REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

 BOW WOW APIGWA CHINI..BET

2:18:00 AM Add Comment


Infact Sio habari za Kufurahisha lakini sababu zinaweza kukushangaza Kwa nmna Moja ama Nyingine kama TTM tulivyostuka.

The Ishu Kwa ufupi Tu ni Kwamba BOW WOW ambao Wengi Tunamfahamu kama Bonge Moja la Artist aliyekimbiza na kukimbiza Kwa Mikwaju Kibwena ikiwemo FRESH AZIMIZ, AINT THINKING ABOUT YOU, na Nyinginezo kibwena.

Apart From Music, Mkali huyo Wa MARCO POLO, alikuwa Ni Host ama Mtangazaji wa KIPINDI maarufu cha BET (Black Entertainment Television), kilichokuwa kikijulikana kwa jina la 106 & PARK, kwa Muda mrefu sasa, hadi kuamua Kujiita MR. 106.

Lakini Ishu zilizotufikia TTM Kuhusu Kufukuzwa kwake katika kampuni Hiyo na kazi Nzima Kiujumla, zilitufanya Tufukunyue Chanzo halisi, Ni Kwamba BOW WOW anadaiwa Kuiibia kampuni Hiyo ya BET Kiasi cha Dollar Za Kimarekani 30,000.

Aidha Zimenuka Kuwa, BOW WEEZY alitumia Mkwanja Huo kutoka katika CREDIT CARD ya Kampuni, na hatimaye Kuzitumia kwa Matumizi Binafsi ya Kampuni yake, ambayo huwa na Kitengo cha Kuwajali na Kuwasaidia watoto wasiojiweza.

Hadi Hivi sasa, Msemaji wa BET ambaye alitakiwa Kutolea Ufafanuzi Suala Hilo, amedai kuwa hana chochote cha Kufafanua Kuhusu hilo.

MNADA BANNER