REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

FAHARI NEWS-MBEYA: AJALI YA BASI YAJERUHI 37 (KUMRADHI KWA PICHA UTAKAZOONA)

5:57:00 AM Add Comment



FAHARI NEWS: Mbeya
Watu37  wamejeruhiwa  mara baada ya basi walilokuwa wakisafiria  kutoka mkoani Mbeya kwenda Dar es salaam kupasuka tairi na kupinduka katika eneo la Meta, Chimala, Mbarali mbeya.

Ajali hiyo imehusisha   basi la kampuni ya Happy Nation lenye namba za usajili T. 281 ARR Scania lililokuwa likendeshwa na dereva aliyefamika kwa jina moja la Shabani.

Taarifa iliyothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya, Ahmed Msangi inasema kuwa basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mbeya kuelekea mkoani Dar es Salaam.


Amesema   ajali hiyo imetokea leo Nov 7  majira ya asubuhi baada ya kupasuka tairi la mbele kushoto hali ambayo ilisababisha   kuacha njia na kupinduka.

Amesema mara baada ya kupasuka  tairi dereva alishindwa kuimudu nahasa kutokana na eneo lenyewe kuwa na kona kali hivyo aliamua kuligongesha kwenye ukingo wa barabara nakusabisha hali hiyo.
Aidha Msangi amesema kuwa kati ya majeruhi hao  29 ni wanaume na wengine 8 nakwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.


Amesema kuwa  majuruhi  Sita kati ya wote hali zao ni mbaya na tayari wamefikishwa katika hospitali ya rufaa Mbeya kwa matibabu zaidi wakati majeruhi wengine 10 wakiwa wanapatiwa matibabu katika kituo cha afya Chimala.

Akithibitisha kupokea kkwa majeruhi hao Muuguzi katika chumba cha msaada wa haraka hospitali ya Rufaa Mbeya Dkt Orivia Masoi amesema kuwa wamepokea majeruhi sita  ambapo wanne wamelazwa  wodini na wawili tayari  wameruhusiwa.


Aidha mmoja wa majeruhi  Nicolaus Fungo  ambaye amelelazwa wodi namba moja kwa ajili ya matibu hao amesema majeraha makubwa maeneo ya mbavuni na kwamba hali yake inaendelea vizuri mara baada ya kuaptiwa matibabu.

SINA TATIZO NA WANAOBURN NYIMBO ZANGU- DULLY SYKES

12:30:00 AM Add Comment


BAABKUBWA.COM
NANI kasema Biashara ya Kuburn Cd na kuhamisha Nyimbo kwenye Simu ama Memory Cards inamuudhi Kila Msanii?..basi Chukua Hii hapa.
Mkongwe wa Muziki wa Kizazi Kipya Nchini Tanzania (BONGO FLEVA), 

Dully Sykes “Mzee wa Kasampaida”, ametoa Bonge la Pongezi kwa waleWote wanaoburn Cd ya Nyimbo zake ambazo mnazifahamu
Dully amepongeza ishu hiyo, kwa sabnabu ambayo ameitaja kuwa, ni kutangaza kazi zake na kumfanya afahamike zaidi.

Pia Dully ambaye hivi sasa anafanya Guud sana na “Mkwaju” wake wa TOGOLA,amedai kuwa, kwa hivi sasa yeye hana tatizo kabisaaaa, na Majombaa wanaoburn Mizigo yake na kuisambaza huku na kule, ukizingatia ni muda wa “Hit Songs”, lakini lait kama ingekuwa ni Kipindi cha ALBAM, hapo ndo Pangechimbika

Msanii mkongwe kwenye Tasnia ya muziki wa kizazi kipya hapa Bongo Fleva Dully Skyes ambaye kwa sasa anafanyapoa na Ngoma yake ya ‘Togora’, akipiga story na mwandishi wetu  mara baada ya kuulizwa swali kuhusu wanao burb CD za wasanii, kwa madai ya kwamba wamehalibu soko la muziki Dully alisema kuwa.


“Big up kwa  wanao sambaza kazi zangu kwa ku-burn CD kwani wana nipa Fursa ya kujulikana zaidi kwani hao wanaofanya hivyo wanazidikunitangaza so kwa upande wangu sina mbaya kwani wanzidi kunifanya niwe maarufu zaidi , na kunipa nafasi hata nchi nyengine kunijua zaidi ”.may be kama ingekuwa enzi za album ninge maind but now ni mwendo wa Hit song its ok!”. Alisema Dully.

