REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HII NDIYO KAULI YENYE HASIRA ALIYOITOA PAPA FRANCIS BAADA YA KUSUKUMWA NA KUMUANGUKIA MLEMAVU:

10:45:00 PM Add Comment

Black Touchez Team & Daily Mail
PAPA FRANCIS wa Kanisa la Roman Catholic, aliweza kudhuru Nchi ya Mexico na Kukutana na Waumini wengi ambao walijitokeza Kumlaki na hata Kumsikiliza

Katika Hali isiyo ya Kawaida, wakati akisalimiana na Waumini wa Kanisa analoongoza Mpaka Hivi sasa, Walijitokeza baadhi ya Watu na Kumvuta kwa Mbele, hali iliyomfanya amuangukie Mwanaume Mlemavu kwa bahati Mbaya

Katika Kuonesha Kuwa amechukizwa na Kitendo Hicho, Papa Francis alitamka maneno ambayo yalionesha kuwqa, hakufurahishwa na Kitendo hicho, na kwa namna moja ama nyingine, alikwazika kiasi fulani

Tukio Hilo Lilitokea katika Uwanja wa MORELLA, Huko Nchini Mexico

''No seas egoísta. Qué te pasó, no seas egoísta'', akimaanisha "Msiwe Wabinafsi, Msiwe wabinafsi"

Tizama Video Hiyo

MNADA BANNER