REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: TEKNOMILES NA SAY SHEY (KUTOKA NIGERIA) WALIPOKUWA JEMBE FM 93.7 MWANZA KATIKA INTERVIEW NA KIPINDI CHA HIT ZONE

6:32:00 AM Add Comment

Na Baba Juti & Jembe FM
LEO katika Kipindi Cha HIT ZONE katika 93.7 Jembe Fm-Mwanza, Kulikuwa na Ugeni Kutoka Nchini Nigeria, nawazungumzia ALHAJI "Teknomiles" MILES Pamoja na DEBORAH OLUWASEYI JOSHUA "Say Shay" , ambao walihudhuria maalum kwa ajili ya Mahojiano

TEKNO na SAY SHAY wapo Jijini Mwanza kwa ajili ya kuwapagawisha wakazi wa Jiji Hili la Miamba katika Show ya MUZIKA FESTIVAL itakayofanyika Jumamosi Hii February 13.

Kipindi Cha Hitzone, Hurushwa Kila Siku ya Jumatatu Mpaka Ijumaa, Kuanzia saa 7:00 Mchana mpaka Saa 10:00 Jioni, chini ya Vichwa Vitatu, Edna Elisha "Natty E Brandy", Frank M.Joachim "Baba Juti" na Chriss The Dj



















NIVA KWA NAY WA MITEGO: JIONI YA LEO NDIO WATU WATAJUA ....

5:42:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
BAADA ya Siku ya Jana Kuandika Waraka Mrefu kweli Kweli kwenda Kwa NAY WA MITEGO, hatimaye Leo Pia Niva ameonesha kuzidi Kukerwa na Kilichotamkwa Na Nay Juu yake.

safari Hii NIVA ameamua "Kumchana " Live Nay Wa Mitego Kuwa, hana cha Kukubukwa, tofauti na Yeye ambaye Likitajwa JUMBA LA DHAHABU, wengi wanakumbuka Kuwa, Niva aligusa Maisha ya Wengi.

Nukuu
Jioni ya Leo ndio watu watajua. Kama natafuta Kiki kwako au wewe @naytrueboy umeamua kuipata Kiki kwangu coz ney watu wameanza kukujua 2013... mimi watu wameanza kunijua tangia elfu mbili na sita kupitia tamthili ya jumba la dhahabu kipindi hiko wewe upo manzese unatafuta kutoka.. mwenzio nikitajaga tamthili ya jumba la dhahabu uwa nawaumizaga watu wengi Sana coz uwa nawakumbusha kumbukumbu za maisha Yao ya kipindi icho wengine wenzao wamesha wazika walio kua wakiangalia nao. Sasa wewe @naytrueboy unakipi cha kuwakumbusha mashabiki zako.

MNADA BANNER