REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

ROZAY NA JUMBA LENYE VYUMBA 109

12:12:00 AM Add Comment


ONE STEP at time ndo suala la Msingi in HIP HOP  mafanikio.

The bigg Bos katika Music Industry nchini marekani na hata Duniani, RICK ROSS “ROZAY” anajiandaa kuhamia katika Bonge La Mjengo ambalo linadaiwa Kuwa na Vyumba 109, Huko GEORGIA, Nchini Marekani.


Kama kawaida yetu, TTM..Tulifanya Mchakato wa Kucheki Jumba Lenyewe Likoje, lakini Finaly Tulidiscoveer kuwa Ni one Of The Biggest House kati ya majumba yanayomilikiwa na Rapers Mbali mbali Nchini humo.

Aidha kitu ambacho pia Tulibaini, ni Kwamboa, Mjengo huo Uliwahi kumilikiwa na The Heavyweight Champion, EVANDER HOLYFIELD

The MMG Bous alisema kuwa, The Heavy Building hiyo itakuwa ni maalum Pia Kwa Memba wake katika Kundi la MMG (May Bach Music Group), na Sio wengine Tenma, maana Vyumba ni vingi na vinatosha.

Awali jumba hilo lilinyang’anywa Toka Kwa Evander, baada ya jamaa kushindwa Kulipa Kiasi cha Dolar za Kimarekani Milioni 14. Baada ya Bank Kulichukua, waliliweka katika Mnada na hatimaye kutangazwa kuuzwa kwa Kiasi cha Dola Milioni 8.2.

Mpaka hivi sasa haijafahamika Rozay amespend Kiasi Gani katika Mjengo huo















MNADA BANNER