REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HAYA NDIYO MAZUNGUMZO YA RIHANNA NA CHRIS BROWN.....KABLA CHRIS BROWN HAJAENDA MAHAKAMANI !!!!

11:47:00 PM Add Comment







WANASEMAGA HIVI......Penzi Kikohozi..kulificha Huwezi...na Hivi ndivyo Rihanna alivyom-tweet Chriss Brown akimtakia "All The Best" Katika Kesi Yake Mahakamani......





WAISLAAM RUVUMA WATAKA KUTENGANA NA WAKRISTO

11:15:00 PM Add Comment
Mufti Mkuu Nchini, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba
Kwa Mujibu wa Taarifa Zilizotufikia Hivi Punde, Ni kwamba Waumini wa Dhebu la Kiislama Wilayani TUNDURU, MKOANI RUVUMA, wameshinikiza Kutengana na Dhehebu la Kikiristo Katika Wilaya Hiyo.

Tarifa za Uhakika kupitia Mwanahabari wa Kituo cha Redio cha WAPO RADIO FM cha jijini Dar es Salaam  Zinaeleza kuwa, Shinikizo hilo limeleta hali ya Wasi wasi kwa Wakazi wa Dhehebu la Kikristo Wilayani Tunduru, huku wakihisi kuwa huenda hali hiyo Ikaleta Mgogoro Mkubwa wa Kidini Baina yao.


HALI HALISI.
Taarifa Zinaeleza Kuwa, katka Matukio mbali mbali ya kushinikiza Utengano Huo, Waislaam Hao wamekuwa wakionesha Matukio mbali mbali ya Kiudharirishaji katika Mihadhara yao wanayoifanya.
Moja ya Matukio Hayo, ni Kuigiza namna ambavyo Wachungaji mabli mbali wanavyowaombea Waumini wao huku wakianguka chini kama Watu wenye Mapepo.

Licha ya Hali hiyo kuonesha Udharirishaji, baadhi ya Wakristo wameelezea kuwa huenda hali hiyo ikaanzisha Mgogoro wa Kidini wilayani Humo.

MASHINIKIZO YA KUNDI HILO LA KIISLAAM HAO.........

Kundi hilo la Waislaam katika Wilaya hiyo ya TUNDURU, linawashinikiza Waislaam Wenzao Kutengana Kabisa na Wakristo katika Hali zifuatazo.
      - Kuahama Makazi ambayo yanamilikiwa na Wakristo (Ikiwa Waislam ni Wapangaji)
      - Kuwaondoa Wakristo ambao watakuwa Wamepanaga katika Makazi ya Waislaam
      - Kuvunja Ndoa iwapo Muislaam atakuwa ameolewa au kumuoa Mkristo.
      - Kutengana na Waumini wa Kikristo Kabisa.
Tunduru, Ruvuma


CHANZO CHA HAYO YOTE.
Chanzo cha Mashinikizo hayo kutoka Katika Kundi hilo la Kiislaam bado hakijabainika Rasmi
Baadhi ya Waumini wa Dhehebu la Kiislaam Jijini Dar es Salaam wakiwa Katika Ibaada Takatifu

VYOMBO VYA USALAMA NA SERIKALI NZIMA......................
Aidha kwa Mujibu wa Taarifa kutoka kwa Mwanahabari huyo, ni kwamba Vyombo vya Usalama Wilayani humo bado havijachukua Uamuzi wowote ule wa Kisheria....jambo ambalo huenda Wakristo wakaamua Kujibu Mapigo

SHEKHE MAARUFU KENYA AUWA KWA RISASI

8:47:00 AM Add Comment

Shekhe Maarufu Sana Nchini Kenya ABOUD ROGGO ameuawa kwa Kupigwa Risasi Nchini Kenya.

Kwa Mujibu wa Taarifa Za Uhakika, Sheikh Rogo ameuawa katoka Gari lake aina ya MATITU alipokuwa katika safari kwa Kupigwa Risasi maeneo ya Katika Bara bara ya MOMBASA-MALINDI, karibu na PIRATES BEACH CLUB, iliyoko BAMBURI MOMBASA


.
 TAARIFA ZA KIUSALAMA

Vyombo vya Usalama Nchini Kenya wameshapata Taarifa Hizo za Kifo Cha Sheikh Aboud Rogo maarufu kama "ALBADIR"

MATUKIO YAKE:

Marehemu Amewahi kukumbana na Matukio kadhaa hususan la Kufungwa Jela mnamo mwaka 2002 baada ya madai ya kuwa alishiriki katika Bomu liliwahi kuua Raia Wengi wa Kenya, na Hatimaye Kuachiwa Huru baada ya Miaka Miwili.



