REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

WAGOSI WA KAYA WANARUDI TENA….

2:50:00 AM Add Comment

KUNDI LA WAGOSI WA KAYA REPRESENTING TANGA, AMBALO LILIWEZA KUJIKUSANYIA MAFANS WENGI MIAKA YA NYUMA ILIYOPITA, FINALLY WAMEVUNJA UKIMYA NA KUTAARIFU KUWA, KUNA UJIO WA KISHINDO KUTOKA KWAO.

Kundi Hilo ambalo linaundwa na Vichwa Viwili, MKOLONI na DR. JOHN awali lilisemekana kuvunjika na hata kupotea kabisa katika ramani yao ya Muziki huku Mikwaju yao Mikali kama vile WAUGUZI, WALIMU, TRAFFIC na Nyinginezo zikiendelea kubaki historia kutokana na Style yao Iliyowafurahisha Wengi.

Lakini kupitia ukurasa wao Mpya kabisa Wa facebook, Wagosi wa kaya wamemiminika kuwa Wanatarajia Kuja kwa nguvu zote katika Muziki wa Kizazi kipya hapa Nchini.

Hiki Ndicho walichokiandika katika Ukurasa huo..

 “BAADA YA KUTOREKODI KWA PAMOJA KAMA KUNDI KWA MIAKA 8,SASA WAGOSI WA KAYA TAYARI TUMESHAREKODI NYIMBO KADHAA AMBAPO WIKI HII TUNATARAJIA KUTAMBULISHA KAZI TULIZOFANYA UKIZINGATIA UKIMYA WA MUDA MREFU ULIOKUWA UMETAWALA KATIKA MUZIKI WETU WA HIP HOP........stay tuned.

Mpaka hivi sasa TTM tunadhani kuwa Huenda ‘Gahawa’ likawa ni jina la wimbo wao mpya kwa kuwa ndio jina liliwekwa mbele kwenye picha yao ya pamoja.


Post nyingine za Wagosi wa Kaya zinaonesha kuwa audio za nyimbo zao zitaambatana na video

MAJINAMIZI YA MAJANGA BADO YANAZIDI KUMTAFUNA CHRIS BROWN

2:41:00 AM Add Comment

HIVI MAJUZI TU, TULIPATA TAARIFA NZURI KUWA, CHRIS BROWN  AMBAYE HIVI SASA BADO ANAKABILIWA NA KESI YA KUMCHAPA MAKOFI RIHANNA MIAKA KADHAA ILIYOPITA, AMEANZISHA TAASISI YA MASUALA YA UREMBO NA MITINDO, JAMBO AMBALO WENGI WALIMTAKIA KILA LA KHERI POP SINGER HUYU…

Lakini janga linguine limeikumba taasisi hiyo baada ya Mrembo mmoja kudai kuwa Wanaitumia picha yake katika matangazo ya kibiashara pasipo kumlipa.

STASIYA MARIA anadai kuwa, yeye alipewa Mualiko wa kuhudhuria katika zoezi la jaribio la Upigaji Picha Mnamo March 21 Mwaka huu, huku baadaye akiingizwa katika hatua nyngine ya zoezi hilo, pasipo kufahamu kinachoendelea, huku akipiga mapoz Mwanana na warembo wengine.

Aidha Maria ameendelea kumiminika kuwa, hajawahi kupewa Mkataba wowote na Taasisi hiyo, na jambo la kushangaza ni kwamba, hivi sasa anatumika katika Promotion za Angency ya Chris Brown kupitia Mitandao ya Instagram, hata Bila malipo.

Aidha Mpaka hivi sasa, TTM tumethibitishiwa kuwa, Mwanasheria Wa Maria ameiamuru taasisi hiyo ya Chris Brown Kuondoa video na Picha ambazo zinasambazwa katika Mitandao yote ya kijamii, bila Hivyo, watafungua mashtaka

EX- WA RAPPER BIG SEAN AMTUHUMU BIG SEAN KWA WIZI WA MADINI YA JEWELRY.

