REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

EXCLUSIVE: CHEKI VIDEO MAKING YA WAKUBWA WA JIJI..ZIPATE TUKUJUE. MWANZA HAKUKALIKI SASA HIVI..NI SHIDAAAAAAH

1:13:00 PM Add Comment

HAPPY VALENTINE'S DAY: MCHEKI MTOTO WA 2 FACE IDIBIA NA KILE ALICHOTWEET MKE WAKE

10:37:00 AM Add Comment



R.I.P GOLDIE HARVEY: HII NDIYO VIDEO YAKE YA MWISHO KUTOA KABLA HAJAFARIKI

10:33:00 AM Add Comment

BT PHOTOS: MCHEKI KELLY ROWLAND ALIPOTUA NDANI YA JIJI LA LAGOS, NIGERIA

10:31:00 AM Add Comment







KUTOKA BLOG RAFIKI: HUYU NDIYE ZEST, PRODUCER WA HIT TRACK YA WALE WALE KUTOKA KWA KALA JEREMIAH......(PICHA NA DAR USIKU)

7:26:00 AM Add Comment





HUYU NDIYE MWANAUME ALIYEMPATIA UJAUZITO RAPA LIL KIM

7:14:00 AM Add Comment

ANAITWA The Papers, na Kwa Mujibu wa Taarifa za Uhakika, ni kwamba Wameanza Mahusiano Muda Mrefu Kidogo.


Pia Inasemekana Kuwa The Papers Ni Moja Kati ya Rapaz Wanaofanya Vema katika Jiji la New York, Nchini marekani




WEEKEND: CINDY SANYU (UGANDA) & DYNA NYANGE (TANZANIA) BAADA YA INTERVIEW KATIKA KIPINDI CHA JAM SESSION, 99.4 METRO FM MWANZA

6:21:00 AM Add Comment







LIL WAYNE KUJA NA SURPRISE.

5:50:00 AM Add Comment

KAMA Ulikuwa Hutuchori, Utakumbuka kabisa  kuwa, Jana TTM tulikupa Mtonyo kuwa NICKI MINAJ anarudi kwenye game akiwakabeba Albam ya THE PINK PRINT, na tayari Ameshaachia Video Yake…

Sasa Kudhihirisha Kuwa YMCMB wana Mzuka wa Kutosha, TTM Tumezinyaka Kuwa, The Same Member wa YMCMB, LIL WAYNE, yuko Mbioni Kuachia ALBAM YA THE CARTER 5, ambayo itakuja kama SURPRISE.

Kwa mujibu wa Moja ya Taarifa zilizotolewa na Msimamizi wamasuala ya Promotion Kutoka YMCMB, MEL SMITH, Lil Wayne anatarajiwa Kushusha ALBAM Hiyo any Time,lakini itakuwa kama Surprise kwa wale Wote ambao walikuwa wamemiss .

Aidha katika kusisitiza hilo, Drake ambaye Pia ni Memba wa YMCMB, alitweet katika Akaunti yake neno CARTER V na kuacha hivyo hivyo, huku ikiwa Ni maswali kwawengi Kuhusu Kitu hicho cha Moto.


Kama Utakuwa unamfuatilia Vema Lil wayne, Kipindi Cha Nyuma WEEZy alikiri Kutokufanya Vizuri Msimu Uliopita, na Hata Kuomba Radhi kwa kitendo Hicho, huku akiahidi kuwa atalipa Deni lake kwa mashabiki wake.

Tofauti na hayo, weez aliachia Mixtape ya CARTER V ambayo inapatikana na inazidi Kupata Downloads.

Pia Weezy anakita Hewa za watu kupitia Mikwaju yake ya ORIGINAL SILENCE aliyomshirikisha Mack Maine na Kwaju la WE ARLIGHT alomshirikisha EURO na BIRDMAN

SIZE 8 AMESEMA MUMEWE YUKO SO ROMANTIC

5:31:00 AM Add Comment

Ayayayayayayaaaaaa..Happy valentine’s day Kwa Wooooote Mnaopendana

TTM Huwa hatupendwi kupitwa na Kila Kitu kinachovuta masikio Yetu, na Macho yetu.

THE QUEEN Of Mateke SIZE 8 amethibitisha Kuwa Mume wakeKipenzi DJ MO yuko So Romantic katika maisha yao Ya Ndoa tangia Wamekutana.

Katika Maelezo yake yaliyojawa Furaha, Size alisema Kuwa DJ Mo Ni Mtu wa Pekee Kwake na Ndoa Kiujumla, kwa sababu muda Mwingi amejaa Furaha, ambayo ni Chachu ya Ubora waMapenzi yao na Maisha Ya Ndoa kiujumla

Alipoulizwa kuhusu Mpango wa Mumewe Huyo Kuhusu Siku maalum kama Hii ya Wapendanao, SIZE 8 alisema kuwa, hajui chochote Kilichopangwa na Mumewe katika Siku Hii Muhimu, maana huwa Ni Mwingi waSUPRISE


Katika Kudhihirisha kuwaDJ MO ni Mtu waSUPRISE Kwake, SIZE 8 alidai kuwa aliwahi Kumuandalia Surprise kali wakati waKusherehekea Siku yake ya Kuzaliwa, jambo ambalo lilimfanya afurahi zaidi maana alihisi huenda Birthday hiyo ingeweza Kuwa Mbaya zaidi Kuwahi kutokea.

MUSTAPHA NAYE ANA HILI KWA CMB PREZZO

1:33:00 AM Add Comment

HAPANA Chezea Valentine’s day maze, Utachorwa Mpaka Ulie…
IKO HIVI…Mkali wa MTAANI.COM, COLONEL MUSTAPHA,kutokea Nchini Kenya, amempa Onyo Rapcellency Prezzo kuhusu Huddah Monroe, baada ya Kusikika Mitonyo huku na Kule kuwa Huenda Huddah na Prezzo wakarudiana katika Mahaba ya Dhati.

Hatua hiyo imetokea Baada ya Mustapha Kushindwa Kuvumilia uvumi 
Huo, na Kuamua Kufunguka ili Kulilinda Haba Lake na Huddah.
Katika Kukazia Hilo, Mustapha alinukuliwa akisema Kuwa amezama Kabisa katika Penzi la Huddah, na anampenda Sana. Hivyo anashangaa kwanini Prezzo hakumfanyia kila ambacho Mwanamke Mrembo kama Yule anatakiwa Kufanyiwa.

Siku Kadhaa Zilizopita, HUDDAH ameonekana akiwa amevalia T-shirt ambazo ni Fashion ya Mustapha,ambayo inaitwa LOBOKO T-SHIRTS, na wamewahi Kuambatana KLatika safari Kadhaa za Kikazi.


Tofauti na Hilo, katika Picha ambayo MUSTAPHA na HUDDAH walipiga huku ikiwa na Utata Mkubwa kwa wawili hao, huku akiweka maneno ya Nukuu kuwa “HII NDIO KIFO YA AZONTO,WHOEVER CANT STAND IT, CAN GO AHEAD AND COMMIT SUICIDE”, yaani “Hiki Ni Kifo Cha Mtu Mwenye Nguvu, Kama Huwezi Kustahimili, Kajiue”

MNADA BANNER