MTANGAZAJI MAARUFU AFRIKA MASHARIKI AOMBA USHAURI WA NGONO

8:26:00 AM Add Comment



Hata Msigune Jamani.

Mtangazaji Maarufu Afrika Mashariki kutokea KIBAKI LAND a.k.a Area 254 Kenya PETER ADAMS katika Kituo cha Redio cha MAISHA RADIO FM....Maenaswa akiomba Msaada wa Kimapenzi bin Kingono

Inaonekana Jamaa anakunguta zaidi ya Muziki....


KWA NINI KAFANYA HIVYO?...
 
Kwa Mujibu wa Udaku inasemekana, Jamaa huyu ameomba Ushauri huo akiwa anamsaka mmoja wa Wasanii wa Kike mwenye Jina kati ya Wasanii wanaotamba Nchini KENYA (Jina Halikuhusu)

"Msanii huyo wa Kike alimpigia PRESENTER huyo huku akimtaarifu wakutane SECET LOUNGE mida ya Saa Tatu Usiku kujadiliana jambo Fulani" Mdau wa Udaku Nchini humo alidai.

ENHEEEEEE...SI IKAWA HIVI SASA?.........

Katika Mkutano huo ndani ya Hiyo LOUNGE, Jamaa akaanza kumuelezea Msanii huyo jinsi ambavyo anahisi kama sio "kufeel" kwa Mwanadada huyo...hasa pindi anapokuwa anagonga Track zake kwa Kipindi, na Endapo "ataninonino" naye usiku huo....basi wimbo wake utakuwa unagongwa Haswaaaa...katika Kipindi chake

MAJIBU YA HUYO MWANADADA.....

Baada ya Jamaa kupiga "sound" hizo, Mwanadada huyo alimpiga "KIBUTI CHA MBAVU ZOTE MBILI", huku mwana dada huyo akisepa bin Kuondoka hata kabla PETER ADAMZ hajaipitia CD yake

KUMBE JAMAA NI MBAAAYAAAA !!!!

Inasemekana kuwa, Juzi kati tu...kuna Mwanadada ambaye alijaribu kunywa Sumu baada ya kugundua Kuwa Jamaa "ANA NINONINO" na Msichana Mwingine.







HAPPY BIRTHDAY....

7:49:00 AM Add Comment
Chiristina Millian leo anasherekea Sikukuu yake Ya Kuzaliwa. Christina ni Muigizaji Maarufu wa Filamu na Mwanamuziki wa Rn B

 Serena Williams Leo Anasherekea Sikukuu yake Ya Kuzaliwa. Serena Ni Mcheza Tennis Maarufu Duniani.

Michael Ballack Leo anasherekea Sikuu yake ya Kuzaliwa. Michael Ballack ni Mchezaji mashuhuri wa Timu ya Taifa ya Ujerumani.

MTOTO WA MAREHEMU WHITNEY HUSTON ALIVYOPATA AJALI YA GARI.......

7:36:00 AM Add Comment
BOBBI KRISTINA NA MAMA YAKE MAREHEMU WHITNEY HUSTON



Hivi ndivyo ambavyo Gari alilokuwemo mtoto wa Marehemu WHITNEY HUSTON anyefahamika kwa jina la BOBBI KRISTINA ilivyoonekana baada ya Kupata Ajali Muda kadhaa uliopita.

"Aksidenti" hiyo ilitokea Maeneo ya Georgia, huku ikbainika kuwa "Ndinga " hiyo iliyotoklezea ikiwa Ovyo namna hiyo, inamilikiwa na "Kishtobe" (Mpenzi) wake Bobbi, ambaye ni NICKI GORDON.

Gari hilo lilipoata ajali hiyo ni  The black 2012 Camaro, na NICK alionekana akiiendesha "Ndinga hiyo sku ya Jumapili Usiku, akiwa na BOBBI KRISTINA katika kiti cha Pembeni.
BOBBI KRISTINA
BOBBI KRISTINA NA MPENZI WAKE NOCK GORDON

CHANZO CHA AJALI.

Inasemekana kuwa, Chanzo cha Ajali hiyo ni Kurumbana kwa Wawili hao waliokuwa katika Gari hilo siku ya Tukio.

MATOKEO YA AJALI HIYO.

Hakuna Yoyote aliyeumia.


MNADA BANNER