REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

JAMANI NYIE !! : RIHANNA AMEKWAZIKA SANA BAADA YA DRAKE KUVAA SOCKS ZAKE

2:16:00 AM Add Comment

Na Baba Juti 
HATIMAYE Rihanna ameonesha kabisa kuwa hataki na wala hajiskii kurudia Matapishi ambayo alishayatapika kipindi cha Nyuma

Kitendo Cha Drake Kuvaa Socks ambazo zimebuniwa na Rihanna, kisha akapost Picha hiyo katika Instagram account Yake, kinaonekana kumkwaza kabisa Rihanna ambaye hivi sasa yuko katika Mahusiano Mapya ya Kimapenzi na Bilionea Wake HASAN JAMEEL

Kitendo Hicho kilifanywa na Drake Siku moja iliyokata, huku akionekana akiwa amevalia Socks hizo kutoka katika Clothing Line ya Rihanna, na kisha kuandika TRABAJO akimaanisha KAZI, kitu ambacho wengine walikitafsiri kama ni kumchokoza Rihanna

Hata Hivyo, mmoja kati ya Watu wa Karibu wa Riahanna, aliweka wazi kuwa, Hit Maker huyo wa DISTURBIA hakufurahishwa na kitendo hicho, maana anahisi Drake anamchokoza hivi wakati yeye yuko katika harakati za Kufocus kwa Mpenzi wake Mpya Hassan Jameel

     Tunamnukuu   
"Rihanna anahisi kabisa kuwa Drake hataki kumuacha aishi Maisha yake kwa amani. Baada ya Rihanna kumuona Drake amevaa Socks zake, alikwazika sana maana alihisi kama anaanza kuzichokonoa Hisia Zake"

Katika Hali Nyingne Chanzo Hicho kilidai kuwa Rihanna alikuwa anampenda sana Drake na aliumia sana baada ya kuona mahusiano yao hayajafanya kazi. Hivyo hivi sasa ameamua kujikita zaidi kwa Hasan Jameel maana ndiye mwanaume anayeonekana kumjali zaidi kuliko ilivyokuwa kwa Drake"


INAVYOSEMEKANA !! : BLACK CHYNA KAONDOA KALIO BANDIA

1:57:00 AM Add Comment

Na Baba Juti 
#WatuWaMungu Inavyosemekana na Kama Hivyo kuwa Blac Chyna ambaye ni Ex wa Rapper Tyga na Rob Kardashian , kaondoa "Kalio" lake La Bandia

Kwa Mujibu wa Wachunguzi wa Mambo, wanadai kuwa Blac Chyna kafanya Hivyo Hivi Karibuni, ingawa yeye Hajathibitisha lakini kila kitu kinaonekana Wazi kabisa.

Hivi Karibuni, Blac Chyna aliwindwa sana na Mapaparazi baada ya kupata Info kuwa tayari Bibie huyo kaamua kufanya Upasuajia wa Kupunguza Kalio ikiwa ni baada ya Kuliondoa lile Bandia ambalo alipandikiza

Na kama ambavyo unajua, Usiku wa Jana, Chyna alionekana akiwa kunako Mida ya Usiku, akiwa amepungua Kalio, kitu ambacho kinathibitisha kuwa, keshashusha Mzigo tayari

TUMPONGEZE!!! : RICK ROSS ANATARAJIA MTOTO?

1:47:00 AM Add Comment

Na Baba Juti 
#WatuWaMungu Kuna Taarifa ambazo tumefanikiwa kuzinyaka na inabidi tuibiane kiduchu na wewe ili angalau mjue kinachoendelea

Inasemekana kuwa , Big Bawse wa MMG, RICK ROSS anatarajia kupata Mtoto baada ya "Kishtobe" wake ambaye ni Maarufu sana kupitia Mtandao wa Instagram kujianika wazi na kitumbo chake

Briana Camille, ndiye Mlimbwende aanayedaiwa kuwa na mahusiano ya Kimapenzi na Riuck Ross , na kupitia Instagram account yake, ndiye alikuwa wa Kwanza kuonesha Furaha ya kumpokea Mtoto huyo Hivi Karibuni

Ingawa Rozay bado hajazungumza Chochote, lakini kwa Tafsiri ya Briana ni kwamba, Mtoto huyo atakuwa ni Furaha kubwa sana kwa Rapper Huyo



MNADA BANNER