REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#UchaguziMkuu2015: LEO NDIO HATMA YA WEMA SEPETU?

2:03:00 AM Add Comment

CHANZO: BLACK TOUCHEZ.COM
MKOA wa Singida Siku ya Leo ndo Utathibitisha rasmi kama malkia wa Bongo Muvi Nchini Tanzania –WEMA SEPETU “Madame” atapata nafasi ya kuzama Bungeni , ama Inakuaje.

Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo zimeshavujishwa kunako Dawati la “Wafukuza Mapepo” Mapema Hii Leo, Wema aliwasili katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi-CCM Mkoa wa Singida kwa ajili ya kufahamu Mbivu na Mbichi katika Kinyang’anyiro Chake.

WEMA alionekana ni Mwingi wa tabasamu Lenye Hofu , na Mpole haswa, wakati akisalimiana na wakongwe wa Chama Hicho katika Mkoa Wa Singida, lakini ni kwa Mazingira ya kujiweka sawa ili kunyakua nafasi Hiyo.

MARTIN KADINDA :
Kwa Upande wake Martin kadinda, ambaye ni Moja kati ya Timu Kubwa iliyoko Nyuma ya Wema Sepetu, amezidi Kumpa Moyo X-Bebe wa Chibu dangote, kwa Kuweka hash-tags za Kumwaga, kuwa amethubutu, nab ado wengi wanamuombea afanikiwe.

Mashabiki Pia hawajamtupa, ingawa kuna baadhi bado wanamkosoa na hata kukumbushia yale mabaya yake, kupitia Comments kadha Wa kadha


KILA LA KHERI WEMA SEPETU!

NOMA: MASANJA ANAPOAMUA KUTOA MAOMBI KABLA NDEGE HAIJAANZA SAFARI

1:53:00 AM Add Comment

MASANJA alikuwa akiongozana na Diamond Platnumz Kuelekea MKOA WA MOSHI, ambako kuna Mashindano ya MISS KILIMANJARO ambayo yanafanyika kwa Kishindo.

Ajabu na Kweli, Masanja aliaona kabla Ndege haijanyanyuka, ni Bora afyatue maombi kwanza

Duh, Nimeipenda

HOT & SO SEXY: UMEMMISS MENINA LA DIVA?, PICHA ZAKE 10 ZIKO HAPA

1:49:00 AM Add Comment

 Kupitia Tracks Kadhaa kama Vile PIPI YA KIJITI na SHAGHARABAGALA, Bibie huyu ambaye ni zao la Bongo Star Search inayoendelea Hivi sasa, wengi tuliweza kujikuta tukiingia katika Soko lake la Muziki, lakini tukishindwa kufahamu ni Kipi ambacho kimemfanya awe Kimya kwa Muda Wote Huo.










MNADA BANNER