REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

SEXY 3: LEO TUKO NA KAJALA MASANJA, HIZI NDIZO TAMU ZAKE TATU ZILIZO SEXY

6:32:00 AM Add Comment



INSTACOP: SHILOLE..ETI HAPO UMEFICHA NINI?..AU NDIO POZI?

6:27:00 AM Add Comment

INSTACOP STATE HOUSE, Dar Es Salaam
SIKU ya Jana katika Mtandao wa Instagram, Ndugu yenu INSTACOP, nilikutana na Picha hii ya Shilole, ambayo Nili-Like tu kawaida pasipo kuichunguza kwa makini, sababu wakati huo nilikuwa nafukuzia Ishu ya “Karrueche” na Mtoto wa Jay Z.

Lakini kabla Sijafika mbali zaidi, machale yalinicheza na Kurudi na Pingu zangu nikiwa tayari kukamata Mtu halafu Nimpeleke “lupango”.
MPAKA sasa najiuliza, hivi Mupenzi yake Nuh Mziwanda...ameficha makusudi hapo, Mkono umekaa bahati mbaya, ama Swagg?


HE! Kutizama kwa Umakini, nikaona Comment Moja inamuuliza Shilole “Shishi Beibe” kuwa ameficha nini katika Naniliu yake..kama ambavyo Mnaona.

Baada ya kufungua Most of the Comments, He, Si nikakutana nazo Nyingi zinauliza hivyo?...huku moja ikionesha kuwa ni kawaida ya “SHISHI YAKE NUH” kufanya hivyo.

HII PICHA, ina ka-Muda kidogo katika IG account yake, lakini nilivyotizama kwa makini nikabaini kuwa hili ni Poz Tu..lakini sasa..

Nikasema hata, siwezi Pitwa nah ii Kitu, nikaanza kuzipekua, He!..nikaziona Nyingine tofauti…...

HEBU TIZAMA NA PICHA HIZI..KISHA CHECK COMMENTS ZA FOLLOWERS WAKE










KUTANA NA MAMA HUYU, AMBAYE HAONI SHIDA KUKAA MTUPU, YAANI UCHI WA MNYAMA, MBELE YA MTOTO WAKE WA KIUME MWENYE MIAKA 13

3:43:00 AM Add Comment

LONDON, Uingereza
UKISTAAJABU ya Musa, basi Jianda Kustaajabu ya Filauni Pia, na amini usiamini hii ni Kweli na bado inaendelea kuwa Kweli kwa sababu inatokea..Iko Hivi..

JULES PORMERANCE, ni mama mwenye Ujasiri wa Ajabu ambaye haoni haya wala Shida ya aina yoyote kuonekana kama alivyozaliwa mbele ya mtoto wake wa kiume, JORDAN, mweny umri wa Miaka 13

Mama huyo ambaye ana watoto watatu akiwemo huyo Jordan, kwa kawaida huzunguka Ndani ya Nyumba yao akiwa mtupu kama alivyozaliwa, mbele ya watoto wake hao hasa aJordan, huku Mumewe Pia, akiona ni suala la Kawaida sana.

Mara nyingi Mama huyo pamoja na mmewe NIGEL, hawana muda wa kuvaa taulo pindi wanapoingia na kutoka Bafuni baada ya Kukoga, na mara kwa mara huwa wanacheza kitandani na watoto wao hao akiwemo Jordan, wakiwa watupu haswa

JULES ambaye hivi sasa ana umri wa Miaka 44, kutoka Moyoni kabisa, anakiri kuwa haoni tatizo juu ya hali hiyo hasa kwa Jordan.

Aidha mama huyo amesema kuwa, kwa sababu motto wake hivi sasa ameshaingia katika umri mkubwa unaomruhusu kubarehe, haoni tatizo lolote, kwa sababu hata kama akiwa na mahusiano na binti mwingine nje, hatoona jambo la ajabu kukaa Mtupu.

Kwa ujasiri mkubwa kabisa, mama huyo amedai kuwa kama familia, Mara nyingi huwa wanakuwa watupu hasa mida ya asubuhi wakati watoto wao wanapowafuata Kitandani na Kuanza Kucheza nao.

Pia ameongeza kuwa, hata hivyo, hiyo ni njia Mbadala kwa Jordan hasa asishawishike kufuatilia mambo ya Utupu, sababu kitendo cha kumficha ficha motto wako, ndiko kumsababishia kutafuta simu kubwa na hata laptops ambazo wanajaza Video na picha za Ngono, na kuanza kutizama vitu ambavyo mama zao wanawaficha.


Mama huyo ameacha Swali moja la aina yake kwamba, Kwani kuna athari za Kiafya kwa motto kumuona mama yake akiwa Mtupu katika Umri wowote?...ama kuna muda maalum ambao Mama anatakiwa kuuficha Mwili wake ili motto wake wa Kiume asiuone?

