REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

JUSTIN BIEBER; NIMEFUTA PICHA YANGU YA MAKALIO KWA SABABU YA BINTI WA RAFIKI YANGU.

2:58:00 AM Add Comment

JUSTIN Bieber Mwenye Umri wa miaka 21 kwa hivi sasa, mnamo July 07 Mwaka huu, alijikuta akiteka Internet baada ya kupost Picha yake ya utupu huku akionesha Sehemu zake za makalio.

Ingawa Wengi waliweza kulalamikia kitendo hicho wakiwemo “Mastaa” wenzake, Kauli ya Bieber ambayo ameitumia kama njia ya kuomba Msamaha safari hii, imekuwa ni moja kati ya Mishtuko kutoka kwake.

MSAMAHA ALIOOMBA:
INGAWA wengi walidhani kuwa, Bwana Bieber ataomba radhi kwa mashabiki zake, kwa kupost Picha Hiyo, Bieber amfyatuka kuwa, Ameondoa Picha hiyo kwa sababu ya Binti wa rafiki yake, ambaye amemfollow katika Mtandao wa Instagram, na alikerwa na Picha Ile

Tofauti na Maelezo hayo, Pia Bieber anadai kuwa alijiskia Vibaya baada ya kugundua kuwa Binti huyo hajapenda ujinga alioufanya, lakini pia anaomba radhi kwa yeyote aliyekwazika.
JE Unaupokea Ujumbe huo wa Justin Bieber?   

usikose Kutembelea www.blacktouchez.com 

HUWEZ AMINI: VIDEO NYINGINE YA NGONO YA MKE WA KANYE WEST??..KIM KARDASHIAN?

2:15:00 AM Add Comment

HII sasa itakuwa ni more than Too Much kwa Mke wa Rapper Kanye West, Kim Kardashian West, ambaye kipindi cha awali aliingia katika wakati Mgumu baada ya kudaiwa kuvujisha Mkanda wake wa Ngono aliofyatuka na Mkali wa R&B Ray Jay.

Lakini mapema hii Leo, “Wafukuza mapepo “ tumekutana na ishu Nyingine kuwa, mamito huyo ambaye hivi sasa anatarajia kupata mtoto wa pili na Mumewe Dr. kanye West, ameonekana kunako Mkanda Mwingine wa Ngono ambao inasemekana utaingia Sokoni Siku Si Niyingi.

Kwa Mujibu wa Mtandao wa Media take out, inasemekana kuwa, kuna jombaa ambaye ametangaza kuwa ana Video Nzima ambayo inamuonesha Kim kardashian akiwa na Mumewe wa Kwanza kabisa, DAMON THOMAS, ambaye ni Music Producer, wakifanya mambo hayo ya kuweka mbali na macho ya watoto.

Video hiyo inasemekana ilirekodiwa kati ya Mwaka 2000 mpaka 2004, kipindi ambacho alikuwa yuko katika Ndoa na mumewe huyo wa Kwanza. Pia Video Hiyo inasemekana kuwa inagharimu Dakika 21 Kuitizama.

Mpaka hivi sasa, zimeshamiminika picha kadhaa ambazo zinamuonesha Kim akiwa katika Raha ya Mahaba na Ex-wake katika Video Hiyo.

UPO HAPO?

Usikose Kutembelea
www.blacktouchez.com

HUWEZI AMINI: KIFO CHA MWANAFUNZI MOI AMBAYE ALIDUNGWA VISU NA ALIYEKUWA MPENZI WAKE MPAKA KUFA.

1:55:00 AM Add Comment

HUWEZI amini kama kweli Mapenzi yanazidi kutafuna Maisha ya wanafunzi hasa wa vyuo vya Elimu ya Juu Afrika mashariki.

Nchini Tanzania, Tumezoea kusikia kuwa, Mwanafunzi Fulani wa Chuo Fulani amevujisha Video/ Picha za Mpenzi wake baada ya kuachana ama baada ya kuachwa, ama baada ya kusalitiwa,

Nchini Kenya, inaonekana mambo hizo za kibongo huwa hakuna, ila ukiniacha kama bado nakupenda, ninakuramba Kisu mpaka ufe ama Upone

Hii Imetokea siku Si Nyingi katika Chuo cha Moi, ambapo Mwanafunzi wa Kike katika Chuo Hicho aliuawa na aliyekuwa Mpenzi wake mpaka kufa katika Hostel za Chuo Hicho.


TAARIFA KAMILI, Huyu hapa ESTHER KAHUMBI KUTOKA NCHINI KENYA.


SAY WHAAAAT???: DIRECTOR WA BET AMEJIBU HIKI?

1:33:00 AM Add Comment


BADO mpaka hivi sasa “Wafukuza Mapepo” hatuamini kama kweli kauli hizi zilitoka kwa International Director wa BET –Lilian Blankson.

Kwa Mujibu wa Tweets ambazo zilionekana katika Mtandao wa Twitter July 06, zinaonesha Jina la Director Huyo wa BET akitoa ufafanuzi ama majibu juu ya tuhuma ambazo zimetolewa na wasanii kutoka Afrika na Uingereza juu ya Ubaguzi unaofanyika katika Tuzo za BET AWARDS hasa kwa wasanii wa maeneo hayo Tajwa hapo Juu

Kufuatia Vilio hivyo na tuhuma Hizo, Tweet hizo zilijibu kuwa, Wasanii wa Afrika hawatakiwi kuwaficha Waafrika Wenzao hasa Nchi zao juu ya kile kinachotokea na kudai kuwa wanapewa tuzo Back Stage.

Tofauti na hilo, Tweet nyingine iliongeza kuwa,  Wasanii wa Kiafrika, wanatakiwa kuhakikisha wanausukuma Muziki wao Kimataifa na kufikia pazuri badala ya kulia kama watoto


Na Mwisho zaidi, Tweet Nyingine ikakazia kuwa, anawalaumu wasanii wote kutoka afrika, ambao walialikwa katika tuzo hizo na hawakutokea, kwani hata wakiamua kuondoa vipengele vyao, hakuna chochote kitakachoathiri tuzo hizo za BET










MNADA BANNER