIF”

Tukio hilo liliwekwa Wazi siku kama sita hivi zilizopita na Rapper Drake ambaye alionekana kuumizwa sana na Kifo hicho cha moja kati ya Marafiki zake wa Karibu ambaye pia muda mwingi alikuwa Torronto.

SIKU ya jana, Video ya namna FIF alivyouawa hatimaye imewekwa Hadharani , ambapo alionekana katika Chumba Fulani hivi (haifahamiki kama ni ATM au lah, akifanya shughuli fulani huku mkononi kashika Glas ya Juice.

Baada ya Sekunde kadhaa walionekana vijana wawili, mmoja akiwa amevalia sweta la Blue na Mwingine sweta la Rangi ya Damu ya Mzee, na kuanza kumfyatulia Risasi, kitendo ambacho hakikuchukua hata Dakika moja, na kisha wawili hao kukimbia.

Video Mbili ambazo zimachiwa na TORRONTO POLICE SERVICES ziliweza kuwaonesha wawili hao wakihakikisha wamemshambulia FIF mpaka umauti kumkuta na kisha kuondoka na Gari Jeupe aina ya Ford

Mpaka Hivi sasa haijawekwa wazi chanzo cha Mauaji hayo

IKUMBUKWE
SIKU ya Jana, Drake alionesha Tattoo amabyo aliichora maalum kabisa kwa kumuenzi Rafiki yake huyo

KITI CHA MOTO KAMA KAWAIDA !!!!! : KIM KARDASHIAN AKAMULIWA "NDIMU" ZA KUTOSHA BAADA YA KUKOPI SLIPPERS ZA RIHANNA

2:03:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
WAZEE WA KAZI ....Its Going Down Right Now kwa huyu Mke halali kabisa wa Rapper Kanye West, anayefahamika kwa jina la KIM KARDASHIAN WEST

Waungwana wameamua kumkamulia "Ndimu" Kim Kardashian baada ya kungundua kuwa ameanza kutangaza bidhaa ya Slippers za kike kama zile za Rihanna

Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa Miradi ama shughuli za kibiashara za Watu maarufu ukiachilia mbali kazi zao za sanaa, Rihanna hivi karibuni aliachia Slipper/ Sandals za Puma ambazo zimepokelewa Vizuri sana na Waungwana wenyewe, na hata hapa Bongo zinavaliwa sana.

Sasa, ndani ya Wiki Hii, Rihanaa kaachia Slippers za aina hiyo hiyo ingawa hazina Logo ya Puma kama zile za Rihanna

Sasa baada ya kuziachia kupitia twitter account yake, Waungwana hao hao waliamua kumtolea uvivu na kuanza kumchamba kwa kukosa Ubunifu na kupita katika Njia za wengine

ITAWEZEKANA?: MKUTANO MAALUM WA KUTATUA TATIZO LILOPO BAINA YA JAY Z NA KANYE WEST

1:47:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
KAMA utakuwa unakumbuka Vizuri zaidi ni kwamba kipindi cha hivi karibuni, Jay Z aliwahi kuanika hadharani kuwa ugomvi wake ama kutokuelewana kwake na Kanye West, ni baada ya swahiba wake huyo kuihusisha familia yake na tatizo lao hasa jukwaani, kitu ambacho kilimkwaza sana

Lakini kama haitoshi, hivi majuzi tukapata Taarifa tena kuwa Kanye West ni kama ameamua kushusha mikono kwa Jay Z kutokana na tofauti zao ambazo zinaendelea mpaka hivi sasa....

Sasa, Good news ni kwamba, umeandaliwa  mkutano ama kikao maalum kwa ajili ya kuwakutaniasha Marafiki hawa wawili wa kipindi cha nyuma ambao hivi sasa ni mahasimu wa kutupwa.

Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo still zinazidi kuanikwa, ni kwamba inaonekana tatizo la Kanye West kujiondoa katika Mtandao wa Tidal, lililosababisha kuvunjika kwa makubaliano yao ya USD Milioni 3.5, ni kama itakuwa sehemu ya mazungumzo yao.

Ingawa ndio mchakato unaondelea sasa hivi, bado kuna ugumu kidogo wa wawili hao kukutana uso kwa uso kutokana na tatizo lao lililoanza mwaka 2016, ingawa bado wanaamini wawili hao wakikutana , itakuwa ni jambo zuri zaidi.

Mkutano huo pia unatarajiwa kufanyika maeneo ya Calabasas muda wowote ule, na kubwa zaidi ni kuurejesha uhusiano wao mzuri, ukiachilia mbali masuala ya Mkwanja

MNADA BANNER