REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

KAHAMA KUMEIVA TAYARI: CHECK PICHA

2:26:00 AM Add Comment

Kinyang'anyiro cha kumtafuta mlimbwende wa halmashauri ya Msalala wilayani Kahama kimemalizika , huku taji hilo kuchukuliwa na Mshiriki Namba 08 Sophia Julius huku nafasi ya pili akienda kwa mshiriki namba 10 Nyange Warioba.

Katika  mashindando hayo mshiriki namba 02 Anna Charles ameshika nafasi ya tatu, Mshiriki namba 07 Pendo Maximillian ameshika nafasi ya nne na mshiriki namba 03 Magreth Victor ameshika nafasi ya tano































MWANZALICIOUS- KAMA UMEMMIS JULLY TAX, ALIYETISHA KATIKA MAIGIZO JIJINI MWANZA..HUYU HAPA

1:43:00 AM Add Comment


GOT TO LOVE YOU !! SIZE 8 NA MUMEWE DJ MO WASHINDWA KUPINGA SUALA HILI….

1:39:00 AM Add Comment

UKIMYA Mkubwa saaana umetawala kwa Mwanadada SIZE 8 tofauti na kipindi Cha Nyuma kabla hajaokoka na hata kuolewa na mumewe DJ Mo, lakini TTM tunaamini huenda Jombaa hapendi sana kuanika anika Ovyo masuala yao mbali mbali.

Lakini Kutokana na hali halisi ilivyokuwa katika Moja ya tamasha huko nchini Kenya, SIZE 8 alishindwa Kupinga Ombi ambalo liliombwa na Mashabiki waliokuwa Wakipokea burudani yake hasa wakati Yuko kwa Stage.

Ngoma Nzima wala Sio Mbaya, Ni nzuri kwa sababu wakati Size 8 ameshika Kipaza sauti ili aweze kushusha Mbwadidi la Moto Mkali Kutoka Kwa yesu, Mashabiki wake walikuwa Wakipiga Kelele wakimtaka aimbe na “Mahaba Ninyonge” wake, yaani Mumewe DJ Mo.

Baada ya kuona hali imeshamili, basi DJ Mo ambaye huwa haachani na mkewe katika Show yoyote, hakuwa na Budi kupanda Kwa Stage na kumpa kampani Mkewe huyo.


Vuta Picha ilkuwaje..

HE! KANYE WEST KUFANYA ALBUM NZIMA AKIONGEA TU…..

1:34:00 AM Add Comment

EVERY DAY kunako Mastaa wa majuu, talking Aboout Mbele, lazima kuna Jipya litatoka tu, ili mradi kuweza kufikisha kile wanachokitaka kwa Fanz wao.

This time TTM tumekutana na Mtonyo kuwa, Rapper Kanye West “Yeezy” yuko kunako Mchakato wa Kupika Albam Mpya ambayo Eti, itchukua Masaa matatu akiongea Tu, kuhusu Maisha yake yeye na Mchumba ake Kim Kardashian pamoja na motto wao North West

Kwa mujibu wa gazeti la The Sun ambalo pia lilipata mtonyo kutoka kwa mtu wa karibu wa Mkali huyo wa POWER, Inasemekana Kuwa, KANYE anapenda sana kuisikia Sauti yake hasa anapokuwa Anazungumza kuhusu Mishe mbali mbali hasa maisha yake na familia yake.

Kwa mantiki hiyo, Jombaa huyo ambaye hivi soon anatarajia Kufunga Ndoa  na Mchumba Wake Kim, anaplan Kurecord Album Nzima ya Masaa 3 akizungumza Tu pasipo Kuimba wala Kurap, bali ni Kuongea.

Pia Mitonyo inazidi kumiminika Kuwa, Kanye hatanii kuhusu Suala Hilo, kwani kuna uwezekano Mkubwa target Yake ikawa kunako Tuzo za Grammy hasa katika kipengere cha THE BEST SPOKEN WORDS ALBUM


Mzigo huo Utapatikana Kunako Mitandao Mbali mbali ya Muziki, huku Wapenzi wa Burudani yake wakidownload kupitia huko.

ODAMA WA BONGO MOVIE, FINALLY YAMETIMIA:

1:25:00 AM Add Comment

Infact, TTM tunaweza kusema Pongezi za Dhat kwa huyu Hot Madame ambaye ni Sexy and Cute na Moto wa Kuotea Mita Mia Moja kunako Movie Industry Nchini Tanzania.

Kupitia Page yake ya face Book, Finally TTM tumeweza Kunyaka Info ambazo zinataarifu hasa fanz wa JENIPHER KYAKA-ODAMA, kuwa hivi sasa ameshajifungua Mtoto, baada ya Kuulea Ujauzito Kwa Muda wa Miezi ambayo anaifahamu Mwenyewe.

Katika Post hiyo, Odama ameweza kuonesha Furaha yake juu ya Kile ambacho kimetokea, Huku akimshukuru Mwenyezi Mungu kwa Kumpatia Mtoto wa Kiume.

Hapa Tunamnukuu


“Ni kweli nilikua mja mzito na mpaka sasa tayari nimejifungua mtoto wa kiume, namshukuru sana Mungu na mashabiki zangu wote kwa ushirikiano wenu tangu mwanzo mpaka sasa…nawapenda sana.”

MNADA BANNER