REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

AKON: ANAPOMUONYA BOW WOW

6:26:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
Rapper Bow Wow amekuwa katika Taflani na Mzazi Mwenzake, na mpaka kufikia kuachana mnamo mwaka jana, kisha Bow wow akaanzisha mahusiano mapya na mwanadada ERICA MEENA.

Lakini wakati inasemekana kuwa, Bow wow yuko mbioni kumrudia mzazi mwenzake huyo, mambo mengine yamefichuka, baada ya Mdogo wake na AKON, anayefahamika kwa jina la BU, kuonekana katika mahaba mazito na mzazi mwenzake na Bow Wow

Kupitia Instagram za wadakuzi, BU na Joie, walionekana katika Mapozi tofauti tofauti, ikiwemo Kubadilishana kile kinachopatikana katika Mdomo wa Mwenzake, hali ambayo inadhihirisha kabisa kuwa, Bow Wow hana chake kwa Mzazi mwenzake huyo, kasoro tu...mtoto aliyezaa naye.

Katika Kutoa Comment, Akon aliandika
"Better Take Care of Your Girl, before ana African Does. Major Key. I see You Lil Bro ..Ha"

ROZAY: IN ANOTHER BUSINESS

6:10:00 AM Add Comment

Baba Juti
Licha ya kuwa na Biashara tofauti ikiwemo Kinywaji pamoja na Migawaha maalum kwa kuuza nyama ya kuku, Rapper Rozay bado hajachoka kuhusu kusaka mkwanja, and off course, everyday he is Hustling.

Hitmaker Huyo wa HUSTLING, ameamua kuanzisha EMOJI zake ambazo hivi sasa ni kama zimeshtukiwa na wasanii mbali mbali wa kimataifa, hasa katika ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii.

Emoji hizo, yaani vikatuni, vitakuwa ni maalum kwa ajili ya watumiaji wa simu za Smart phone, na zitatumika katika apps tofauti kama vile whatsapp, instagram, Facebook, na hasa zitakuwa installed kwa Keyborad za smartfone.

Wasanii wengine ambao wana emoji zao, ni pamoja na Fetty Wap, Future,The Game, Fabulous, Dennis Graham-baba yake Drake, Kim Kardashian , na wengineo kibao.

MNADA BANNER