REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NIMEIPENDA HII: KUMBE NICKI MINAJ ALIVAA NUSU UTUPU JUKWAANI ILI KUONDOA HASIRA ZA MASHABIKI JUU YAKE, BAADA YA KUCHELEWA MASAA MAWILI KATIKA SHOW HIYO.

2:45:00 AM Add Comment

London, UK
KUMRADHI Kwa Wale ambao “Tuko katika Swaumu”, ila ukweli Ndio Huu hapa na inabidi Tukupe Info ili kufahamu ni kipi ambacho kinaendelea katika Ulimwengu wa Burudani. Nicki Minaj, ndo anayehusika.

WAFUKUZA MAPEPO tumedaka Info kuhusu Nicki Minaj kuvaa nusu Utupu Jukwaani, katika Tamasha la Wireless (WIRELESS FESTIVAL) ambalo lilifanyika London’s Finsbury Park Siku ya jana

Kwa mujibu wa Taarifa za Uhakika ambazo TTM tumezinyaka, Inasemekana kuwa, Minaj alichelewa Masaa mawili Kupanda kwa Stage Katika Show hiyo, hali ambayo iliwafanya “Maninja” kuanza kuchukia hali iliyoleta Utata.

Sababu ambayo ilimfanya Minaj Kuchelewa, ilikuwa ni Kukosekana kwa mawasiliano na Waandaaji wa Tamasha Hilo, ambapo Nicki alikuwa akitokea DENMARK kunako tamasha la ROSKILDE (ROSKILDE FESTIVAL) lillilofanyika JUMAMOSI ya Julai 04, hali ambayo ilileta Mushker kidogo.

Ili Kuwaweka sawa Mashabiki, Minaj alilazimika kupiga Kivazi cha Nusu Utupu , jambo ambalo liliwatuliza kidogo

TIZAMA PICHA HIZO:














HATARI: MWANAMKE ANAPOIBA KINYWAJI CHA 50 CENTS NA KUKIFICHA SEHEMU HATARI SANA.

1:59:00 AM Add Comment

Florida, MAREKANI
KUNA  uwezekano Mkubwa Kabisa kuwa Kinywaji kinachomilikiwa na Rapper Jackson Curtis-50 Cents, kikawa ni Kipenzi cha akina Dada ambao mpaka hivi sasa, hiki ni Kituko ambacho hakijawahi tokea kwa Kinywaji chochote kinachomilikiwa na Wasanii Nchini marekani.

Mwanamke Moja kutoka Florida, marekani, alijikuta akiabika Vibaya Baada ya Kudakwa akiiba Kinywaji aina ya GEFFEN VODKA, ambacho kinamilikiwa na Rapper 50 Cents, katika Moja ya Super market katika jiji Hilo.
PICHA NA MEDIA TAKE OUT

Kwa Mujibu wa picha Ambayo inazidi Kusambaa kunako Social Networks hapa Ulimwenguni Huyo, mama Huyo ambaye Wafukuza mapepo hatujafanikiwa kupata jina lake mpaka hivi sasa, alionekana akiwa anaficha Kinywaji hicho katika Sehemu zake za Siri ili asionekane wakati wa Kuondoka.

Bila Kutafakari kwa undani kuwa Ndani ya Super Marketi Hiyo Kuna Camera, mamito huyo alijikuta akihadhirika baada ya Kukamatwa na hatua Nyingine kuchukuliwa.


Kitu cha hatari zaidio, Ni kwamba wakati anafanya Tendo hilo na kufunua Sketi yake ili kuficha Kinywaji hicho katika Sehemu zake za Siri, Pembeni alikuwepo Mtoto wake wa kiume anayekadiriwa kuwa na Umri kuanzia Miaka 6  ama 7.

