REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#InstaChocho: PICHA 4 AMBAZO SHAMSA FORD AMEPOST KABLA HAJAENDA KULALA

12:39:00 PM Add Comment

Instachocho
MUACHENI tu Dada wa watu akiwa kama Alivyo Maana anajikubali, na anapenda sana Watoto.

Instachocho Inakushushia Picha TANO ambazo Muigizaji wa Filamu “Bongo Muvi” Nchini Tanzania, Shamsa Ford, amepost kabla hajalala Usiku Wa Jumanne ya 21 Julai 2015



#SayWhat?: TIZAMA PICHA ZA ANAYEDAI KUWA NI "MCHEPUKO" WA KOCHA MOURINHO. NI RAIA WA KENYAmori

11:00:00 AM Add Comment

Na Blacktouchez.com
MOJA Kati ya Vitu ambavyo vimeshtua Kitengo Cha Wafukuza Mapepo, Ni “Ubuyu” Kuwa, Kocha Wa Club ya CHELSEA, Jose Mourinho, “Eti” ana Mchepuko Nchini Kenya.


Kwa Mujibu wa “Tarantalila” ambazo Pia inadaiwa zilishawahi kutikisa “Social Networks”, Inasemekana Kuwa, Kocha Huyo Mwenye Mkwara wa Ajabu , aliwahi kutembelea #DibidiYepi la DIANI, Mombasa, akiwa na Familia Yake kwa ajili ya Likizo, na Ndipo alipokutana na Bibie Huyu ambaye anatambulika kwa jina la LELESIT SILVANA, na Ndipo walipoanza mahusiano.

HABARI ZAIDI INGIA  www.blacktouchez.com

TUNALINGANISHA: Bracelet ya Lelesit ambayo inadaiwa kuwa alimuuzia Morinho kwa KSH 500,000






OFFER YA MORINHO:  Bibi Huyo alipost Picha Hii Ya Nchi ya Poland na Kudai Kuwa aliitwa Huko na Mourinho

BRACELET YA TANZANITE: Aliipost Jose Mourinho, na LELESIT anadai Alimuuzia na uhusiano wao Kuanzia hapo


#Update: MCHUNGAJI ALIYEWALISHA NYOKA NA KUWAVUA NGUO WAUMINI WANAWAKE , AKAMATWA.

9:57:00 AM Add Comment

Pretolia, South Africa
MUDA Mchache Tu Baada Ya Kukupa Information Kuwa Mchungaji ambaye amewalisha Nyoka Waumini wake, Pia amewavua Nguo waumini Wake wa Kike na kuwalazimisha kutafuna Nguo za Ndani, Finally Tumep[ata Info Nyingine Fasta.

KWA Mujibu wa Mtandao wa Mirror, Mchungaji huyo ambaye Jina lake ni PENUEL MNGUNI, Inasemekana kuwa Hivi sasa amefunguliwa Mashtaka ya Kufanya Vitendo hatarishi na Udhalilishaji kwa waumini Wake.

Akifafanua kwa Ukaribu na Uhakika kuhusu taarifa Hiyo, SPCA INSPECTOR Mishack Matlou, amesema kuwa hivi sasa wanakamilisha Uchunguzi wao, na wanahitaji kufungua Mashtaka juu ya huyu Mchungaji ambaye anafanya Vitu Hivi kwa Makusudi Makubwa.

Lakini Tofauti na Hilo, Mchungaji Huyo alikamatwa na Jeshi la Polisi Nchini Afrika ya Kusini, Baada ya Kufunguliwa Mshtaka na Taasisi inayojihusisha na Utetezi wa haki za wanyama (Society for Prevention of Cruelty Against Animals)

ANAVYOJITETEA MCHUNGAJI PENUEL:
Kwa Upande wa Mchungaji Huyo anadai kuwa, Yeye Hafugi wadudu Katika Kanisa Lake, na anachokifanya ni Tukio ambalo Mungu amewahi kulifanya, Eti Nyoka waliwahi Kubadilishwa na kuwa Chocolate , watu wakala, na wakafurahia


Tutaendelea kukufahamisha Kila Kinachotokea

#HuweziAmini: BAADA YA KUWALISHA WAUMINI NYOKA, SASA MCHUNGAJI AMEWALISHA WAUMINI WAKE NGUO ZA NDANI.

9:45:00 AM Add Comment

MCHUNGAJI PANUEL Kutoka kunako Kanisa Lake la END TIMES MINISTRIES ambalo linapatikana Nchini Afrika Ya Kusini, Wiki ambayo Infact iliyopita, aliwalisha Nyoka waumini wake na Kuchukua Headlines Kubwa ikiwa ni baada ya kuwalisha waumini wake Nyoka, kisa kudhihirisha kuwa, ni Amri ya Mungu.

Kitu ambacho Kiliwashtua Wengi Ni Kwamba, Nyoka ambao Waumini walikuwa wanakula, Walikuwa Bado HAI, yaani hawajauwa na walitakiwa kutafunwa kama “Nyama”


Ila Kwa Mujibu wa Taarifa Nyingine, Inasemekana Kuwa, safari Hii, Paastor Huyo ambaye awali alikuwa pia akiwakanyaga na kutembea Juu ya Waumini Wake, aliwaamuru kuvua Ngua Zao na Kubaki watupu kama walivyozaliwa.

Lakini Kama Haitoshi , Mchungaji Huyo aliwaamuru Waumini Wake hao wa Kike, Kuzitafuna Nguo Hizo za Ndani kama Nyama, jambo ambalo pia limezaa Kimbembe mpaka Hivi Sasa.


Tizama Picha Hizo zaidi hapa


MNADA BANNER