WANGAPI mnampenda kupiga Selfie…Okay sasa kuna jambo jambo hapa ya kusikia.
Jombaa mmoja amevamiwa na Ndege mwenye hasira wakati akijifyatua Kitu Selfie ambayo imepata umaarufu kupita maelezo hasa katika Mitandao ya Kijamii
STEVEN TAKATA, alimuona Ndege huyo anayevutia katika eneo la kufugia wanyama, ZOO, lenye jina la GREAT BEND ZOO, iliyoko

Sasa Noma likaja pale alipojigeuza ili aweke Poz Vizuri na kupiga picha picha hiyo, kwa hasira Ndege huyo alirefusha shingo kutoka katika Fensi yake, na kumvaa huku akimkwangua Jombaa huyo, na kumuachia makovu madogo.
Licha ya kwamba STEVEN alipata majeraha, bado alijikausha na kufyatua Selfies Kadhaaa