HATIMAYE NICK CANNON AMEOMBA MSAMAHA KWA MARIAH CAREY

3:26:00 AM Add Comment
NICK CANNON amemuomba Radhi mke Wake Mariah Carey
NEW YORK, Marekani
NICK CANNON hatimaye amemuomba Msamaha Mke wake Mariah Carey baada ya kukaa kwa Miezi kadhaa katika Mgogoro na mchakato wa Kupeana talaka

Nick Cannon ambaye Pia ni Star Mzuri tu katika THE REAL HUSBANDS OF HOLLYWOOD, Ndiye aliyetangaza kuwepo kwa Mtafaruku Mkubwa, na wanaishi Nyumba Tofauti kwa Muda wa miezi kadhaa sasa, Wiki iliyopita alimtembelea Mariah Carey Nyumbani Kwake NEW YORK CITY, huku ikisadikika kuwa, alimuomba Msamaha na kumtaka waondoe tofauti zao.
MARIAH CAREY: Hajatoa taarifa kuhusu talaka yake na Nick ambaye amezaa naye Mapacha wawili MONROE na MORROCAN

Kwa Mujibu wa E! NEWS, inasemekana kuwa, Mariah alimuita Nick Cannon Nyumbani kwake na Kumpa taarifa kuwa atatoka Nje ya Mji, na ataondoka na Watoto wao wawili (MAPACHA), MONROE naMORROCAN, jambo ambalo Nick hakukataa na kujibu kifupi kuwa ni sawa.

Tofauti na Hilo, Mariah Pia alimuambia Nick kwamba Hivi karibuni Taarifa za talaka zitatolewa Rasmi baada ya kukamilisha mazungumzo hasa baina ya wanasheria wao.

Hata Hivyo chanzo kilichopo karibu na familia Hiyo, kimedai kuwa, Nick Canon ameamua kujirudi na kuomba Radhi juu ya Hilo Suala.

CHUKUA HII: MTOTO WA JAY Z NA BEYONCE, BLUE IVY, AZUA BALAA KATIKA KITUO CHA BET..KUNA WATU HUENDA WAKAFUKUZWA KAZI

3:07:00 AM Add Comment
BEYONCE & JAY Z Wakiwa na Mtoto wao BLUE IVY. Inasemekana Beyonce na Jay Z walichukizwa sana na Utani uliofanywa dhidi ya Mtoto wao, na kuamua kumtaarifu Boss wa Kituo cha BET

MAREKANI
KUNA uwezekano Binti wa Jay Z na Beyonce, BLUE IVY, akawasababishia matatizo baadhi ya wafanya kazi wa kituo cha Televisheni cha BET, baada ya Kuzuka Utani kuhusu Nywele zake, sasa iko Hivi

Kipindi cha 106 & PARK kinachorushwa na kituo Hicho cha BET, kilianzisha Segment iliyokuwa ikijaribu kumzungumzia Mtoto huyo wa Jay Z, kwa kuuliza “SIX THINGS BLUE IVY WAS THINKING DURING THE VMAs” yaani “VITU SITA AMBAVYO BLUE IVY ALIKUWA ANAFIKIRIA KATIKA TUZO ZA VMAs”, kufuatia na kuwepo kwa Mtoto huyo katika Usiku huo, huku akionekana kupiga Makofi kwa Wingi.

Kipindi Cha BET Kinachoongozwa na Bow Wow
Sasa, Mgeni ambaye alikuwepo siku hiyo alikuwa ni Karrueche Tran, Kishtobe wake Chris Brown, alikuwa ni Karrueche Tran, ambaye alijikuta akiulizwa swali hilo lililosababisha atamke maneno hayo ambayo yanaaminika kuwa alimkashif Beyonce, Jay Z, na motto wao Blue Ivy jambo ambalo ni Kinyume na Kanuni ya Utawala wa kituo Hicho hasa katika Misingi ya familia na watoto.

Wakati akijibu swali hilo, karrueche alisema kuwa, kitu ambacho anahisi Blue Ivy alikuwa anafikiria Siku hiyo ni Kwamba “Nimeamka kama Hivi nilivyo, sababu wazazi wangu huwa hachani Nywele zangu”
Aidha baadaye, Karrueche alijishtukia na kuongeza kuwa “Samahani Blue Ivy, nakupenda”, lakini hata hivyo haikusaidia Chochote maana tayari alikuwa ameshaharibu.
STEPHEN HILL: Ameahidi kuchukua hatua za Kinidham kwa Wote waliohusika, sambamba na kuomba Msamaha kwa JAY Z na BEYONCE, baada ya tukio hilo kuonekana kuwakera Wengi

Kupitia Account yake ya Twitter na Instagram, Karrueche aliomba Msamaha na kukiri kuwa alifanya kosa jambo ambalo halikustahili kutamkwa, ingawa ilikuwa katika hali ya Utani, na wala hakudhamilia kufanya hivyo.
DEBRA LEE: C.E.O wa BET

