REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

OMARION YAMEMFIKA HAPAAAAA !!!!. FAHAMU KISA NI NINI

2:35:00 AM Add Comment

KWA Wale Wote Wake Weusi Tii, na Wale Mabonge a.k.a Mabwaja bwaja, msinifate Mie huku niliko, ni kwa Mujibu wa hiki ambacho nimeamua nikishushe Kwenu.

WIKI iliyokata, ilishuka Taarifa kuwa, kulikuwa na Kundi la Wanawake Weusi wanaoishi Nchini Uingereza, walizuiwa kuingia katika Club iliyopewa Jina la DSTRKT, iliyoko Jijini London, kwa Madai kuwa wamekuwa Ni Weusi Kupitiliza na Ni Mabonge hatari, yaani wanene Balaa.

Sababu ambazo zilitolewa na Uongozi wa Club hiyo, ni kwamba wanawake hao hawawezi kuingia Ndani ya Club hiyo, maana hawatakiwi kuonekana katika Club Maarufu hasa yenye hadhi kubwa kama hiyo.

“Chesi Mangara” mmoja alifyatuka kuwa, moja kati ya Promoters kunako Club Hilo Maarufu, alimfuata Mfanya kazi wa kike aliyekuwa Mlangoni, na kuanza kufoka kuwa kwanini ameruhusu wanawake hao Weusi na wanene Kuingia Club, ikifuatiwa na kauli yake ya “Hawana Muonekano Mzuri wa Kuoneakana ndani ya Club Hiyo”

Baada ya hapo Meseji zilinza Kusambaa na kuzua Maandamano Hayo.
Mkali wa POST PAID na Ex-Memba wa B2K-Omarion, alitakiwa  kutokea kama Mgeni hivi Karibuni ndani ya Club Hiyo, lakini ilimlazimu kusitisha UGENI wake baada ya hali kutokutulia.

Hatua hiyo ya Omarion kupiga Chini Mchongo huo, ni kuongezeka kwa Kundi la Waandamanaji ambao wanapinga Unyanyasaji huo, na hata Ubaguzi unaofanywa na Club Hiyo


Promo la Ujio wa Omarion katika Club hiyo, lilipigwa hasa, huku List nyingine ya Wageni, ikiwa iko tayari, ambapo JAY Z, KIM KARDASHIAN, RIHANNA, na Wengineo wakitakiwa kutembelea Chimbo hilo.
Instagram @Babajuti

BARUA YA TUPAC ALIPOKUWA GEREZANI, INAUZWA KIASI HIKI CHA FEDHA

2:17:00 AM Add Comment


na Baba Juti
BARUA ambayo Marehemu Tupac aliiandika kipindi Yuko Gerezani, inaweza kuwa ya kwako kwa Kiasi cha USD 225,000 sawa na takriban Tsh489,375,000

Barua Hiyo iliandikwa na Pac Mwaka 1995 alipokuwa Gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya Ubakaji, na ilikuwa inaelekea kwa  Muajiriwa DEATH ROW pamoja na Mhariri wa jarida la DEATH ROW, NINA BHADRESHWAR.

Barua Hiyo pia, ilikuwa Na Kurasa Tano, huku ikifafanua kuhusu Madai ya Ubakaji, yaliyompeleka Gerezani.
Tofauti na Hilo, katika barua hiyo kulikuwa na maelezo Mbali mbali kuhusu Kijana Mmarekani Mweusi, pamoja na kuacha maisha korofi-Yaani Thug Life

Moja kati ya aya ambazo zinapatikana katika barua hiyo, zinasomeka hivi.


“Maisha ya Kihuni na Kikorofi (Thug Life) kwangu hayapo Tena. Kama Yanaonekana kuwa mazuri na halisi , basi Mtu Mwingine ayaendeleze, maana Mie Nimeyachoka tayari. Wengi hawajawahi kupona katika Maisha ya Kihuni na Kikorofi, nabadala yake walikuwa waathirika wa Vifo. Boss Mtafutaji wa Ukweli, anajua ni Lini anatakiwa kupiga hatua. Unatakiwa uucheze mchezo, na Sio Mchezo ukucheze wewe. Wasio na akili, hujikita kwa wanauwake na Ngono, lakini Kwa Wenye Akili Hujikita katika Kutafuta maisha. Bossi mtafutaji Mfikiriaji, Kiongozi, Mjenzi, Mtengeneza pesa, Mwanajeshi, Ni mwalimu, na Zaidi ya Yote ni MWANAUME. Ninatakla Marafiki zangu wote wafahamu kuwa, kuna hatua Nyingine”



TUESDAY OF THE DADAZ: VICTORIA KIMANI ANAPOKUWA BIZE STEJINI. HII ILIKUWA NI KATIKA TAMASHA LA EXTRAVAGANZA NA MORGAN HERITAGE

1:45:00 AM Add Comment








SORRY KANYE WEST!!!: WATARUDIANA HAWA?

1:40:00 AM Add Comment
Na BabaJuti
IKIWA  ni baada ya Siku ya Jana kukupatia Info Kuwa, AMBER ROSE amedai kuwasamehe Wiz Khalifa na Kanye West kwa maneno Makali ambayo waliyazungumza Dhidi yake, hatimaye Jana Kumetokea mabadiliko ambayo yamewafanya Wengi wajiulize maswali Mengi.

PICHA Mbili zilizopostiwa na Wawili hao ndizo zimegeuka kuwa Topic Kubwa, ambapo Kila mmoja kwa Muda wake alipost kwa Nyakati Tofauti.

Picha hizo zinawaonesha wawili hao wakliwa Pamoja huku kukiwa na dalili za Mahaba Fulani hivi juu yao, nikimaanisha Kupendana.

Ingawa maoni ya Wengi yanadhihirisha na hata kusisitizxa wawili hawa warudishe Mahusiano yao na kuboresha zaidi Ndoa yao ambayo tayari wameshaivunja, bado Hakuna lolote kutoka kwa wawili hao ambalo linathibitisha kuwa watarudisha Ndoa yao, ama wapo karibu kwa sababu ya Mtoto wao


Moaka Kufikia hivi sasa, wafukuza mapepo bado Tunapekenyua kuona kama kuna Chochote zaidi ambacho kitaonekana baadaye kuhusu wawili hawa.

Instagram @babajuti

HATIMAYE KIM KARDASHIAN AKUTANA NA BABA YAKE WA KAMBO ALIYEBADILISHA JINSIA NA KUWA MWANAMKE, CAITLYN JENNER

1:16:00 AM Add Comment
Na Baba Juti
KATIKA account yake ya Instagram, hatimaye Kim Kardashian amepost Picha akiwa na Caitlyn Jenner, baba yake wa kambo aliyebadilisha Jinsia na Kuwa Mwanamke.

Katika Caption aliyoandika, Kim Kardashian ambaye Ni Mke wa Kanye West, aliandika, CHILLIN WITH CAIT


Awali Watoto Wote wa Caitlyn Jenner (Zamani  Bruce Jenner), waligoma Kwenda katika Hafla ya Kubadili Jina, kwa aliyekuwa Baba yao Huyu, lakini safari hii inawezekana mambo yako sawa, na wamekubali.


Kim Kardashian na kanye West wanatarajia Kupata Mtoto wa Pili, ambapo wa Kwanza ni binti yao North West

Instagram @babajuti

MNADA BANNER