REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BT NEW TRACK: COUNTRY BOY FEAT YOUNG KILLER & YOUNG DEE - AKILI ZA USIKU

11:39:00 PM Add Comment

BT BUZZ: FRENCH MONTANA NI EXECUTIVE PRODUCER WA ALBAM MPYA YA P.DIDY

6:38:00 AM Add Comment

BAADA ya kukata takribani Miaka 4 tangia Big Bous wa BAD BOY, Puff Daddy aachie Albam, basi, tarajieni Ujio wa Hali ya Juu Kutoka Kwake.

Kupitia Instagram ya FRENCH MONTANA, French alipost Video clip akiwa Studio, na Kuweza Kuweka Caption ya Maneno kuwa Yuko Studio akisimamia kama Excutive Producer, Albam ya Brother ake P.DIDY.


Huu utakuwa Ni ujio Mwingine Tena Wa Puff, ambao unategewa masikio kwa hali ya Juu

BLACK UPEKUZI: NAHISI KUNA KITU KINAKUJA BAINA YA FAT JOE NA PRODUCER WAKE WA KITAMBO, SCOTT STORCH

6:28:00 AM Add Comment

MNADA BANNER