Kwa Upande wake Mkuu wa masuala ya Burudani  wa BET STEPHEN HILL, ameomba Radhi kwa Mashabiki Wa Beyonce, na Jay Z kwa Tukio lililojitokeza huku akiahidi kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika Wote katika Kipindi hicho ambacho pia huongozwa na Bow Wow.
Pia  Stephen Hill alimtetea Karrueche na kudai Kuwa, halikuwa Kosa lake, bali na Waandaaji wa segment hiyo, kwa kufanya kitu cha Kijinga kama hicho


KARRUECHE TRAN: Ndiye aliyetoa Utani Huo, lakini ameomba Msamaha kwa Famili Nzima na Mashabiki wa familia hiyo, kupitia TWITTER na INSTAGRAM
Haijafahamika Mpaka sasa kama Wahusika wa kipindi wamesimamishwa kazi, ama Lah, lakini kwa Fununu zilizopo ni kwamba, Sehemu ya Timu nzsima Ya Kipindi Hicho, imetimuliwa kufuatia Tukio hilo, na hivi sasa tusubiri Taarifa rasmi kuhusu Ishu hiyo

PANCHO KUTUSHUSHIA KIFAA KINGINE AMBACHO HAKIJAWAHI TOKEA BONGO

2:48:00 AM Add Comment

PANCHO LATINO: Producer Kutoka B-HITZ
DAR ES SALAAM, Tanzania
THANKS kwa akina dada Wote walioko katika Music Industry hapa Bongo, ambao pia wana uwezo mzuri wa Kufanya kazi zao, na sauti zao zikadhihirika kabisa kuwa ziko so Hot, na zimekaa Vyema.

Mfano wa wengi ambao tunajivunia kuwa na Classic Voice kwa Upande wa Divas, Ni pamoja na Linah Sanga, Ray C, Linnah Sanga, Lady Jay Dee, Rachel na Wengineo kibao ambao mpaka hivi sasa wako Vizuri katika game.

LAKINI Siku ya Jana, Pancho Latino Kutoka B-HITZ, ametishia amani ya Soko la Muziki hasa ule laini kwa Upande wa watoto wa Kike, baada ya Kutuonjesha Sauti na Mzigo Mpya ambao  Soon utaanza kukita Air waves hapa Bongo na hata kimataifa

Katika Kauli yake PANCHO, alidhihirisha kuwa, Ni Kipaji cha Ajabu kutoka kwa Binti huyo, anayetumia Jina la Rosemalley

Ingawa bado mzigo haujafahamika ni Mkwaju gani na Utatoka lini, lakini kwa masikio ya TTM, imedhihirika kabisa Bibie huyu atakuja kuhatarisha Sokola Muziki wa Kizazi Kipya hasa kwa Malegendary na wale ambao tayari wameshatangulia katika Soko la Muziki.

NANI KASEMA WATU HAWATAPELIWI INSTAGRAM..SKIA HII KUHUSU WEMA SEPETU

2:23:00 AM Add Comment
WEMA ISACK SEPETU: Kuna Mtu anatumia Jina lake katika Mtandao wa Instagram, hali inayohisiwa kuwa ni UTAPELI unataka kufanyika, ama huenda umeshafanyika

DAR ES SALAAM, Tanzania
ASILIMIA kubwa ya wabongo pamoja na watu mbali mbali hasa Maarufu, wamewahi kusema kuwa, Instagram ni Bora Kuliko Facebook, ukizingatia hakuna masuala ya Kitapeli kwa kutumia account zao.

Tofauti na Hilo, wengi wamekuwa wakijipa Matumaini kuwa, IG huwezi kutapeliwa kwa sababu most Of the time, unacomment na Kulike tu, huku wakisahau kuwa, hakuna Mtu Mbaya kama Tapeli, anayekesha kila kukicha akibinu Njia Mbadala ya Kuibia watu, hasa kwa kuwaingiza Town
ACCOUNT FEKI inayotumia Jina la WEMA SEPETU. Kuweni Makini (Snap by IG: totolakimanga)

ASUBUHI na Mapema ya Leo, Kitengo Chimbua Chimbua kimekutana na Info ya kushtua ya kwamba, hivi sasa kuna Mtu ambaye anatumia Jina la Wema Sepetu katika Mtandao wa Instagram, na tayari imeshapata Followers

Moja ya mashabiki na watu wa Karibu wa Wema sepetu, alizama Mtandaoni na kuonesha Account hiyo, huku akiwasa watu kutokuiffolow account Hiyo, huku akiwashauri wengine ambao tayari wameshafollow Account Hiyo ku-Unfollow haraka maana Ni tapeli wa Kufa Mtu


Katika Account hiyo Feki, Taarifa za Wema Sepetu zimebandikwa pale, kiasi kwamba unaweza ukashawishika kuamini kabisa huyo ndiye  “Baby ake Dangote” Mwenyewe na tayari imeshapata Followers zaidi ya 700.

MNADA BANNER