REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BBA- THE CHASE: DILISH AIBUKA KINARA WA MASHINDANO YA BBA THE CHASE

3:01:00 AM Add Comment


JANA ,PAZIA NA JUMBA ZIMA LA BIG BROTHER THE CHASE 2013, LIMEFUNGWA RASMI BAADA YA HOT BABE  DILISH HERSELF REPRESENTING NAMIBIA KUNYAKUA USHINDI NA KUSEPA NA MKWANJA WA DOLARI ZA KIMAREKANI 300 000.

Katika historia ambayo ilielekea kufichika kunako BBA tangia ianze, Dilishi amezungumzia hisia zake kwa kuibuka Binti wa pekee kuchukua Ushindi huo katika tangia CHERSE wa Zambia alivyoandika Historia Misimu saba iliyopita

Dilish liongeza kuwa, Ushindi wake ni maalum kwa jili ya wanawake wote Barani afrika sambamba na Nchi yake ya Namibia.

Aidha Kitu ambacho kilimpa Ushindi kwa namna Kubwa Hot Chick huyu, ni Kujikita zaidi kunako Mchezo wake na hata Game zima kiujumla, ikiwemo kutojihusisha na Ugomvi wa mara kwa mara zaidi ya Ule ambao ulimuhusisha yeye na Melvin

Jumla ya Kura zilizamuru Ushindi ni Kama Ifuatavyo
: Dillish = 5, Cleo = 4, Elikem = 3, Melvin = 2, Beverly = 1.

MTIZAMEDILISH KATIKA POZI MBALI MBALI






LIL KIM ASAHAULIKA KWA MASHABIKI ZAKE

2:21:00 AM Add Comment


Wengi sana wamekuwa wakishindwa kutambua Uwepo wa Lil Kim hasa Kunako Game la HIP HOP Nchini marekani. Lakini hii Pia, imewaacha Baadhi ya watu wanaomfahamu Kinywa wazi.

Kunako Tuzo za MTV VIDEO MUSIC AWARDS 2013 zilizofanyika Jana Nchini marekani, The Brooklyn Queen alishindwa kutambuliwa na Nyomi Lililokuwa limehudhudhuria kunako tuzo hizo, kutokana na muonekano wake Mpya tofauti na Ilivyokuwa kipindi cha Nyuma.

Aidha katika hali ya kushangaza, Lili kim alionekana kukonda ama kupungua mwili, na hata Kubadilika kwa kiasi Fulani, jambo ambalo liliwapa Wakati wa Ziada mashabiki wake kumtambua Mamy Huyo

Tofauti na kukonda, lil kim alikuja amevaa vazi ambalo kila mtu hakuamini kama Ni Kim wa kipindi cha miaka ya 1990. Rap Babe huyo alikuwa amevaa Vazi ambalo liliacha Titi lake la kulia likiwa Nje, hali ambayo kila Mtu alishindwa kuielewa kwa Mkali huyu wa Lighters Up.

Kim amekuwa Kimya kwa kipindi kirefu sasa tangia alalamike kuwa Nick Minaji ameingilia Anga zake hasa kwa kuiga Swaggz kadhaa kutoka kwake Especialy Uvaaji wa Weaving ama WIGI.

Kwa Upande wake Kim Mwenyewe wakati akiwakilisha tuzo ya BEST HIP HOP AWARD katika Tuzo hizo, alisema amefarijika sana kuona Tuzo hizo zimefanyika katika Maskani yake, yaani BROOKLYN

ORODHA WASHINDI WA MTV VIDEO MUSIC AWARDS 2013- BROOKLYN

2:08:00 AM Add Comment




BEST VIDEO WITH A SOCIAL MESSAGE
Macklemore & Ryan Lewis, “Same Love”

SONG OF THE SUMMER
One Direction, “Best Song Ever”

BEST FEMALE VIDEO
“I Knew You Were Trouble”

BEST HIP-HOP VIDEO
Macklemore & Ryan Lewis, “Can’t Hold Us”

BEST COLLABORATION
P!nk featuring Nate Ruess, “Just Give Me A Reason”

ARTIST TO WATCH
Austin Mahone

BEST ROCK VIDEO
30 Seconds to Mars, “Up in the Air”

BEST POP VIDEO
Selena Gomez, “Come and Get It”

BEST CINEMATOGRAPHY
Macklemore & Ryan Lewis feat. Ray Dalton, “Can’t Hold Us”

BEST ART DIRECTION
Janelle Monae feat. Erykah Badu, “Q.U.E.E.N”

BEST DIRECTION
Justin Timberlake, “Suit and Tie”

BEST CHOREOGRAPHY
Bruno Mars, “Treasure”

BEST VISUAL EFFECTS
Capital Cities, “Safe and Sound”

BEST EDITING
Justin Timberlake, “Mirrors”

VIDEO OF THE YEAR
Justin Timberlake, “Mirrors”

PICHA: LEO KATIKA WEEKEND BATTLE NDANI YA JAM SESSION YA 99.4 METRO FM

3:26:00 PM Add Comment

KULIA: K-Star aki-Bust Freestyle yake dhidi ya Mkali mwenzake Scale, katika WEEKEND BATTLE ya Jam Session kupitia 99.4 Metro Fm Mwanza. Yeye ndiye ameibuka Mshindi kwa Siku ya Leo. Kulia ni MENEJA Wake BABS- Mauchafu


KUSHOTO: Scale akirejesha Majibu kwa Mkali mwenzake K-Star. Kati kati ni Hasta La Vista- Frank M. Joachim


 Haya Meza Moja Sasa..Jamaa kama hapatoshi Hivi



CHRIS BROWN; UBAGUZI WA RANGI UMETUMIKA

3:14:00 PM Add Comment

BAADA ya Hakimu kumkabidhi adhabu ya Kufanya Shughuli za Kijamii kwa Muda wa Masaa 1000, Mkali wa R&B na POP Nchini Marekani amedai kuwa aliyemchomea kwa Hakimu, ni Mbaguzi wa Rangi.

Kwa Mujibu wa Taarifa za Awali, BREEZY alikutana na Nyundo hiyo, baada ya kudaiwa kuidanganya Mahakama kuwa alifanya Adhabu ya Shughuli za Kijamii, ilihali hakufanya hivyo na alitoa taarifa Feki.

Baada ya kubaini hilo, jaji alitoa Hukumu Hiyo, ambayo ni kufidia Adhabu ambazo hakufanya, katika Kesi ya kumpa Kipigo aliyekuwa Mpezi wake RIHANNA.

Hata Hivyo Breezy hakuridhika na hilo, na badala yake kuingia kunako SITE la Tweeter na kusema haya


PICHA; HATIMAYE MTOTO WA KANYE WEST HUYU HAPA

3:00:00 PM Add Comment
BAADA ya kuibana sana Sura ya Mwanae ambaye alimzaa na Kim Kardashian, hatimaye Kanye West  ameachia ama kuruhusu rasmi Picha ya Mtoto Wake NORTH WEST

MNADA BANNER