REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

SIZE 8 akataa kutumiwa katika....

8:10:00 AM Add Comment
KENYA:
MAMITO mwenye Mpunga wa kutosha Nchini Kenya, namzungumzia Size 8 (Pichani) ametolea Nje ofa za kutumika kupiga show katika Kampeni za Uchaguzi zinazochukua kasi Nchini humo

Kwa mujibu wa mwanamama huyo ambaye hajui ni kiasi gani cha fedha alicho nacho sasa hivi na wala hajasumbuka kupiga mahesabu, amedai kuwa amekuwa licha ya wasanii wengi wa Kenya kushirika katika kupiga kunako kampeni mbali mbali za Uchaguzi nchini humo, yeye ameamua kupiga chini ofa ambazo amekuwa akipewa mara kadhaa na wanasiasa mbali mbali wanaoshiriki uchaguzi nchini humo, huku sababu yake kuu ikawa ni kutaka nchi yake iwe na amani na hawezi kujihusisha na suala hilo

SSSSHHHH: TUKO BIZE

7:50:00 AM Add Comment
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Wa Tanzania, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo(DRC) Na Mwenyeji wao Rais Armando Guebuza
wa Msumbiji wakati wa Kikao cha SADC,Jijini Maputo...!

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyeji wake Rais wa Msumbiji
Armando Emmiio Guebuza wakiwa kwenye Mkutano wa Nchi za Jumuiya
ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Jijini Maputo Msumbiji Jana.

PICHA : MKUTANO WA KIUCHUMI, JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

7:45:00 AM Add Comment
 Makamu wa Pili wa  Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoka kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha { AICC } Baada ya kuufunga Mkutano wa Mafuta na Maonyesho wa Afrika Mashariki  kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dkt.. Ali Mohammed Shein

 
Kulia ya Balozi ni Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania Mh. George Simba Chawene, na kushoto yake ni Waziri wa Nishari wa Uganda Mh. Irin Muloni na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Mh.  Jesca Eriyo..

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufunga Mkutano wa sita wa Mafuta wa Mataifa ya Jumuia ya Afrika Mashariki uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Arusha kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein.

YAMETIMIA : DIAMOND ATHIBITISHA KUWA, PENNY NI "SWEETHEART " WAKE

7:28:00 AM Add Comment
 THE BABY MAMA: Picha ya Penny iliyopopstiwa na Diamond kupitia Instagram

WABONGO BHANA...WANA MACHO YA KULENGA KWELI KWELI !!! Hatimaye baada ya kuhisiwa saaaaana na Bandugu ba area 255, nazungumzia "Bongo", finally Diamond Platnamz amemuweka bayana yule mwanadada Mtangazaji wa DTV, namngumzia DVJ Penny herself, kuwa ndiye atakayempeleka "kesho" kwa Mama yake (mama Diamond).
 INLAWS: Mama Mzazi wa Diamond (KATIKATI) na Dvj Penny (KULIA)

hiyo imetokea katika Mtandao wa Instagram (Samahani kwa msioufahamu) baada ya Mnyama Platnumz "Msafi" himself kupost picha hiyo (Hapo juu) huku akiandika maneno yafuatayo kama kelelezo chake 
#MaBabyMama # De'MumOfMyBlood #MamaYounDiamond#YounPlatnumz# Young Prezident
ROMANTIC: Dvj Penny na Diamond Platnumz

MNADA BANNER