REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NAWEWE UMEZINYAKA KUWA KIM KARDASHIAN NI MJAMZITO TENA?..UKWELI UKO HAPA HAPA…

1:39:00 AM Add Comment


Kumekuwa na TITLES za kumwaga kunako mitandao mbali mbali ya kijamii nchi marekani kuwa Huenda KIM KARDASHIAN ambayer ni mchum,ba wa Kanye West na mama Mzazi wa NORTH West, Eti ana Ujauzito Mwingine…
Sasa ili kuliweka Sawa kwa wale ambao walikuwa hawana jibu la Kutosha kuhusu ishu hiyo, pamoja na waliokuwa hawajui chochote, basi TTM tuna Hili lenye Uhakika.
Inasemekana Kuwa, kipindi cha Siku Kadhaa zilizopita, Mtandao wa MEDIA TAKE OUT Nchin Marekani  ulitoa Mtonyo kuwa kuna Moja kati ya watu wa karibu sana Na Kim kardashian alidai kuwa Mrembo huyo ni Mjamzito kwa mara Nyingine tena na alikuwa akiisaka kwa hali na Mali.
Lakini taarifa nyingine za Uhakika zaidi zikathibitisha Kuwa Kim Kardashian SIO MJAMZITO na hatarajii kubeba Kadogo kake na North West mapema Kiasi Hiki.
Aidha Chanzo Cha uvumi huo Kuzagaa, ni baada ya Kanye Kuonekana Kimlinda sana Kim Kardashian Kama kipindi ambacho alikuwa na Ujauzito wa North West.

Kama utakuwa Unakumbuka Vizuri, January 13, Kanye West alitoa Kifinyo kwa Bwana Mdogo mmoja mwenye Umri wa Miaka 18, alipomzingua Kim.
Kwa ufupi tu Ni kwamba, Dogo Huyo alikuwa akijitahidi Kumsaidia KIM KARDASHIAN kutoka kwa wapiga Picha yaani mapaparazi, lakini alitumia Neno ambalo Kim hakulipenda, alilolitumia kumuita Mchumba ake Kanye.
Baada ya Yanki Huyo Kusikia Kim akimzuia Kutumia Neno Hilo, alimgeukia Kim mwenyewe na Kuanza Kumporomoshea matusi makali ambayo TTM hatuwezi kuyatumia Kwa ajili yako.
Inasemekana kuwa baada ya KIM kuona Dogo amekosa Nidham, aliamua kumuita wa Ubavu wake KANYE WEST kwa Njia ya WIRE yaani Simu, na Kanye hakuchelewa, alitia timu na kufanya Kitu alichokifanya kwa Dogo Huyo

CIARA ANA UJAUZITO WA MIEZI 7

1:09:00 AM Add Comment


LADIES AND GENTLEMEN..TTM Iko Kwa ajili yako na Hili Ndilo linalomhusu Ciara..
Tunaamini kabisa kuwa unajua Piga ua, bado Ciara na Future wanapendana sana na hakuna dalili  zozote za kumwagana.
Sasa Baada ya Kufunua Huku na kule, TTM (#TUKO MBELE) Tukazinyaka Kuwa Hivi sasa Ciara Ni Mjamzito na anatarajia Kupata Mtoto na Mchumba wake huyo Future Muda utakapowadia
Ciara ambaye Miezi Kadhaa iliyopita alivalishwa Pete ya Uchumba rasmi na FUTURE, alithibitisha kuwa Yeye ni mama Kijacho, kupitia Interview moja iliyoandaliwa na Kipindi Kinachozungumzia masuala ya fashion huko nchini marekani
Aidha TTM pia tunmebaini kuwa, Future amejitahidi Kuwa makini na kumuwekea mazingira salama mama Kijacho wake huyo, hasa wakati wa Topurs mbali mbali na anaposafiri naye.
Watonyaji wamedai kuwa, Kuanzia katika gari ambvalo linatumiwa na wawili hao katika Tours Mbali mbali za Future, Kitu cha SIGARA, KILEVI haviruhusiwi kuopnekana hata kiduchu badala yake ni misosi ama makulaji yenye afya kwa ajili ya Mzazi na Mtoto.
Kama Ulikuwa Hujafahamu sasa, CIARA anaujauzito wa Miezi 7 hivi sasa, huku akiwa Ni Mtoto wake Wa Kwanza endapo Mungu atawaweka Salama.
Mpaka Hivi sasa FUTURE ana watoto watatu aliozaa na wanawake watatu Tofauti, hivyo Huyo atakuwa Ni Mtoto wa 4

MNADA BANNER