REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: MTAZAME MAREHEM GOLDIE, ENZI ZA UTOTO WAKE

4:36:00 AM Add Comment





MSIBA WA GOLDIE:PREZZO APEWA ONYO

4:03:00 AM Add Comment


KIFO CHA GOLDIE Kinaweza kikaongeza Machungu zaidi kwa Prezzo, ambaye ndiye alikuwa Mpenzi wake kabla ya Umauti kumkumba.
 Hii ni kutokana na Jamaa ambaye anatambulika kwa jina la ANDREW HARVEY kudai kuwa ni Mume halali wa Goldie (Marehemu).

ANDREW ambaye ni SENIOR CONTRACTS ENGINEER katika Kaula Lumpur, Malaysia- kwa mujibu wa Page yake ya Facebook, amedhihirisha hayo kuwa yeye ndiye Mume halali wa Goldie huku akimimina Picha za Ushahidi wa Ndoa Zao.
"Tarehe ya Ndoa ya Jadi ilikuwa DECEMBER 8 2005, na Kufuatiwa na Ndoa ya Kidini DECEMBER 10,2015"
Aidha ametoa maneno machache ya ONYO kwa PREZZO ambaye alikuwa Mpenzi wa Goldie mpaka Kifo chake, kuwa akae mbali kabisa katika Kipindi hiki cha Maombolezo. 
Aidha Bado PREZZO hajazungumzia Lolote kuhusu hilo

Cha ajabu ni kwamba, bado jamaa hajaweka wazi kama Ndo yao ilikuwa bado hai au Lah..

MAZUNGUMZO NA ANDREW YALIKUWA HIVI....


Thanks Andrew. Just to clarify a few things

Like?

When did you wed her? And were you still married as at when she passed yesterday?

We wed in December 2005 and were very much married when she passed indeed I was talking to her on arrival in Lagos before the fateful event

I see you moved back to England. Do you have another family?

I work in Malaysia, we have a private home in UK, I do not have a second family

Also did you have kids together?

No kids, we were planning this year

There had been speculation for many years that she was married to an ‘oyinbo’ man. But no one could lay hands on anything. Why did you keep it a ‘secret’?

Our private life is nothing to do with work life, there has to be a balance

How did you hear of her death? I found out you last saw her in December?

I was talking to her on arrival in Lagos before the fateful event

How did you meet her? She must have been very young…

I met her at a friend’s leaving party and fell in love straight away, but had to work hard to persuade her I was genuine

So you will be planning to come here for burial rites…

Yes I have applied for visa and shall come next week

But how did you manage the Prezzo drama?

Prezzo was part of BBA game, just like in the movies, there was nothing to fear

But funny it dragged way beyond BBA

It dragged because the media dragged it, other wise it would have died naturally. Prezzo will say anything to get attention

Do you think he fell in love? And did you ever think Susan liked him for a minute…?

People fall in love and it’s not impossible to love more than one person, but there are different levels. She liked him initially, but began to despise him and distanced herself as he tried to use her she complained he was very manipulative

How did you come about your alias ‘Oyibopeppay?

Oyiiibopeppay is a name used in the villages for white man getting burned in the sun. I used to work in the bush erecting BTS for MTN and Glo

You have direct access to her password? The memories album was posted on her twitter. Or you requested for an admin to post?

I am an official admin. I don’t need any password but my own. It was authorised by Goldie

One last question: so much speculation on cause of death. I see from your facebook timeline that you’ve followed the reports. Have the doctors/family/label told you what the cause of death is?

An autopsy is being carried out and we will await results. The rest is speculation and hearsay

And did she have any medical condition?

She had no medical condition,

Is it true she was in India recently?

She was in Malaysia, we spent Christmas together away from prying eyes

What will you miss most about her?

Everything, she was the most beautiful person I ever met, no moment was wasted. Sweet, intelligent, sexy and a magnificent cook!!!!

And she was a determined young lady…

Very. That’s what I liked about her

Are you originally from England? Was she officially a citizen of your country by marriage? Or that was not concluded?