2:37:00 AM Add Comment

TUNASIKIAGA TU KUWA WATU MAARUFU HASA WASANII WANAMWAGANA CHINI, HALAFU MWISHO WA SIKU KIMYA KINAKUWA KIREFU.

Lakini This time TTM tumeshangazwa kidogo na Ishu ama tuhumua ya Wizi inayomkabili Rapa Big Sean ambaye anawakilisa Kundi la GOOD MUSIC.

Big Sean ambaye alifanya Vema Kunako Track ya Dance aliyomshirikisha Nicki Minaj, anatuhumiwa Kumchukulia Ex- “Mahaba Niue” Wake, NAYA RIVERA, Jewlries ambazo bado bibie huyo hajataja Thamani yake.

Tamko hilo ama tuhuma hizo zilikuja Kubainika kupitia Mtandao wa TWEETER kunako account ya NAYA, ambaye alimshambulia BIG SEAN kwa kuchukua Vito hivy vya Thaman.

Wawili hawa walitarajiwa kufunga Ndo hivi karibuni, lakini maandalizi ya Ndoa tamu iliyokuwa Inasubiriwa kwa mzuka wote, yaliyeyuka baada ya Stori za Kusalitiana kwa wawili hao zikizidi kuchukua nafasi Kubwa kunako Mitandao Mingine.

Lakin Kwa Mujibu wa Chanzo ambacho Kipo karibu na wawili hao, kimedai kuwa Ishu za Usaliti Sio za Kweli hata kidogo, bali sababu kubwa ilikuwa ni wivu wa kupindukia kutoka kwa bibie Naya  hasa kwa wanawake tofauti ambao wangeonekana kuwa karibu na Hit maker huyo wa BURN.


Akithibitisha data hizo, Big Sean amedai kuwa, ishu ya Kuahirisha Mipango ya Ndoa Ni Kweli kabisa, lakini Tuhuma zinazoelekezwa kwake na Ex- Mchumba wake, hazina ukweli wowote.

TUZO ZA BILLBOARDS 2014 ZIKO TAYARI: JUSTIN TIMBERLAKE, RYAN LEWIS & MACKLEMORE WAONGOZA KATIKA CATEGORIES.

2:33:00 AM Add Comment

MACKLEMORE & RYAN LEWIS PAMOJA NA JUSTIN TIMBERLAKE WAMEJITIKEZA MARA NYINGI KATIKA VIPENGELE MBALI MBALI VITAKAVYOWAKUTANISHA MASTAA KIBAO WA MUZIKI DUNIANI, KATIKA TUZO ZA BILLBOARDS MUSIC, YAANI BILLBOARDS MUSIC AWARDS KWA MWAKA HUU WA 2014.

Majembe ambayo Mwaka Jana na hata Mwaka huu wamekuwa hatari sana katika tuzo, Ryan na Mack, safari Hii wamechaguliwa katika Vipengere Kumi na Moja  ambapo watachuana Vilivyo na Vichwa vingine ambavyo vimefanya Poa kunako Chart za BILLBOARDS TOP 200.

Tofauti na wawili hao, JUSTIN timberlake huenda akazinyakua Nyingi sana mwaka huu, Huku wasanii kama DRAKE na JAY Z wakiingia katika Vipengere Vitatu.

Aidha KITENGO CHA CHIMBUA CHIMBUA kimeshusha Full Ripot kuwa, Msanii ambaye ameifikisha Style ya POP katika heshima yake, PITBULL, ye ameteuliwa Kuingia katika Vipengere 6 Huku wasanii wengineo kama vile BEYONCE, ROBIN THICKLE, RIHANNA PHARRELL WILLIAMS na Timberlake wakiraruana Kunako Kipengere Kigumu cha TOP  R& B ARTIST.


