REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

TIWA SAVAGE HATIMAYE AMEFUNGA NDOA

10:52:00 AM Add Comment




BAADA ya kuvalishana Pete ya Uchumba huku mikakati ya Ndoa ikiendelea, hatimaye hayawi hayawi, yamekuwa.

WEEKEND hii ilikuwa haiwez kushaulika kwa wapendanao wawili, Mkali wa KELE KELE LOVE-Tiwa Savage, na Meneja Wake, TEEBILLZ, kwani wmeweza kutimiza ndoto yao ya muda mrefu, kufunga Ndoa.

Kama utakuwa ni Mfuatiliaji wa karibu wa TTM, utakuwa unafahamu vema kabisa kuwa, Mchakato wa Ndoa uliandaliwa kufanyika kunako jiji la Maraha, DUBAI, na ndicho Kilichofanyika.


Mpaka kufikia Mwishoni mwa mwaka Jana, Mahusiano ya Wawili hao yalikuwa wazi kwa kila mtu na hata mashabiki wa Tiwa kusubiri kwa hamu tukio hilo Muhimu.

Moja kati ya watu wenye majina makubwa Nchini Nigeria, waliohudhuria katika “Ubwabwa” huo, ni Pamoja na DON JAZZY, producer aliyemtoa Tiwa Savage katika Game la Muziki huku akidaiwa kukunjuka naye Mara Kadhaa, pamoja na Msanii BANKY W ambaye alikuwa Best Man wa Bwana Harusi TEEBILLZ

Aidha Info zinadai kuwa, Katika harusi Hiyo, DON JAZZY aliahidi kutoa zawadi ya Gari kwa TIWA SAVAGE



















ARROUND THE WEEKEND: AFANDE "MLEVI" ATOA KIPIGO NA KUTISHIA KUWAPIGA RISASI AKINA DADA WAWILI, KISA NI SAMAKI

9:20:00 AM Add Comment



ULALALALALAAAAAAAAA!!!!!!!!!


ARROUND THE WEEKEND this Time imekuja nah ii kitu Kutoka Jijini LAGOS, NIGERIA, ambapo KITENGO CHIMBUA CHIMBUA kutoka TTM kimeshusha Ripoti Kuwa kuna “Mwela” mmoja aliyefahamika kwa jina la TAFA MOHAMMED, amegawa kifinyo kikali kwa akina dada wawili na kasha kuwatishia Kuwapiga Risasi hadharani.


  • KISA CHENYEWE:


RIPOTI kutoka KICHICHI (Kitengo Chimbua Chimbua) inamiminika kuwa, Jombaa huyo aliyekuwa amepiga “Gwanda” zake kama kawaida, alimuomba Mhudumu SAMAKI ili amalizie Kinywaji Chake (POMBE), lakini Mhudumu huyo akadai kuwa hauzi samaki peke yake, bali anauza pamoja na Chakula.
 
Pia Ripoti inazidi kumiminika kuwa, baada ya Afande Tafa kujibishana mbovu na Mhudumu huyo, pombe zikamtumu achukue samaki wa Mteja Mwingine wa Kike, jambo ambalo lilizua Timbwili na hatimaye akina dada hao kuingia katika “Mbwadidi” (Noma) zito na akina dada hao wawili, mpaka kusukumana kunako maji machafu…


MNADA BANNER