REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BLACK TOUCHEZ KIDUME: HATIMAYE UBISHI UMEISHA..HUYU NDIYE MBABE

7:32:00 AM Add Comment

SIKU kadhaa zilizopita, BLACK TOUCHEZ ilitaka Kuondoa ubishi kuhusu jamaa wawili ambao mpaka Hivi sasa wanasumbua sana kunako Music Industry Ulimwenguni.

Sasa Baada ya kuwaweka katika Ulingo mmoja, kunako Account ya Hulkshare ya BLACK TOUCHEZ, Finally Ubishi Umeisha  Ndani ya Wiki ya Kwanza kumalizika ndani ya Mwezi huu Juni.


Kwa Maana hiyo, BLACK TOUCHEZ inamtangaza Rasmi J FLANI na Ngoma yake ya FREEDOM kuwa Mbabe Katika BLACK TOUCHEZ- KIDUME

"WWIKENDIKA" NA BLACK TOUCHEZ

7:14:00 AM Add Comment
With Dr. Tonny na My Mother, Lhonna

With My Team mate (TTM), Natty E

TTM & TEAM PAMBAZUKO

EXCLUSIVE: HUYU NDIYE CHRIS BROWN ALIYETOKA JELA..AFANYIWA PARTY YA SUPRISE..NA HUYU NI MPENZI WAKE ALIYEAMBATANA

3:19:00 AM Add Comment








SERENGETI BOYS MPOOOOO?...HILI LINAWAHUSU KABISAAAAAA

3:02:00 AM Add Comment


WALA USISHANGAE, Ukweli Ndo uko Hivyo mazee
Huwa Tunasiki Serengeti Boys..serengeti Boys..Tuansema basi sawa, maana Mara nyingi unaweza ukabaini kuwa hawapishani umri..Lakini Kwa Ndugu yetu huyu, Imekuwa Ni TOO MUCH

KYLE JONES mwenye Umri wa Miaka 31, yuko katika mahusiano ya Kimapenzi na Kikongwe chenye Umri wa Miaka 91, na anakipenda Kupita maelezo.

Akiwa anaishi AUGUSTA, GEORGIA, Jones ameshampeleka kikongwe Huyo kumtambulisha Kwa mama yake Mzazi, ambaye ana Umri wa Miaka 50.

Kwa Mujibu wa taarifa za Kiundani zaidi, inasemekana Kuwa, Jombaa huyo ambaye ametawaliwa na baby face, na handsome wa kufa Mtu, hivi sasa Pia ana mahusiano na Mwanamke Mwingine Anna Reimol Mwenye umri wa Miaka 67, Pamoja na akina mama Wazee Wengine watatu

Kama haitoshi, Inasemekana Kuwa, JONES amekuwa katika mahusiano na Kikongwe Hicho cha Miaka 91 kinachoitwa MARJORIE McCOOL kwa Miaka 6, na Kwa kawaida huwa anawapeleka Vibibi vyake Nyumbani kwa mama yake Kuwatambulisha.

HISTORICALY, unaweza kubaliana na mie kuwa, huenda Jones amesha athirika Kisaikolojia, maana kipindi akiwa na Miaka 18, aliwfanya Tendo la Ndoa Kwa mara ya Kwanza, na Mwanamke Mwenye Umri wa Miaka 50.
Duh…Balaaaa


DAH: MIAKA YAO YOTE, WAWILI HAWA WANAISHI BILA NYWELE NA MENO

2:28:00 AM Add Comment

Unaweza Ukadhani ni kituko ama Kitu cha Kuchekesha, lakini Ukweli ni Kwamba, watoto wawili nchini Uganda, wameishi maisha yao yote mpaka hivi sasa,bila kuota Nywele wala Meno.

INNOCENT KYALIMPA Mwenye Umri wa Miaka 10, na AMBROSE  MUGISA mwenye Umri wa Miaka 12, hivi sasa ni Wanafunzi wa darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kitwara, na Ni wakazi wa kijiji cha Kampundu, Kilo Mita 15 Kutoka Mjini Kiryandongo, Uganda.

Watoto hao wanaishi na Bibi yao Ngoziwe, ambaye amekuwa nao tangia mama yao Mzazi alipowatelekeza, huku Wakikutana na Changamoto tofauti ikiwemo Kutengwa, Kutukanwa, pamoja na Kuathiriwa na Mionzi ya Jua.

Kwa mujibu wa Mtaalamu wa masuala ya Ngozi Nchini Uganda, Dk. FRED KAMBUGU, amesema kuwa tatizo hilo ni la Kurithi ambalo Kisayansi huitwa congenital ectodermal dysplasia (KONJENITO EKTODEMO DAISPLASIA), na husababisha Mtu kutokuota Nywele, Meno, Kucha na Mengineyo.


Watoto hao wawili hawana Uwezo wa Kula chakula Kigumu, huku wakijitahidi kukwepa Jua ili wasiumie

CHANZO: NEW VISION

MTOKO WAKO WEEKEND HII

2:12:00 AM Add Comment

Ikiwa Ni Weekend, Leo tunakupatia Bei za mavazi mapya kwa wanaume, yaliyoingia Sokoni,kama ilivyoainishwa na KAYMU.COM

BIDHAA                                                               INAUZWAKWA TSH:
TSHIRT YA EXPENDABLES                                    20,000
TSHIRT YA AMERICAN EAGLE                            25,000
JEEP JEANS                                                         24, 000
TOMMY HILFIGER JEANS                                    24,000
MANWEST SNEAKER                                            25,000
ADIDAS SNEAKER                                                45,000


MNADA BANNER