Pia Kitengo Hichi aminifu kabisa katika Dawati la Nyuma ya Pazia, kimezidi kumimina data Kuwa Albam ya Drake ya NOTHING WAS THE SAME, itakutana na Ushindani Mkali kutoka Kunako albam ya JAY Z- MAGNA CARTER HOLLY GRAIL, MMLP 2 ya EMINEM, na SINNER ya Kwake J. COLE katika category ya TOP RAP ALBUM

NOMINATTIONS ni kama Ifuatavyo:
v Top Artist
Miley Cyrus
Imagine Dragons
Bruno Mars
Katy Perry
Justin Timberlake

v Top Hot 100 Song
Miley Cyrus – “Wrecking Ball”
Imagine Dragons – “Radioactive”
Lorde – “Royals”
Katy Perry – “Roar”
Robin Thicke feat. T.I. & Pharrell – “Blurred Lines”

v Top Billboard 200 Album
Beyoncé – Beyoncé
Luke Bryan – Crash My Party
Drake – Nothing Was the Same
Eminem – The Marshall Mathers LP 2
Justin Timberlake – The 20/20 Experience

v Top Duo/Group
Florida Georgia Line
Imagine Dragons
Macklemore & Ryan Lewis
One Direction
OneRepublic

v Top New Artist
Bastille
Capital Cities
Ariana Grande
Lorde
Passenger

v Top Touring Artist
Beyoncé
Bon Jovi
P!nk
Rihanna
Bruce Springsteen & the E Street Band

v Top Male Artist
Luke Bryan
Drake
Eminem
Bruno Mars
Justin Timberlake

v Top Female Artist
Beyoncé
Miley Cyrus
Lorde
Katy Perry
Rihanna 

v Top Hot 100 Artist
Miley Cyrus
Imagine Dragons
Lorde
Katy Perry
Justin Timberlake

v Top Billboard 200 Artist
Beyoncé
Luke Bryan
Eminem
One Direction
Justin Timberlake

v Top Digital Songs Artist
Miley Cyrus
Imagine Dragons
Lorde
Macklemore & Ryan Lewis
Katy Perry

v Top Radio Songs Artist
Imagine Dragons
Lorde
Bruno Mars
Katy Perry
Justin Timberlake

v Top Social Artist
Justin Bieber
Miley Cyrus
One Direction
Rihanna
Taylor Swift

v Top Streaming Artist
Miley Cyrus
Imagine Dragons
Macklemore & Ryan Lewis
Katy Perry
PSY

v Top R&B Artist
Beyoncé
Pharrell
Rihanna
Robin Thicke
Justin Timberlake

v Top Rap Artist
Drake
Eminem
Jay Z
Macklemore & Ryan Lewis
Pitbull

v Top Dance/Electronic Artist
Avicii
Daft Punk
Calvin Harris
Lady Gaga
Zedd

v Top R&B Album
Beyoncé – Beyoncé
R. Kelly – Black Panties
Robin Thicke – Blurred Lines
Justin Timberlake – The 20/20 Experience
Justin Timberlake – The 20/20 Experience (2 of 2)

v Top Rap Album
J. Cole – Born Sinner
Drake – Nothing Was the Same
Eminem – The Marshall Mathers LP 2
Jay Z – Magna Carta…Holy Grail
Macklemore & Ryan Lewis – The Heist

v Top Dance/Electronic Album
Avicii – True
Daft Punk – Random Access Memories
Lady Gaga – ARTPOP
Lindsey Stirling – Lindsey Stirling
Zedd – Clarity

v Top Digital Song
Imagine Dragons – “Radioactive”
Lorde – “Royals”
OneRepublic – “Counting Stars”
Katy Perry – “Roar”
Robin Thicke feat. T.I. & Pharrell – “Blurred Lines”

v Top Radio Song
Avicii – “Wake Me Up!”
Lorde – “Royals”
Katy Perry – “Roar”
Robin Thicke feat. T.I. & Pharrell – Blurred Lines”
Justin Timberlake – “Mirrors”

v Top Streaming Song (Audio)
Daft Punk feat. Pharrell Williams – “Get Lucky”
Imagine Dragons – “Radioactive”
Lorde – “Royals”
Macklemore & Ryan Lewis feat. Ray Dalton – “Can’t Hold Us”
Robin Thicke feat. T.I. & Pharrell – “Blurred Lines”

v Top Streaming Song (Video)
Baauer – “Harlem Shake”
Miley Cyrus – “We Can’t Stop”
Miley Cyrus – “Wrecking Ball”
Macklemore & Ryan Lewis feat. Wanz – “Thrift Shop”
Katy Perry – “Roar”

