REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HONGERA PASTOR MYAMBA WA BONGO MOVIE

1:16:00 AM Add Comment

SIKU ya Jana Kupitia Account za Instagram za Mastaa mbali mbali wa Bongo Muvi, Kulisheheni Picha za Muigizaji machachari, PASTOR MIYAMBA, pamoja na Mke wake ambaye TTM hatujanyaka Jina Jina lake.

Sasa, kwa Mujibu wa Picha na Info ambzo bado zinasambaa kunako Mtandao huo wa Instagram, inasemekana kuwa, Ndo hiyo ilifanyika zaznzibar, na Sio daslaam kama ambavyo wengi walidhani, huku Mstaa kibao akiwemo JACOB STEVEN na wengineo wakihudhuria katika pilau hilo.


Aidha Mchakato umezidi kutufikia kuwa, Moja kati ya zawadi ambayo Pastor Miyamba amepokea, inaweza kumfanya afungue Kampuni yake tena kubwa tu na ya kutosha kujiendeleza


Zawadi ambazo TTM tumebahatika Kuzinyaka, ni Pamoja na Fedha Taslim MILLION 250, ambazo zimeonekana katika picha iliyotupiwa Instagram, pamoja na Ndinga ambayo bado hatujaiona, na kazi ya kulisaka tumewakabidhi KITENGO CHIMBUA CHIMBUA.









TIZAMA: PICHA ZA MASHOGA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU NCHINI JAMAICA

1:00:00 AM Add Comment

 INGAWA ni kweli kabisa kuwa, Nchi ya Jamaica, hupinga Pia Masuala ya Ushoga yaani Mapenzi ya Jinsia Moja, lakini bado Shughuli hii inaendelea

Mashoga hawa, ambao wamekuwa wakiishi katika wakati Mgumu sana, unaweza kurejea katika hali ya Ubinadamu endapo utawaona.

KWANZA wanaishi katika Mazingira ya ajabu na Machafu. Mahali ambapo wameweka makazi yao, ni katika Mitaro na Mifereji ya Kupitisha Maji machafu.

PILI wanakutana na Changamoto kubwa sana, ambayo lazima ujwaonee huruma, ikiwemo kupigwa vikali na Wananchi, na hata kuchomwa Moto, na kukatwa na Mapanga

TATU, soko lao, ama ulimwengu wao umeingiliwa, jambo ambalo huwafanya wasiaminike na hata kutamanika katika Mji hasa wa KINGSTON Jamaica. Kuna baadhi ya waharifu wamekuwa wakitumia Mwanvuli wa USHOGA kufanya uharifu, mfano kuwaibia watu, kuwachoma watu na Visu, na hata kuwamwagia Tindikali wabaya wao. Jambo ambalo huwafanya watu waamini kuwa Mashoga hao ndio waharifu

NNE Jeshi la Polisi ni Sehemu ya Misuko suko yao, baada ya kuwakamata mara kwa mara wakiamini ni waarifu







HI SELENA: KUNA UWEZEKANO JUSTIN BIEBER AKMSAHAU SELENA GOMEZ KUPITIA KABINTI HAKA?

12:25:00 AM Add Comment

HIZI ni Picha ambazo TTM tumezinyaka, zikimuonesha bwana Bieber ambaye hivi sasa mahusizo yake na Selena Gomez hayapotena.


Katika Picha Hizi kama ambavyo unaona Mwenyewe, JUSTIN anaonekana akiwa na Kimwana Ingine tena, tofauti na ile tunayojuanga…namaanisha SELENA GOMEZ

















HII NDO AINA YA PICHA AMBAZO MR. FLAVOUR ANAPIGA MARA KWA MARA NA KUTUPIA INSTAGRAM..

12:13:00 AM Add Comment



MNADA BANNER