REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

KWA MWENDO HUU....

9:46:00 AM Add Comment
NIRIPUKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE?......Kudaaadeki Nina hasira kama Uharo..
Ahsante sana Yunus Kijazi kwa Picha Hii
Huyo ni Mwalimu Wa Shule..akiwa "anamnanihii" Mwanafunzi wake tena Bila aibu kabisaaaaaa,,maeneo ya Class.
Just Imagine Watanzania Wenzangu...Hiyo ndiyo Fomula au System gani ya kuwafundisha watoto wetu?..
Kesho na Kesho kutwa, Tunajaza "Mitoto" Mingi Mitaani kwa ajili ya Uzembe na Upumbavu kama siyo Utaahira wa Walimu ambao tunawaheshimu na kuwaamini kama Walezi Wa watoto Wetu.
Sasa hapo ......Any way..Ngoja ninyamaze..Coz Ntatukana Bure.
But gud Nyuuzz ni kwamba Hilo Bwege Limegongwa Miaka 30 Jera.
(Jamani! Jamani! Jamani!...Mi inaiuma sana...sas hiyo Staili sijui ndo inaitwaje...Kudadadeki Wallah!)

HAPPY BIRTHDAY AMBWENE YESSAYA

9:33:00 AM Add Comment
Moja Mbili Tatuuuu....EEh Mule Mule
Mtu Mzima Ambene wa Yessa "az Nouni az" A.Y "Mzee wa Commercia"..Leo "Bethdei" Yake.
A. Y ni moja kati ya Ma-artists wanaotuwakilisha Vema Nje ya Nchi Ya Tanzania.
Now Mtu Mzima anatesa na Video kali Balaa ya "Party Is On" aliyomshirikisha Marco Chali wa MJ RECORDS.
Kata Keki Tule Braza
Long live aisee

Walitokelezea Saaana!!!

9:04:00 AM Add Comment
Yeeeah...Kama huna Kimpango wako Mzazi...
Kudaaaadeki..Cheki Kuanzia kushoto,
Mrembo Mwenyewe Beyonce a.k.a "Mama Invy", akifuatiwa na Jombaaa...Jembe Lenyewe..Jay Z bin "Baba Invy", akifuatiwa na Kanyw Wizzy ukimuita Kanye West Hujabugi aliyekuwa na Murrembo wake Mupya baada ya Kubwagana Bin Kutemana na Amba Rose, Kim Kardashian.
Hiyo ilikuwa ni Siku ya BET Awards za 2012
Mule Mule.....

MNADA BANNER