REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

VITU 5 ANAVYOVIPENDA MSANII KEKO WA UGANDA

8:08:00 AM Add Comment

Kutoka Uganda, Leo Hii nimemdaka Msanii wa Kike ambaye anaflow HIP HOP kama hana Akili Nzuri. Mikwaju ambayo ameifanya "Baridah" sana Mwanalady huyu, ni Pamoja na "This is How We Do It", pamoja na "Make You Dance" akiwa amemshirikisha "Sean Kingston" wa Kenya MAD TRAXX. 
Na Hivi ndo Vitu Vitano anavyovipenda Mrembo huyu anayejua kuhimili Staili ya KIGUMU....
1. Msosi.




2. LIPSTIC.



3. MKWANJA / CHAPAA/ MONEY/ CASH/ BILL KILLER.



4. HOLY BIBLE.




5. FRIENDS.


















MASTAA 10 WA KENYA WANAOVUNA PESA NDEFU KWA MWEZI HAWA HAPA

7:38:00 AM Add Comment


01. ERICK OMONDI



Anavuna KSh 5 Million kwa Mwezi
Ndani ya Miaka Michache, Mshikaji ameweza Kufahamika sana na majina yake kutambulika kila Mahali Nchini Kenya kutokana na VICHEKESHO (COMEDY) ambazvyo huwa nafanya. Wakenya Kibao wamepata kumfahama kupitia CHURCHILL LIVE ambayo huwa ni Stand Up Comedy

Kupitia Kipaji Chake Hicho Omondi analipwa zaidi ya Milioni 3 na Kampuni ya AIRTEL kwa Mwezi Kupitia Matangazo Mbali mbali
 Matangazo mbali mbali ya Redio na TV humuingizia Kipato Kikubwa sana, sambamba na Kuteuliwa Kuwa MC katika Matukio au Matamasha Mbali mbali.

 02. JAGUAR

Anavuna KSh 3 million Kwa Mwezi
 Mshkaji amefahamika Sana Kupitia Track zake Nyingi hasa Ile ya Kigeugeu ambayo amemshirikisha Mkali wa Commercial pande za area 255 (Bongo), AY.
Ni moja kati ya Wasanii ambao hupata Milioni Kadhaa kupitia TOURS mbali mbali kama Vile NIKO na SAFARI COM LIVE TOURS
Kupitia Muziki wake anaoufanya Kila Mara na kufanya Poa sana, Jaguar amekuwa akifanya Matamasha Mbali mbali makubwa Nchini Humo, huku akilipwa Ksh 300,000 Kwa Kila Show.
Hivi sasa Jaguar anamiliki Mjengo wenye thamani ya Ksh Milioni 35, huku akiwa na Biashara Mbali mbali zinazomuingizia Kipato
03.DADDY OWEN


Anavuna KSh 2 million Kwa Mwezi
Ni Msanii Mkubwa na Maarufu sana Katika Nyimbo za Injili yaani GOSPER TRACKS, na anavuna Mshiko Mrefu. Kiasi ambacho hulipwa kwa kila Tamasha atakalopiga popote pale ni Kshs 250,000 ikiwa ni kiasi kikubwa Sana Nchini Kenya
Pia Miradi Kibao imekuwa ikimpa Shavu la kutosha. Mfano Dili la kuwa BRAND AMBASSADOR wa AIRTEL AFRICA alilofanya na Wasanii wenzake Nchini Humo. Katika Dili hilo, Daddy Owen amekula Kiasi cha Ksh Millioni 10




04. SUZANA OWIYO



Anavuna Ksh1 million na Ushee kwa Mwezi
Anaweza asifahamike au asiwe maarufu sana Katika Title la Music Industry, lakini amesani Mkataba wa Mamilioni ya Fedha na RECKITT BENCKISER, kutokana na Uimbaji wake na hata Staili yake ya Uimbaji wa Kiasili.
Ukiachilia mbali Suala Hilo, Suzzana ana mkataba na RADIO AFRICA ambapo anatakiwa kupokea Milion 22 za Kikenya kwa kila Airtime (Muda wa Hewani) katika Tour Zake nhin Kenya

05. WAHUU

 Anavuna Ksh 1 millionna Ushee kwa Mwezi.
Ingawa haitambuliki kama anazichanga kupitia Dili lake na Kampuni ya REXONA, inaaminika kuwa Bibi Huyu ambaye ni Mke wa Msanii wa Muziki Nchini Humo NAMELESS na Mama wa Mtoto Mmoja, anaingiza Kiasi cha Shilingi Milioni Moja Za Kenya kila Mwezi

05. DANIEL NDAMBUKI


Anavuna Ksh Milioni 2 na Ushee Kwa Mwezi
Daniel Ndambuki anavuna Kiasi hicho kupitia Kazi yake ya Utangazaji katika Kituo cha Redio cha CLASSIC 105, Mtamasha, Safari Com, na Kipindi cha Churchill Live
  
 06. CAMP MULLA


 Wanavuna Ksh Milioni 4 na Ushee.
Camp Mulla Ni Crew matata Nchini Kenya ambayo imekuja juu na Kupata Manufaa zaidi kutokana na Vipaji walivyonavyo. Camp Mulla wamepata Chance ya Kushiriki katika Tuzo Kubwa sana Kimataifa za BET AWARDS mwaka 2012 ambapo walitwaa Tuzo Hiyo pasipo na Ubishi.
Kupitia Track zao za FRESH ALL DAY, HOLD IT DOWN, PARTY DONT STOP na Ngoma yao Mpya ya NO SAY, Camp Mulla wamefanya Show zenye Gharama sana ambapo hulipwa mpaka Milioni Nne na Zaidi kwa Kila Show kwa Shilingi za Kikenya, na Kupata matamasha ya Tour za SAFARI COM


 07. JULIAN

Anavuna Ksh Milioni Moja na Ushee




 08. JIMMY GAIT

 

Anavuna Ksh 800,000.




 09. ERICK WAINANA



Anavuna KSh 500,000 Kwa mwezi


 10. SIZE 8



 Anavuna Ksh 500, 000 Kwa Mwezi



MNADA BANNER