MSIMUHARIBIE KANYE WEST…KILINACHOSAMBAA HIVI SASA NI FEKI

12:27:00 AM Add Comment

HNHH
WAKATI mtandao wa Twitter ukijitahidi kuchukua hatua dhidi ya uvujaji wa Sneakers za ADIDAS YEEZUS III, this time ameamua pia kuvalia njuga Tracklist za Albam yake mpya “Paris” ambazo na Zenyewe zimevuja na Zinaa nza kusambaa kunko Mitandao mbali mbali ya kijamii.

·        Iko Hivi……
kuanzia mnamo siku ya jana, picha ambayo ionasadikiwa kuwa, ni mikwaju itakayosheheni katika Albam yake hiyo Mpya, ilianza kuzagaa kunako mitandao mbali mbali ya Kijamii huku ikiaminika kuwa kundi la Watu wachache ndilo liliamua kufanya Upuuzi huo ambao hauna ukweli wowote.

Katika Trak List Hiyo, Wasanii kadhaa walionekana kushirikishwa katika albam hiyo akiwemoDEL REY, MIGOS, BIG SEAN, PUSHA T, COMMON, JAY Z, BEYONCE na wengineo “lukuki”
Mikwajua mabyo ilionekana kupatikana katika Track List ya Albam ya PARIS, ni pamoja na CHICAGO REMIX, WTF

·        Mwakilishi Wa Kanye Ametoa Tamko:
Mwakilishi wa Rapper Kanye West ambaye Jina lake halijapatikana mara Moja, alijitokeza na kutoa Taarifa kuwa, Mikwaju ambayo imeshaanza kusambaa kunako Social Networks, sio halisi, bali ni Feki, na inadhamilia kuharibu Biashara ya Rapper Huyo.

Pia Jombaa huyo amesisitiza kwamba, Kanye ni Mfanya Biashara ambaye anajua nini anachotakiwa kufanya, in that case,itakapofika Time ya Kuachia Tracklist, Kanye atafanya Hivyo.

MASIKINI EMINEM..DAWA NDO ZIMEMHARIBU HIVI

12:20:00 AM Add Comment

Daily Mail Online
UKINIULIZA Rapper Eminem anaonekana kuwa na Miaka Mingapi sasa hivi, naweza sema huenda akawa nayo kama 60 ama 70 Hivi, lakini hapana.

Kipindi Fulani hivi alikiri kabisa matumizi ya “Dawa Za Kulevya”, yamechukua sehemu kubwa ya maisha yake na hata kushindwa Kufanya baadhi ya Vitu.

Sasa, Siku ya jana, picha Mpya za Muonekano wa Eminemu zilishushwa Mitandaoni huku wengi wakionekana kumuonea huruma hasa jinsi alivyo hivi sasa

Eminem alionekana akiwa Tofauti kabisa, alipokuwa akiongea katika Tuzo za Wall Street Journal, huku muonekano wake ukiwa ni tofauti kabisa, na unaweza kuhisi ni kibabu Fulani hivi….

·        Tujikumbushe:
Rapper Eminem,u alianza Matumizi mabaya ya Dawa hasa kipindi alichokuwa akirekodi Filamu yake ya 8 MILE, ambapo alifanya kazi masaa 16 na hakupata Muda wa Kulala

Baada ya Kupewa dawa aina ya AMBIEN, basi Eminem alijikuta akitumia dawa hizo vibaya, sambamba na kuchanganya na dawa nyingine aina mbili ambazo ni VICODIN na VALIUM. Hapo ndipo safari ya kutumia ovyo dawa ikaanza na kuathirika kabisaaaaa

Mnamo Mwaka 2005, Eminem aliamua kuingia Rehab kwa ajili ya kutibu tatizo hilo, na alipiga almost Miaka Mitatu huku akipotea kabisa kunako Game

·        Aliandaa Documentary
Eminem aliandaa Documentary ya HOW TO MAKE MONEY SELLING DRUGS ambayo aliiachia Mwaka jana (2013). Katika Kitu hicho, Eminem alielezea namna ambavyo alinusurika Kifo baada ya kujikuta akikimbizwa Hospitali baada ya Ku-overdose.

Hata Hivyo baada ya Msaada Mkubwa hasa kutoka kwa rafiki zake wa karibu, Hatimaye Eminem aliachana na matumizi ya dawa hizo, na kurejea katika game na Albam yake Mpya ya RELAPSE AND RECOVERY, ikifuatiwa na Albam nyingne Tena

POLE EMINEM

MNADA BANNER