REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

2: CHAINZ: NIMEKATAA KUPERFORM WHITE HOUSE

10:51:00 PM Add Comment

Na Baba Juti
SASA, nikisema hili najua mnaweza kushtuka kwa asilimia Fulani, lakini Ndivyo ilivyo na mkubali mkatae, kuna watu wana misimamo yao Balaa.

Rapper 2 Chainz, alijikuta akigoma kuperform White House ya Nchi ya Marekani, Offer ama Jukumu alilopewa na Rais Mteule wa Nchi Hiyo, Donald Trump.

Kwa Mujibu wa Maelezo yake Mwenyewe 2 Chainz, inasemekana kuwa, Management yake ilivutiwa Waya na Ikulu ya Nchi Hiyo, ili kuwataarifu kuwa Msanii wao anahitajika kuperform katika Sehemu Hiyo, na atalipwa Takriban USD Milioni 1.

Lakini Baada ya 2 Chainz kupewa taarifa hizo kutoka kwa Bwana Trump, aliamua kutolea Nje na kupiga Chini dau Hilo kubwa Kweli kweli la USD Milion 1.


2 Chainz aliongeza kuwa, kamwe hawezi kufanya hivyo hata kama angepewa Pesa kiasi gani, na huo ndio Msimamo wake wa Mwisho na itabaki kuwa hivyo hivyo

MNADA BANNER