TIZAMA PICHA ZA LADY JAY DEE AKIWA HON KONG MPAKA KUHAMISHIWA GUANG ZOU KWA AJILI YA USALAMA WAKE

1:53:00 AM Add Comment

Jide amepost Taarifa Kuwa, Hivi sasa ameamua Kuondoka katika Jiji La Hong Kong Nchini China, na Kuhamishiwa  GUANG ZOU, Kutokana na Hali ya Hong Kong Kuwa Mbaya Kiusalama, hivyo ni bora akaokoa maisha yake






JAY DEE: NINAWEZA KUAMUA KULALA MIEZI 6 AU HATA MWAKA MZIMA BILA KUFANYA KAZI YOYOTE NA BADO NIKALA, NIKANYWA….

1:44:00 AM Add Comment
LADY JAY DEE

Instachocho, HONG KONG
BOOM, Yes!, Huyu Ndiye “Jide wa Kujiamini” nab ado hatishiki sababu Yeye Ni Komando na ana mkwanja wa kumtisha Yeyote ambaye anamfuatilia.

Licha ya Kwamba Hivi sasa kuna Info zimefyatuka kuwa, Jumba lake kali linapigwa Mnda, Msanii na Mkongwe huyu Wa muziki wa Kizazi Kipya, amedhihirisha kuwa bado ana Uwezo wa Kupata “Human Basic Needs Plus” hata kama hatofanya Kazi kwa Miezi 6 au Mwaka zaidi.

Kupitia Instagram account yake, Judith Wambura ambaye Hivi sasa Yuko China, amesema kuwa Yeye ana uwezo wa Kuamua Kulala Miezi 6 au hata Mwaka Mzima Bila kufanya kazi yoyote, na Bado akala, akanywa na Kusafiri popote anapotaka.


Tofauti na Hilo, Jide alisema kuwa, anashangaa kundi la wanawake na Vikundi vya Makampuni  ambavyo Vinashindana na Mwanamke Mmoja, pasopi kujua Nguvu Yake.

TUNAMNUKUU JIDE:
Nashangaa kundi la wanaume
Vikundi vya Makampuni
Vinashindana na mwanamke 1
Mimi naweza kuamua kulala miezi 6 au hata mwaka mzima
Bila kufanya kazi yoyote
Bado nikala, nikanywa na nikasafiri popote nnapotaka
Never underestimate strength of a woman


KATIKA TAARIFA NYINGINE:
Jide Pia amepost Taarifa Kuwa, Hivi sasa ameamua Kuondoka katika Jiji La Hong Kong Nchini China, na Kuhamishiwa  GUANG ZOU, Kutokana na Hali ya Hong Kong Kuwa Mbaya Kiusalama, hivyo ni bora akaokoa maisha yake

TUNAMNUKUU PIA

Mkimbizi uhamishoni
Nimepata taarifa kuwa Hong Kong hakuna usalama wa kutosha
Hivyo nakimbilia Guang Zou
Ili kuokoa maisha yangu

SHILOLE: NINA AIBU SANA NYIE HAMJUI TU

1:37:00 AM Add Comment

Instachocho, DAR ES SALAAM.
KATIKA Moja kati ya Vitu ambavyo Pengine “Wafukuza Mapepo” hatukutarajia kukutana nacho, ni pamoja na Hii kutoka kwake mamito “Shishi Wa Mziwanda”, namzungumzia Shilole.

Kupitia Instagram account yake, Shilole Mapema Leo Asubuhi , amepost Picha yake akiwa amevalia Bai Bui na Kuandika kuwa ana aibu sana na hatujui Tu Kuhusu Hilo.

Lakini kama ambavyo unafahamu, Comments Nyingi za Followers Wake, ziliznza kumhoji maswali kuwa, kama ni Mtu mwenye wivu, kwanini huwa alithubutu kuachia Chakula Ya Mtoto Nje katika show aliyopiga Ubelgiji?

Lakini tofauti na Hilo, Baadhi Pia walimhoji kuwa, ni Mara Ngapi anafanya Vitendo vya Kijinga Jinga Jukwaani bila aibu yeyote, na Leo anaamka na kudai kuwa anaona aibu ile Balaa?


We Unamzungumziaje Shishi?  

USIKOSE KUTMBELEA
www.blacktouchez.com                        

MNADA BANNER