I’m from England and was processing Nigerian citizenship before I was transferred to Malaysia. Of course she was citizen of UK before we met, she lived and schooled there

She was indeed a star, as I’m sure you’ve seen from the tributes coming from far and near. Even the BBC and Billboard recognise her star

MIMI NDIYE MUME WA NDOA WA GOLDIE

3:03:00 AM Add Comment
ANAITWA ANDREW HARVEY, ambaye amejitokeza kupitia Mtandao wa Kijamii wa Facebook na Kudaio kuwa yeye ni Mume wa Ndoa wa Marehemu Goldie Harvey, ambaye pia alikuwa Mchumba wa Prezoo

WAKINA MAMA KUNUFAIKA

2:53:00 AM Add Comment


 Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi.

Taasisi ya Africa Youth Cross Cultural Exchange & Environment Conservation inatarajia kuzindua rasmi kampeni za uboreshaji wa wodi za kina mama wajawazito na watoto.

Mratibu wa Kampeni hiyo William Kotta amesema lengo la kampeni hiyo ni kuhakikisha wodi hizo zinakuwa na vifaa vinavyo jitosheleza kwa ajili ya kusaidia kina mama na watoto wanaoteseka na kupoteza maisha hasa wakati wa kujifungua.

Amesema taasisi hii katika kuanza kutekeleza kampeni hiyo, siku ya tarehe 22 Februari 2013 wameandaa chakula cha hisani kwa lengo la kuchangisha fedha na kusaidia upatikanaji wa vifaa hivyo.

Shughuli hiyo kwa heshima kubwa itaongozwa na Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi rais mstaafu wa awamu ya pili.

AKON MATATANI

2:45:00 AM Add Comment
THE BIG BOSS wa KONVICT MUSIC, Akon, yuko matatani hivi sasa baada ya kutakiwa kulipa kiasi cha $ 127,000 za kimarekani , baada ya kufunguliwa Mashtaka na kampuni ya  ATLANTA BUSINESS VIDEO, akiwa katika hatua za kufungua Mtandao wake mpya ambao utafanana na ule wa FACEBOOK

Kampuni hiyo imefungua Mashtaka hayo katika Mahakama ya Georgia kumtaka Rapper huyo kulipa kiasi hicho cha Fedha, baada ya kutolipwa na AKON ikiwa ni baada ya Makubaliano ya Kumtengenezea Video ya FANTRANCE ikiwa ni maalaum kwa FYI-Fantrance, Mtandao mpya ambao utamilikiwa na Akon.

FYI- Fantrance iliundwa na AKON pamoja na Wafanyabiashara wawili ambao walitarajia Mtandao huo uelekeane na Ule wa FACEBOOK

PICHA: POLISI WAKO FITI KUPAMBANA NA MAANDAMANO YA WAFUASI WA SHEIKH PONDA

2:35:00 AM Add Comment





HATIMAYE: PICHA HUGO CHAVEZ WA VENEZUELA HII HAPA

2:24:00 AM Add Comment


Serikali ya Venezuela imetoa hadharini kwa mara ya kwanza picha za rais Hugo Chaves ambae hajaonekana katika macho ya umma wa taifa hilo tangu Desemba mwaka jana.

Katika picha hizo rais Chaves anaonekana amelala kitandani huku  Mabinti wake wawili wanaonekana wakiwa wamesimama pembezoni mwake.

Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 58 anaendelea kurejea katika afya yake baada ya kupata matatizo yanayohusishwa na upasuaji wa ugonjwa wa saratani.

Mpaka sasa serikali ya Venezuela anaendelea kumsubiri Chaves apate nafuu ili aweze kuapishwa ili kuliongoza taifa hilo kwa muhula mwingine wa miaka sita.

HATIMAYE: MTOTO WA JAY Z NA BEYONCE HADHARANI...

2:21:00 AM Add Comment
MAMA NA MWANA: Beyonce Akiwa na Mtoto wao Ivy Blue
 
LIKE FATHER LIKE SON: Jayz Z akionekana kufanana zaidi na Blue Ivy

MNADA BANNER