REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MAMA WA BLACK CHYNA ANAPOUSHTUA ULIMWENGU KUHUSU BLACK CHYNA NA ROB KARDASHIAN !!!!!

6:46:00 AM Add Comment

MAMA wa Black Chyna ambaye Hivi sasa, alijikuta akishtua baadhi ya watu ambao walisoma Sentensi yake ya kwanza katika Post aliyopost Instagram

Ms TOKYO TONNY, Mama Mzazi wa Black Chyna ambaye ni Mtata balaa, alipost kama Kuzingua, Post ambayo ilikuwa ikieleza Kuwa, Black Chyna na Rob Kardfashian, wamefunga Ndoa Usiku wa Jana.

Lakini tofauti na Kusema kuwa anatania, Mama Huyo aliandika Kuwa, Kuna baadhi ya Watu ambao wanapenda sana kushikilia Uwongo juu ya Wengine (Naamini na Chyna na Rob), hivyo basi wanatakiwa kusubiri mpaka wahusika wathibitishe Suala Hilo

Aliandika Hivi:

"CHYNA AND ROB GOT MARRIED LAST NIGHT🌴💍 ( just kidding but no one ever reads the small print) pahahahaahh👈 Yall motherfucking people are sick. You hold on to every word. Stop being GROUPIES all day long. Get off people nuts until they serve them to you..Splash BITCH!!! "

MNADA BANNER