v Top R&B Song
Beyoncé feat. Jay Z – “Drunk In Love”
Drake feat. Majid Jordan – “Hold On, We’re Going Home”
Pharrell – “Happy”
Robin Thicke feat. T.I. & Pharrell – “Blurred Lines”
Justin Timberlake feat. Jay Z – “Suit & Tie”

v Top Rap Song
Eminem feat. Rihanna – “The Monster”
Jay Z feat. Justin Timberlake – “Holy Grail”
Macklemore & Ryan Lewis feat. Ray Dalton – “Can’t Hold Us”
Macklemore & Ryan Lewis feat. Wanz – “Thrift Shop”
Pitbull feat. Ke$ha – “Timber”

LADY BEE IS BACK IN THE GAME…ILA SAFARI HII NI TOOOOFAUTI.

2:18:00 AM Add Comment

KUNA UWEZEKANO MKUBWA KABISA WENGI TUKAWA TUNAMKUMBUKA KUPTIA TRACK YAKE MREMBO, LAKINI GET THIS KWAMBA MAMII HUYU AMESHAWAHI KUSHIRIKISHWA KATIKA TRACK YA NONINI INAYOFAHAMIKA KWA JINA LA KILA MOJA ALONG SIDE CHEGE CHIGUNDA KUTOKA TMK

Lakini Baada ya Uvumi kuenea kuwa mamito huyu anakunjuka kunako Mahaba Niue na NONINI, finally Zilikuja Kusikika nyingine kuwa Hivi sasa ameamua Kuachana na masuala ya kidunia, huku akiokoka na kufuata Nyayo zaakina SIZE 8.

Mwaka jana Lady Bee alidhihirisha Uvumi wa kuokoka kwa Kuachia GOSPEL TRACK inayokwenda kwa Jina la JOHN 3:16 huku ikifuatiwa na Track Nyingine iliyofahamika kwa Jina la NAKIRI, iliyotoka mnamo Miezi 6 iliyopita.

Baada ya Kupiga ka Kimya kadogo, Finally TTM tumefanikiwa kunyaka Video yake Mpya ya GOSPEL ambayo imepewa Jina la YESU, huku Kila kilichomo Ndani kikizungumzia mazingira ya Kuokoka na kumpenda Yesu

Katika Track Hiyo, lady B amemshirikisha Bibie Mwingine anayefahamika kwa Jina la EUNICE NJIRU.

Soko la Muziki wa injiri Nchine Kenya Unazidi kukua kwa kasi ya aina yake huku asilimia kubwa ya wasanii waliokuwa wakifanya vema katika Muziki wa Kiduni wakihamia huko Kama Vile SIZE 8, BAMBOO na Wengine.

JUA CALI KUHAMISHIA MAJESHI KATIKA MUVI.

2:16:00 AM Add Comment

RAPA NA MMOJA KATI YA WAANZILISHI WA GENGE NCHINI KENYA, JUA CALI, YUKO KATIKA MCHAKATO WA KUHAMIA KATIKA SOKO LA FILAMU NCHINI HUMO.

Unaweza Kujiuliza kama ni Mafanikio ya Lupita Nyong;o Ndo yameleta hamasa katika Soko la Filamu Nchini Kenya, lakini Ukweli halisi anaufahamu yeye Mwenyewe Jua Cali.

Juacali ambaye Infact anafanya Vema hivi sasa na Track ya FURAHIA, alimiminika kuwa hivi sasa anajipanga ili kuingia katika Sekta Hiyo ya Filamu, ambayo kiukweli  tangia awali alikuwa anatamani Kujikita katika  Secta Hiyo hata kabla hajaanza Kuimba...

Hapa tunamnukuu hiti maker huyo wa KWAHERI na NIIMBIE akisema:


“Me naona mbali you know? Miaka tano ijayo najiona nikiingia katika sector ya movies. Nimekuwa nikitaka kuingia katika sector hii ya filamu tangu zamani. Sababu naamini ukiwa creative ya kutosha waeza fanya chochote,” 

MNADA BANNER