REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

YAMEIBUKA MAPYA !!!: YULE BINTI ANAYEDAI KUAMBUKIZWA 'GONO' NA USHER RYMOND, ADAI KUWA WALIREKODI MKANDA WA NGONO... YUKO TAYARI KUMPANDISHA KIZIMBANI

1:58:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu Hili sasa, limeibuka Lingine na hatujui Usher atalichukulia Vipi, maana haya mambo Bwana haya, basi Tu

Mnamkumbuka Vizuri yule Binti "Bonge" anayeitwa Quantasia, aliyejitokeza Mbele ya Umati wa Waandishi wa Habari na kudai kuwa, Usher Rymond kamuambukiza Ugonjwa wa Gono?, basi amekuja na jambo linguine Jipya kabisaaaaa

Quantasia Sharpton anadai kuwa, yuko Mbioni "kumburuza" mahakamani Mkali huyo wa R&B kwa madai kuwa alimfanyia hayo yote huku akimrekodi ama wakirekodi Mkanda wa Ngono !!! (Kudaaaaadeki)

Quantasia anadai kuwa, tayari ana kithibitisho ambacho kinamuonesha yeye akikutana na Usher Mara Mbili katika Hotel Mbili Tofauti, lakini hata Siku ambayo walikutana kwenye Ile Day Inn kupitia Mlango wa Nyuma, ana kila aina ya kithibitisho

Lakini Binti huyu akaongeza kuwa, licha ya kwamba keshaambukizwa Gonjwa hilo na kutibiwa Vizuri, bado anataka kumuona Usher akiwa "Nyuma Ya Nondo" maana anauhakika sehemu ya "Mtinduano" wao ulirekodiwa, na Usher anatishia kuuvujisha Utamu huo

Quantasia anadai kuwa, hayuko tayari kuona Kitendo ambacho kilisababisha apate matatizo kinaoneshwa kwa watu na kumuumiza Zaidi.



TUMPONGEZE AISEE !! : RICK ROSS NA MWANAMITINDO BRIANA CAMILLE WAPATA MTOTO WA KIKE

1:39:00 AM Add Comment

Na Baba Juti    
#WatuWaMungu kuna habari Njema na Tamu kutoka kwa Huyu mama ambaye tunafahamu kuwa ana ujauzito wa Rapper na Big Boss wa MMG, RICK ROSS

kama Utakuwa unakumbuka Vizuri sana, Wiki iliyokata tulikupa Taarifa kuwa, Mwanamitindo na Mtaalamu wa Maozezi Nchini Marekani BRIANA CAMILLE wanatarajia kupata Mtoto, baada ya bibie huyo kutoa Taarifa kuwa anatarajia kumleta Mwanafamilia Mpya.

Sasa kwa Taarifa ambazo WAUNGWANA tumezinyaka, ni kwamba BRIANA CAMILLE amefanikiwa kujifungua Mtoto wa Kike, tafsiri inayoweka wazi kuwa Rozay ni Baba kwa Mara Nyingine Tena

Taarifa hiyo ya kupatikana kwa Mtoto huyo, ilifahamika kupitia Instagram account yake Briana Camille, ambapo vilipostiwa Viatu vya Kike na kisha Briana kuandika kuwa "Tayari Baba ameshaanza Fujo Zake"
 
WAKATI HAYO YOTE YANATOKEA  
Licha ya Kupostiwa kwa hayo yote, Bado Rozay hajazungumza Chochote mpaka hivi sasa ambapo tunakupatia Taarifa Hii

Lakini kama ulikuwa hujui, Rick Ross hivi sasa yupo katika Mahusiano na Bibie anayefahamika kwa Jina la Liz Hagelthorn, ambaye ni Boss wa Mtandao wa Twitter.

MNADA BANNER