REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MAKUBWA MENGINE: KABINTI SPESHO..DEMU WA DULLY SYKES , NI MKE WA MTU WA NDOA KABISA

2:33:00 AM Add Comment

SIKU ya jana TTM tulikupa Full mtonyo kuhusu Ishu ya Dully Sykes kufungukiwa kuwa anapenda Kuhongwa, na Yuko katika mahaba mazito na Bibie mmoja anayefahamika kwa jina la BWEDAHA MALANGA…

SASA, Baada ya Kukaa macho kufuatilia kwa umakini mchakato mzima unavyoenda, hatimaye kupitia account ile ile ya USIPOJIPANGA NTAKUPANGA, ukweli umeibiliwa kuwa, Ni kweli, Bwedah, kabinti Spesho Wa Dully Sykes ni Mke wa Mtu, na ameolewa na Mzungu

Kwa mujibu wa Ndugu wa Hiyali wa BWEDAH ambaye jina lake halisi ni IRENE, inasemekana kuwa Ni Kweli Bibie huyo ni Mke wa Mzungu mmoja hivi, huku Vielelezo vya Picha ya Ndoa na Sherehe zikionekana na kusambazwa kunako Mitandao ya Kijamii hasa Instagram

Aidha ndugu huyo amezidi kumiminika kuwa, Hivi sasa Ndoa yake inaweza kuvunjika, baada ya Bwedah malanga (Irene) kuonekana kukolea zaidi kwa Prince Dully Sykes, ingawa awali alishawahi kuaswa kuwa, afanye Yooote, lakini suala la Ndoa anatakiwa Kuliheshimu.

Hata hivyo inasemekana kuwa, Awali Bwedah alikuwa hana kitu chochote katika maisha yake, lakini amekuja kufanikiwa kimaisha baada ya kukutana na Mdhungu huyo.


SIKU YA JUZI, Dully alitupia Picha ya IRENE ama BWEDAH katika Account yake ya Instagram, na kutunisha kifua kuwa Huyo ndo KABINTI SPESHO WAKE na ROHO YAKE

VIDEO YA NICKI MINAJI –ANACONDA…IKO OUT TAYARI…SASA..DUH

2:25:00 AM Add Comment

FINALLY baada ya kushushwa Promo nyingi sana kuhusu Track na Video ya Annaconda, ya Kwake First Lady wa YMCMB, NICKI MINAJ, imeshatka na inapatikana kunako Mitandao mingi sana ya Kijamii..
SASA kupitia katika mtamndao wa YOUTUBE, TTM tumeweza kuipitia Video hiyo ambayo mpaka Hivi sasa, imeshatizamwa na watu zaidi ya 126,000 ulimwenguni Kote.

KUKUBALIKA NA KUTOKUKUBALIKA
HAPO hapo katika Mtandao wa Youtube, Baadhi ya watu wameonekana kuvutiwa na Video hiyo ambayo kwa asilimia kubwa inazungumzia Mizigo Mikubwa, Yaani MABOFLO MABIG huku wengineo pia wakioneshwa dhahiri kutokuipenda.
Takwimu halisi na halali zinaonesha dhahiri kuwa kuwa Zaidi ya Watu 57,000 ambao tayari wameshatizama Video hiyo, wamevutiwa nayo na Kugonga Likes, zaidi ya watu 4,000 wakionekana kutoipenda Video Hiyo na kugonga Dislikes.

KINACHOONEKANA KATIKA VIDEO HIYO
KATIKA VIDEO HIYO, Nicki Minaj ambaye pia ameshirikishwa na AUGUST ALSINA katika Mkwaju wa NO LOVE, anaonekana akiwa katika mazingira ya aina Mbili, 1 ni Polini yaani OUTDOOR LOCATION na Mazingira ya Ndani yaani IN DOOR LOCATION
Katika mazingira ya Porini, Nicki na Models wengine, akina dada, wanaonesha “majaliwa” ya Boflo walizonazo, huku wakizichezesha huku na Kule kwa Styles tofauti
Lakini Pia katika mazingira ya Ndani, Nicki anaonekana akiwa Gym la kawaida sana na Models Wenzake akifanya mazoezi ya Viungo huku “Boflo” zikichukua Sehemu Kubwa, pamoja na eneo la Jiko ambako kumejaa matunda mbali mbali kama Vile Ndizi.

