REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MAKUBWA HAYA !!!: MTOTO WA RAPPER EMINEM HATIMAYE KAANGUKA PENZINI, LAKINI SASA BALAA ANALOKUTANA NALO...HALITAMANIKI

1:43:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
#WatuWaMungu hivi ni nani kasema kuwa, ubaguzi wa Rangi huko Nchini Marekani utaisha hivi hivi tu kirahisi rahisi?

Safari Hii balaa limeonekana kuhamia kwa Binti wa Rapper Eminem, anayeitwa HAILIE ikiwa ni baada ya kumuanika "boyfriend" wake kupitia mitandao ya kijamii.

Ishu kubwa haikuwa ni Kuanika Mahusiano yake, maana ukizingatia ameshakuwa Binti mkubwa ambaye hivi majuzi tu alitimiza miaka 20 kamili, ila ishu ni kwamba, jamaa huyo ni Mmarekani Mweusi, na binti huyu ni "Mzungu" pure Kabisa

Baada ya info kuzagaa na kuwekwa bayana kwa Jamaa huyo ambaye infact ni Very Handsome, waungwana ambao wameshabobea katika suala la ubaguzi wa Rangi, walianza kumporomoshea ya kuporomosheka Hailie kuhusu Jamaa huyo

HONGERA; RIHANNA KAVUNA HESHIMA NYUMBANI KWAO

1:34:00 AM Add Comment




Na Baba Juti
#WatuWaMungu Rihanna ameweza kuonesha ni namna gani ambavyo hucheza kwao na wala hajihisi kuwa mtumwa hata Kidogo.

WIZARA YA UTALII kutoka kunako Visiswa vya Barbados ambako anazaliwa Rihjanna, imeamua kutoa tamko Rasmi kuwa litamzawadia Rihanna heshima ya Mtaa mmoja wapo hasa ule aliokulia, kubadilishwa na kupewa jina Lake

Taarifa hiyo inasomeka Hivi
" Serikali ya Barbados katika siku ya maadhimisho ya Uhuru, Alhamisi ya tarehe 30 NOVEMBER 2017, itabadilisha Jina la WESTBURY NEW ROAD huko ST. MICHAEL na kuwa RIHANNA DRIVE, ikiwa ni kwa heshima ya Msanii Nyota wa Barbados, Bi. ROBYN RIHANNA FENTY, ambaye amekulia WESTBURY NEW ROAD"

Pia Naibu Waziri wa Utalii huko Barbados, FREUNDEL STUART na RIHANNA wanatarajia kufanya tukio Hilo la kumbu kumbu katika Siku Iliyotangazwa

MNADA BANNER