REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

CAMP MULLA.....Mule Mule BET!!!!!!

2:46:00 AM Add Comment
Obviously Yes!!!!
Yale Majembe sasa...Vile Vichwa Vitano Sasa....Wale Sasa...Maarufu kwa Jina La Camp mulla from Obama's Ex Land officially Kenya, Wamefanikiwa kutwaa Tuzo ya BET ambayo walikuwa wakiipigania na Baadhi ya Wajomba kutoka huku huku Black Continent....
But ana aamzing thing ni kwamba wamepokea Tuzo hiyo ya Heshima wakiwa Home baada ya Kukosa Visa aisee...
CONGZZZZZZZ

FA...Afanyiwa Falsafa Za Kitaa...

2:37:00 AM Add Comment
NIROPOKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE?....Yeah...Hope utakuwa Umesema Mule mule.
Mnyamwezi, Jombaa na Bonge moja La Mc kuanzia enzi zieleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee   za East Coast Team, Hamiss Mwinjuma goes by an A.K.A ya "Mwanafalsafa, Juzi kati Wanafalsafa wa Kitaa...nakuwa nazungumzia VI-BA-KA!!...bin WEZI, wamemsafisha haswaaa baadhi ya Vifaa kwenye "AAAANJIIIIIIMMM" yake yaani Gari lake.
Its Not Funny Mazee...Tupieni Jicho muone Weeenyeweee....Hii Ndo Bongo Mazee..Usije Mjini jombaa....

PIPI AKIUZISHA KIBENDI CHAKE!!!!!

2:26:00 AM Add Comment
NIROPOKEEEEEEEEEEEEEEEE?....Yeah hope utakuwa Umesema "Ropokaa"
The Short Female Atist wa Bongo mwenye utundu kiuhalisia, PIPI, ameamua kuuza "Laivu Bila Chenga" Kibendi chake Bin Ujauzito kupitia Video yake Mpya ambayo openly siikumbuki Jina (Huwa inatokea kusahau)...Licha ya Mimi kusikia "Lumaz" kama Si umbea kutoka kona mbali mbali kuwa Pipi ni Mjamzito, Nilipata hance ya Kuona Video hiyo ambayo Pipi mwenyewe bila kulazimishwa au kuficha kudaaaadeki..alionesha Tumbo hilo lililokuwa linang'aa "az If" kalipaka Mafuta ya Nazi ili lipendeze...
Any way....Hongera Pipi...Tunamsubili Anko Tu...Bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi

MNADA BANNER