SPECIAL GUEST /MGENI MAALUM KATIKA VIDEO YA NICKI MINAJI
MOJA kati ya watu maalum ambao hawakutarajiwa kuonekana lakini wameonekana , Ni Rapper kutoka YMCMB, Drake Dreezy, ambaye alionekana kuketi katika Kiti, huku Nicki akijitokeza, na kumpagawisha na BOFLO zake Kubwa, lakini baadaye anamuacha Njia panda ukizingatia Drake alishapagawa na kudata na Mzigo alio nao
PROMO

Promo katika Video ya Nicki Minaji, imegusa zaidi katika Vitu Viwili
1.    BEATS BY DRE ambayo hivi sasa inaonekana kupewa Promo balaa kama Vile kwenye Video ya WE DEM BOYS ya Wiz Khalifa na NEW FLAME ya CHRIS BROWN akiwa na Usher Rymond pamoja na Rick Ross
2.    MYX- Kinywaji anachomiliki Nicki Minaj Mwenyewe

MAADILI.
KWA ilani yenye Nia Nzuri Tu, TTM tumebaini kuwa Video Hii inatakiwa kutizamwa na watu wenye Umri kuanzia Miaka 18 na Kwenda Juu, kwa sababu kilichomo humu, ni WEKA MBALI NA WATOTIO

Kiufupi unaweza kusema ni Explicity Content


CHUKUA HII: FILAMU NA PICHA ZA NGONO HUSABABISHA KUPOTEA KWA UHALISIA WA TENDO LA NDOA, KATIKA NJIA BORA NA HALI NZURI

2:21:00 AM Add Comment

NI KWELI kwamba asilimia kubwa ya Vijana tayari wameshaathirika na utizamaji yaw a Video mbali mbali za Ngono ambazo zinapatikana san asana ONLINE(Kupitia Mtandao)

Wengi wao huweza kuzitafuta kwa Kudhamilia, lakini baadhi pia huweza kukutana nazo kwa bahati mbaya ukilingana na Suala la matangazo na Promo kuhusu Video hizo na Mitandao maalum ambako zinapatikana
WATOTO weny Umri wa Miaka 11, tayari wameshatumbukizwa katika matumizi na Ufuatiliaji wa Video za Ngono hasa kupitia ONLINE, na walio na Umri wa Miaka 14, kwa asilimia 45 wanafuatilia kwa Ukaribu sana baadhi ya Video ambazo hazina maadili, na zimejaa masuala ya Ngono

Pia imebainika kuwa, Vijana wenye Umri wa Miaka 18 ulimwenguni Kote ikiongozwa na Nchi ya Uingereza, wameshaathirika sana na Video Hizi ambazo kwa asilimia kubwa huwa na Onyo la masuala haya ya Ngono

Asilimia 80 ya Vijana wanadai kuwa, kwa wale vijana hasa wanafunzi walioko Chuo, ndo Huathirika zaidi na Video Hizi mbaya za Ngono, ukizingatia kuwa wanamazingira wazi ya kukumbuka walichotizama, na kukifanyia kazi kwa njia Tofauti na Mbaya zaidi.

HIVYO, asilimia 70 ya Vijana wamedhihirisha Athari zifuatazo kutokana na Video za Ngono

·        Hali zao /Hulka zao/Tabia zao Vijana hasa katika Tendo la Ndoa huathirika kwa Kiasi kikubwa, kutokana na kile wanachotizama mara kwa mara
·        Kudanganywa kuhusu Uhalisia wa Tendo la Ndoa la Kawaida. Asilimia kubwa ya Video za Ngono, huwa za Kibiashara zaidi ili kuwavuta watu. Hii mara Nyingi inaathiri Mwazo mazuri kuhusu Njia sahihi za Kutenda tendo la Ndoa, na badala yake hufuata Uwongo wa Video Hizo.
·        Fikra za Mabinti na SAIKOLOJIA huathirika zaidi kuliko Mwanaume. Hivi sasa kumekuwa na tabia ama imani kuwa, pasipo kufanya Tendo la Ndoa kwa Style ambazo akina dada hawa wanazitizama katika Video Hizo, basi Mwanaume anayefanya na wewe hivyo hajui wala hafahamu chochote, na hawezi kukulidhisha.
·        MATUMIZI ya Fujo hasa katika dawa za Kuongeza nguvu, na hata kutengeneza maumbile ya Viungo vya Siri kwa Mwanaume na Mwanamke. Kwa Upande wa Mwanaume, Kutizama maumbile makubwa ya Kiume, yaliyotengenezwa na dawa, kwa ajili ya kibiashara, huwafanya wao kuiga, na kuamini kuwa Ndio njia sahihi ya Kumridhisha mwanamke. Pia Mabinti Siku hizi wamekuwa na tabia ya kufuatilia sana maumbile yao, na hata ya Kijana wa Kiume wanayeshiriki naye Tendo la Ndoa.
·        Rahisi Kuchepuka

·        Ni rahisi kupata maambukizi ya magonjwa ya Zinaa

MNADA BANNER